Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

Tumia mafuta ya nazi (parachute)
 
Mkuu utakua una muonekano mzuri huko Daslamu 😍
 
Mkuu vipi hii kwa mimi mwenye ngozi ya mafuta. Sabuni 3500, shower 15,000 na lotion 12,000 hizi bei sio feki kweli? Nijibu mkuu nipo dukani hapa 🀣🀣🀣
Sabuni SH Amon wanauza 5,000/= Tsh ila Shoppers wanauza 3,000/= Tsh.

Lotion kuna ndogo ya 250 mL nadhani ndio bei iyo 8000 Tsh Shoppers ila SH Amon nadhani 12,000/= Tsh kubwa yake nadhani 350 mL ni 19,000/= Tsh (sina uhakika kwenye ujazo hapo)

Showegel SH nakumbuka zilikua 20,000 Tsh.
 
Naona mule mule tu, ngoja nichukue tu 30+ kitu gani. Yakizungua nitakuja kuyauza hapa kwenye uzi
 
Suala la Mcheki P Didy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…