Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

Khadija Mtalame

Senior Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
185
Reaction score
715
1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)

2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)

Ikulu hawako serious.

Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya184
Screenshot_20210802-082423.png
Screenshot_20210802-082351.png
Screenshot_20210802-083006.png
Screenshot_20210802-083107.png
 
1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)

2. Dollar Rajab kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&...)

Ikulu hawako serious.

Kwa namna mambo yanavyoenda wengine wala hatushituki tunavyoona haya. Tunalo hili..................................
 
Back
Top Bottom