Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Nipo hapa JF kukuelewa wewe?Pumbavu hautonielewa Milele hapa JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo hapa JF kukuelewa wewe?Pumbavu hautonielewa Milele hapa JF.
Pumbavu hautonielewa Milele hapa JF.Nipo hapa JF kukuelewa wewe?
ELIUDI AKAKOJOEE1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)
2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)
Ikulu hawako serious.
Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya184View attachment 1877071View attachment 1877072View attachment 1877074View attachment 1877075
😀 😀 😀 jamani Classmate wetu primaryUzuri amemfuta Kazi Eliud Mwaiteleke, Alijiona Kuwa ukurugenzi Wa Chato ni mkuu wa wakurugenzi
No, natofautiana na wewe kwa hili...Usifikiri kuwa ikulu ina watu tofauti na sisi, ndio sisi hao hao na usifikiri mtu kufanya kazi ikulu basi ana akili sana, kuna vilaza wengi tu kama zilivyo taasisi nyingine.
Wako compromised tayari..NOVELA imeanza kuwatesa1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)
2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115)
Ikulu hawako serious.
Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya184View attachment 1877071View attachment 1877072View attachment 1877074View attachment 1877075
Kaulize sababu sasa ....unaeza kupewa kesi ya ugaidiNimehakiki ni kweli wamekosea.
ndomana tunabuniwa shutuma haohao ndo washauri wamamaKama wanashindwa kuondoa duplicates kwa Microsoft Excel tu, kitu ambacho hata mtu asiyejua computer sana anaweza ku Google na kupata jibu, kuna maamuzi mengine mangapi magumu zaidi wanaboronga na wala hatusikii?
Maana hili tumslisikia kwa sababu ni mkeka umewekwa wazi jwa umma.
Yale maamuzi ya "top secret" qmbqyo hayawekwi wazi wakiboronga hata hatujui mambo yanajiendea tu labda kuna madudu mengine yatakuja kujulikana athari zake vizazi vijavyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaulize sababu sasa ....unaeza kupewa kesi ya ugaidi
Kuna makosa ambayo hayapaswi kufanywa kwa levo ya kitaifa. Kwa maana hiyo kuna wakurugenzi ambao hawajatangazwa. Ni aibu!Usifikiri kuwa ikulu ina watu tofauti na sisi, ndio sisi hao hao na usifikiri mtu kufanya kazi ikulu basi ana akili sana, kuna vilaza wengi tu kama zilivyo taasisi nyingine.
Tuwe wazalendo !!!!!!!!!!!!!Kuna makosa ambayo hayapaswi kufanywa kwa levo ya kitaifa. Kwa maana hiyo kuna wakurugenzi ambao hawajatangazwa. Ni aibu!
HahahahUsifikiri kuwa ikulu ina watu tofauti na sisi, ndio sisi hao hao na usifikiri mtu kufanya kazi ikulu basi ana akili sana, kuna vilaza wengi tu kama zilivyo taasisi nyingine.
Nakubali, Kuna makosa yanaweza kufanywa na taasisi fulani lakini sio ikulu tena kwa makosa Kama hayaOfisi kubwa kama Ikulu,wasiwe na excel check,ambayo hua inacheck double posting??
Mbona kipindi cha Jiwe hizi mambo hazikuwepo?? Mimi tu hapa,ukinipa hiyo kazi,siwezi fanya double posting hata kidogo! Tuwe serious kwenye mambo ya msingi!
Mkurugenzi mwenye wivu weweUzuri amemfuta Kazi Eliud Mwaiteleke, Alijiona Kuwa ukurugenzi Wa Chato ni mkuu wa wakurugenzi