Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

Asiyekosea ni Mungu tu.....

Warekebishe....

#KaziInaendelea
#SiempreJMT
 
1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)

2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)

Ikulu hawako serious.

Zaidi, soma: Story of Change - Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha 6 (baada ya matokeo): Nini cha kusomea Chuo Kikuu Kupambana na Soko la AjiraView attachment 1877071View attachment 1877072View attachment 1877074View attachment 1877075
kawaida kwa ccm
 
Sasa kama page 8 tu hizi za teuzi wanakosea je kuandika thesis za Masters na PhD zenye pages 50+ wataweza kweli??

Kwani hairuhusiwi kufanyiwa proof reading na mtu mwingine ili kubaini makosa mapema na kuyafanyia editing kabla hayajaenda public??
 
Aibu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Huyu DED wa Ikungi ni mtoto wa Marehemu balozi kijazi ama mimi ndio sijaelewa?

Naona ukishakuwa mtoto wa mkubwa basi unakula tu teuzi, hakika ndio maana katiba mpya ni jambo la msingi sana.

Humo ndani wamechomeka hadi wake wa wapiga picha za ikulu kweli Tanzania tuna ssfari ndefu.
 
Katiba mpya itazuiaje mtoto wa kigogo asiwe Kiongozi hata kama ana sifa?

Kumbuka watoto wengi wa vigogo wamesoma shule na vyuo vizuri, wana experience na kazi za mashirika mbalimbali kwahyo mara nyingi sana huwa wanazo sifa za uongozi ( ukizingatia Tz mtu anaweza kuwa mmbunge hata kama ni darasa la saba )
 
1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)

2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)

Ikulu hawako serious.

Zaidi, soma: Story of Change - Ushauri kwa waliomaliza Kidato cha 6 (baada ya matokeo): Nini cha kusomea Chuo Kikuu Kupambana na Soko la AjiraView attachment 1877071View attachment 1877072View attachment 1877074View attachment 1877075
Ingiza Jina lako mkuu
 
Kila uteuzi lazima kuwe na kasoro yasn anateua ndani ya sku mbili anatengua Sasa hapa kateua majina mawili vituo vinne sasa bado tunasubiri kufuta uteuzi na kuteua Tena.

Huyu mama hajitafakari yeye na watu wake wa ikulu nafkiria Kuna siku baya litatokea zaidi kwa makosa Kama haya inamana hawapitii vipi hyo mikataba huko wanayosain wanasoma kweli?
 
hapo kasulu ndio panamfaa ndugu yangu PASCO MAYALLA
hongera kwa dada yetu wa 4U MOVEMENT FRIENDS OF LOWASSAnice munissy kuteuliwa kuwa DED shinyanga pongezi kwako
 
Uzuri amemfuta Kazi Eliud Mwaiteleke, Alijiona Kuwa ukurugenzi Wa Chato ni mkuu wa wakurugenzi
Mkurugenzi afutwi kazi maana ni mtumishi wa Umma huyo anarudishwa wizarani mpaka astaafu....
 
aiseee nafikiri wanapaswa kujipa muda kabla ya kutangaza matokeo...
 
Inawezekana ni katika kuweka msisitizo wa umuhimu wa mteuliwa kwa maslahi mapana na Taifa au kuna watu wawili walipeleka majina kwa wakati mmoja ili kuhakikisha no one is missed?
 
Back
Top Bottom