Uliwahi kuona nchi ya Kislam zilienda shambulia nchi za kikristo bila kosa
Muislam siku zote ni mtu wa peace, ukristo na uyahudi mnashirikiana kuwamaliza Waislam dalili katazameni Gaza mlivyo tuma wakristo na silaha mkishirikiana na wayahudi kuwauwa watoto wa Gaza Qur'an iliona mbali sana
Nchi zote Islam imeshambulia na kutawala, Misri Christian country Coptics ,
Yemen use to be Christian country japo walivunjiwa nchi na Wayahudi then Islam wakachukua,
Iraq was Christian country,
Lebanon was Christian country hadi sasa wamebakizwa wachache wanasavivu tu,
Syria ndio center ilikuwa Christian country,
Uturuki hadi kanisa kuu mkaligeuza msikiti mnajua litarudi tu uislam hauna life ndefu,
Nchi ya Spain ilivamiwa yote ikageuzwa nchi ya kiislam ikabadilishwa jina ikaitwa Andarusia,
Kazakstan,Bosnia,Russia huko kuna vinchi vya kiislam,
Ulaya imechafuka kwa uislam, majuzi kule Marekani Msomali anatuma ujumbe kwa Trump kuwa nchi itakuwa ya kiislam soon.Israel mnadai ya kiislam hahaha Ukiwa muislam alafu mjinga unakuwa unaropoka tu Waislam wa Dawah wanalalamikia uongo wanasema kila debate mnafeli sababu ya uongo uliopitiliza