Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)

2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)...
Wamekuja na style yao mpya ya kutoa mkeka Usiku wa manane, ndo madhara yake hayo!!
 
Huyo wa misungwi na geita anaweza akamudu. Ninayemhurumia ni Yule aliyepewa kasulu na huko njombe... atakua Anaishi kwenye V8😂
 
Bado naendelea kuona makosa.

Mtu smart hawezi shindwa kuhakiki PDF yenye page tatu.

Hawezi hata maramoja.

Mh. Rais mimi nakuomba bora umtoe huyo mtu anayepublish hayo majina ya wateuliwa kwenye PDF. Hawezi kuwa makini wala hajawahi kuwa makini.

Na jinsi alivyochora hizo table, mimi sijaona ulazima wa kutumia table kama majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari haipendezi.

Mimi ninachoshauri, Mh. Rais huyo mtu aondolewe tu.
 
Na tena kabla ya kuwa pdf ilikuwa kwenye excel! Iliyojaa formula milioni za kuhakiki!

Vitu vingine mtu huwezi kuelewa kabisa yaani.
 
haya mambo wakati wa Jiwe yalikuwa hamna watu walifanya kazi vizuri wakiogopa kutumbuliwa hakika tunamkumbuka sana
 
Bado naendelea kuona makosa.

Mtu smart hawezi shindwa kuhakiki PDF yenye page tatu.

Hawezi hata maramoja.

Mh. Rais mimi nakuomba bora umtoe huyo mtu anayepublish hayo majina ya wateuliwa kwenye PDF. Hawezi kuwa makini wala hajawai kuwa makini.

Na jinsi alivyochora hizo table, mimi sijaona ulazima wa kutumia table kama majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari haipendezi.

Mimi ninachoshauri, Mh. Rais huyo mtu aondolewe tu.

Kwani Rais kakwambia hilo ni tatizo? Kwani anayeteua ni nani? Anayeteua ndo anapaswa ku hakiki kuona kama walioteuliwa ni wale aliowataka
 
Inashangaza Sana, majina 184 eti Mtu anashindwa kuhakiki
 
1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)

2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)

Ikulu hawako serious.

Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya184View attachment 1877071View attachment 1877072View attachment 1877074View attachment 1877075
Laana ya wizi wa kura itaendelea kuwaandama
 
1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)

2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)

Ikulu hawako serious.

Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya184View attachment 1877071View attachment 1877072View attachment 1877074View attachment 1877075
Hapo wenye dili lao wameshindwa kupandikiza au ni matatizo ya kiufundi?
 
A
Uzuri amemfuta Kazi Eliud Mwaiteleke, Alijiona Kuwa ukurugenzi Wa Chato ni mkuu wa wakurugenzi
Amefanya vizuri Sana Eliud alikuwa mpumbavu Sana kiburi kingi, dharau, manyanyaso kibao Namwomba aje Imwelo tuchimbe dhahabu madurani labda atapata akili
 
Back
Top Bottom