Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Tunachotaka ni kubadilika kwa matendo yao, kama matendo yanabaki vilevile hizo ban ni ubatili mtupu.
 
Ujinga , Unadhani Kila mtu ana shobo za kuja huko Kwa Beberu? Kufanya nini hasa ambacho nakosa 🇹🇿🇹🇿 au Nchi zingine?

Kwani Kuna ulazima wa kufungua account kwenye benki za Mabeberu?

Kimsingi huna hoja na umeshindwa kujibu hoja zangu.

Waambieni hao Mabeberu zenu wafanye kuwakamata sio kuweka vitu visivyo na msingi.
 
 
Unaona argument zako! Typical Kariokoo - Manzese. Nyie ndiyo mnafanya nchi za Afrka ziwe hali hii halafu wewe Waziri.
Wewe una account Burundi na yule Mwenye account Uswiss nani atakubalika zaidi kufanya International business?

China ni nchi kubwa sana duniani lakini ni Nchi inayowaheshimu sana Mabeberu. Ila kwa akili yako fupi utakataa.
 
Una akili za kitumwa ndio maana mnapata shida za maisha huko Ubeberuni.

Dunia inajali fursa sio nini Beberu anasema

View: https://www.instagram.com/p/DYFPelVitt8/?img_index=1&igsh=MTA2Nng3bmppNjYzag==
 
Eti upigwe ban US na EU useme utaenda Singapore au Morroco una akili kweli.

Waione...
ndege JOHN
ChoiceVariable
Mr Attorney
 
sasa mafwele angekuwa mfanyabiashara mkubwa au mwanasiasa kweli imgekuwa pigo ila ni kamanda tu hahahaha
Umeambiwa yeye na familia yake, wewe unafikiri familia yake haiendi kwenda Marekani!? Kinachofurahisha ni kwamba anazidi kuwekwa kwenye spotlight ya dunia, kama afsa wa police ametambulika kama mkiukwaji wa haki za binadamu manaake hata serikali yote inatambukika kama inakiuka hizo haki
 
Ukiambiwa USA hauruhusuwi hizo Nchi ulizotaja pia hawakupokei pia yule jamaa aliezuiwa na Pompeo si alikumbilia ubalozi wa China Daslm kuchukua visa aende China walimkatalia kwa kumjibu malizana na USA kwanza..
 
Umeeleza vizuri lakini hizo ni mentality za kikoloni ambazo hao Mabeberu wanazo.

Ujue Mabeberu wanadhani wao ndio wanaendesha Uchumi wetu tena Kwa misaada kitu ambacho hakipo.

Nasisitiza alishakuwa banned Bashite hatujashuka kiuchumi wala kidemokrasia ,so ni muendelezo ule ule.

Mwisho Kwa Dunia ya Sasa ya ushindani Beberu anahitaji Afrika kuliko sisi Afrika tunavyowahitaji wao.cc Quinine
 
Akili mingi sana mkuu big up..
 
Scandinavian huku hatupokei majangili,wezi,mafisadi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…