Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108)

2. Dollar Rajab kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&...)

Ikulu hawako serious.

Kwa namna mambo yanavyoenda wengine wala hatushituki tunavyoona haya. Tunalo hili..................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…