Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Hakuna sehemu Qur'an imeongelea taifa la Israel ambalo lilitengenezwa na Wakristo (Muingereza) mwaka 1948. Qur'an inazungumzia Bani Israel ambao ni wajukuu wa Yakobo ambaye alikuwa anaitwa kwa jina lingine Israel. Msiwe wajinga Bani Israel ni watoto wa Yakobo ambao Netanyahu hana hata uhusiano nao.Mkuu mm nimezungumzia uyahudi na si ukristo
Vitabu vya kikristo unasema vimeandika Israel taifa teule, Quran imeandikwa Israel ni adui.
Ukweli upo wapi? Israel ni adui au taifa teule?
Bani Israel Wako Warabu, Wako wayahudi sio hao mazionist yalio okotwa Europe hayana hata damu ya Bani Israel.
Wayahudi orignal wanaishi miaka na warabu au Waislam na hawana matatizo nao.
Qur'an imekataza tu tusiwachukulie hao Wakristo na Wayahudi kama marafiki zetu 💯 sababu sio waaminifu. Sababu sa yoyote wanaweza kukugeikia , akini wako wakristo na wayahudi walio ingia Uislam ambao Mwenyezi kawajalia kuona Nuru ya Allah.