Mafwele azuiwa kuingia Marekani. Ahusishwa na Utekaji, ukiukwaji wa haki za binadamu

Both mabeberu na wachina wanaheshimiana. Hakuna heshima ya mkubwa na mdogo.
 
Ninaiamini intelijensia ya US hadi wakuweke kwenye vitabu vyao basi ni muda mrefu ulikuwepo katika rada zao na wameshapata sababu ya msingi .
Wamarekani wanajua mengi sana kuhusu hao akina Mafwele, Samia, na wengine wote!

Hao wote ni lazima huwa wanatumia vitu vya Wamarekani…..iwe ni kadi za benki [Visa, MasterCars], iPhone, mifumo ya miamala ya kifedha, ndege za usafiri, na kadhalika.

Mfano tu, hizo iPhones wanazotumia hao akina Mafwele usikute zina collect tu taarifa na kuzirusha kwao.

Marekani ni superpower kwelikweli….
 
Nafikiri hizo ban peke yake hazitoshi, inatakiwa hatua zaidi zichukuliwe
 
Minor na nimeuliza Ina faida gani Kwa Chadema wanaoshangilia?
 
Ninaiamini intelijensia ya US hadi wakuweke kwenye vitabu vyao basi ni muda mrefu ulikuwepo katika rada zao na wameshapata sababu ya msingi .
Rais wa sasa wa Syria alikuwa kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa na Marekani. Cha ajabu alivyopata urais akatembelea Washington na amekuwa mshirika muhimu wa marekani.
 
Wamarekani wame establish pattern ya ukiukwaji wa haki za kibinadamu hapo.
 
Rais wa sasa wa Syria alikuwa kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa na Marekani. Cha ajabu alivyopata urais akatembelea Washington na amekuwa mshirika muhimu wa marekani.

Wanaweza kuwa supapawa lakini hawana ubinadamu kama mnavyoaminishana.
 
Mkuu unataka over a night wakamatwe wapelekwe ICC, huu ni mwanzo na ICC ina procedures zake, acha wawe promoted kwa jeuri na kiburi cha boss wao, lkn siku ikifika watakutana na hukumu zao.
 
H
TZ mambo ni mabaya, ila tusitegemee US itasaidia chochote
Huyu Mama anaitumbukiza nchi shimoni...Atakayekuja kuchukua kijiti atakua na kazi ya ziada kuisafisha nchi kitaifa na kimataifa.

N.B Mwanamke kuja kuongoza tena hii nchi sidhani kama itatokea.Tumeshapata kitabu cha kusoma kuhusu wanawake na uongozi wa juu.
 
Kwamba kabla ya ban alikuwa haendi? Unajua ni viongoz wangapi wa tz wanapiga trip kwenda huko?
Ussite watu wakimbiz kama hujui international relation kenge wahedi
kwa hiyo Makonda kapungua nn? tena ni waziri kabisa ,sio wew mbeba box
 
kwa hiyo Makonda kapungua nn? tena ni waziri kabisa ,sio wew mbeba box
You wish , si kila aliepo huku ni mbeba boksi, bi story ambazo maskin wa kibongo wanajazana kuwaponda waliovuka border. Yuna doctors,professionals mbali mbali tena watanzania wako napapiga kazi

So uwaziri wake means nothing to us, zaidi ya kumfaidisha yeye mwenyewe
 
Mark Pompeo alimpiga Bashite ban ya kutoingia Marekani... lakini bado bashite analamba vyeo tu.
Analba vyeo vya tz, huko njee kwenye taasisi yoyote hata ya kijamii ana nafasi yoyote?

And why before the ban trip za us zilikuwa haziishi?
 
Haisaidii kitu kama wapo serious hiyo ban angepigwa kwanza head of the state na cream yake inayo fuata ya uongozi ingesaidia mnooo kupeleka ujumbe duniani kwamba viongozi hao ni Waharamia na pengine katika baadhi ya Nchi wangetengwa lakini ban kapigwa mafwele !!! Huko duniani ni nani anaye mjua mafwele period
 
Daliliyya mvua ni mawingu, tunaenda mdo mdo Mzee
 
Mark Pompeo alimpiga Bashite ban ya kutoingia Marekani... lakini bado bashite analamba vyeo tu.
I don’t see how this affect Mafwele hasa ukizingatia kazi yake

Hana ulazima wa kwenda usa hata kidogo…. Especially now kupata visa ya usa ni changamoto

Hizi ndio zile situation za kitoto my anakuambia sichezi na wewe, au sili na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…