Mafuta gani mazuri kwa ajili ya ngozi ya uso tu?

Jamani warembo niambieni mafuta mazuri yatayonipa choclet colour uso wangu mafuta ka beberu nimepakaa queen Elizabeth imedunda
Ladypeace una dry skin usoni?
Hivi mafuta usoni haya block skin!
 
Jamani warembo niambieni mafuta mazuri yatayonipa choclet colour uso wangu mafuta ka beberu nimepakaa queen Elizabeth imedunda
ba6ab8b254bc148d54cb242d6c0a58e9.jpg
 
Back
Top Bottom