Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Endelea tu kubwabwaja Mbwa wewe!!Ningekuwa kama wewe nisingekuita sokwe mtu, kwa hiyo jibu unalo nyani
Endelea tu kubwabwaja Mbwa wewe!!Ningekuwa kama wewe nisingekuita sokwe mtu, kwa hiyo jibu unalo nyani
Ukristo kwani uliletwa na Yesu au na Paulo? Nionyeshe wapi Yesu alisema ukristo ni dini. Uislam ndio dini ya haki kwa hio sehemu zote lazima tukauwondoe ukristo sio kwa vita kwa kuleta hoja na dalili.Nchi zote Islam imeshambulia na kutawala, Misri Christian country Coptics ,
Yemen use to be Christian country japo walivunjiwa nchi na Wayahudi then Islam wakachukua,
Iraq was Christian country,
Lebanon was Christian country hadi sasa wamebakizwa wachache wanasavivu tu,
Syria ndio center ilikuwa Christian country,
Uturuki hadi kanisa kuu mkaligeuza msikiti mnajua litarudi tu uislam hauna life ndefu,
Nchi ya Spain ilivamiwa yote ikageuzwa nchi ya kiislam ikabadilishwa jina ikaitwa Andarusia,
Kazakstan,Bosnia,Russia huko kuna vinchi vya kiislam,
Ulaya imechafuka kwa uislam, majuzi kule Marekani Msomali anatuma ujumbe kwa Trump kuwa nchi itakuwa ya kiislam soon.Israel mnadai ya kiislam hahaha Ukiwa muislam alafu mjinga unakuwa unaropoka tu Waislam wa Dawah wanalalamikia uongo wanasema kila debate mnafeli sababu ya uongo uliopitiliza
View attachment 3544365
sokwe mtuEndelea tu kubwabwaja Mbwa wewe!!
Muislam siku zote ni mtu wa piece
""Yesu ""Najua wajua sema jeuri maana aya nilishakupa siku za nyuma sema jeuri ya iblis umeitunuku muslim are slowly, hili swali wanaweza uliza kila siku na majibu wakapata ila watauliza na kuuliza bila kusoma dejavu , kasome Quran 3:55Ukristo kwani uliletwa na Yesu au na Paulo?
Yesu alisema yeye ni Njia na Njia ndio dini au hujui tafsir? Najua kupinga pinga kwako ni kupata elimu.Nionyeshe wapi Yesu alisema ukristo ni dini.
Hayo maswali hayajawahi jibiwa taja haki moja ya uislam tucheke wote. Hahahahaislam ndio dini ya haki
Hilo jambo futa uislamu ni uongo so ukristo ni ukweli hivyo vitu havikai pamoja. Na mlifanikiwa middle east na ulaya kidogo then mkafeli now mmeanza tena ila mjue mkianza kurudishwa ni mfano wa Gaza kichapo kikubwa hadi maisha kama alivyotabiri mtume wenu Islam start small and will end small like serpent crawls back into its hole.kwa hio sehemu zote lazima tukauwondoe ukristo sio kwa vita kwa kuleta hoja na dalili.
Na Yesu hakula Ngamia, Mohammad alikula ngamia. Na si kwamba Muslim walikuwa hawali kiti moto la hasha walikatazwa Surah ya Tano katika uislam ulipokamilika hahahaha ila ukiwa na njaa kula ni halal hadi nyama ya mtu hahahaYesu hakula nguruwe, aliye kula nguruwe ni Paulo
Ikiwa Epstein ana sifa za kuwa Mtume labda zimefanana ba Mtume wenu PauloEti uislam ni Amani hahaha Epstein amefikia sifa zote za kuwa Mtume wa Allah same na Mohammad wenu pimp leader
Wapi kumeandikwa Ukristo uliletwa na Yesu unaleta story nyingi za nini.""Yesu ""Najua wajua sema jeusi maana aya nilishakupa siku za nyuma sema jeuri ya iblis umeitunuku muslim are slowly, hili swali wanaweza uliza kila siku na majibu wakapata ila watauliza na kuuliza bila kusoma dejavu , kasome Quran 3:55 View attachment 3544642
Yesu alisema yeye ni Njia na Njia ndio dini au hujui tafsir? Najua kupinga pinga kwako ni kupata elimu.
By Luqman Sadiq
The word “deen” (Arabic: دين) is a multifaceted term that has a range of meanings and connotations depending on the context in which it is used. The Arabic term is often translated as “religion” or “faith.” However the concept of deen encompasses much more than just a belief system or set of practices.
Arabic lexicon also defines deen as “judgement” or “law.” Another primary meaning of the word deen is “way.” It refers to the way that a person lives their life according to the teachings of their religion or belief system. This includes not only their spiritual practices, but also their relationships with others, their moral values, and their actions in the world. Deen is often used to describe the way that Muslims live their lives according to the teachings of Islam.
Sasa Yesu alisema yeye ndie njia ya ukweli
John 14:6, Jesus declares, "I am the way, and the truth, and the life. No one comes to the Father except through me," meaning he is the sole mediator, the ultimate reality, and the source of eternal life. This statement, spoken during the Last Supper, presents Jesus as the exclusive path to God the Father.
Hayo maswali hayajawahi jibiwa taja haki moja ya uislam tucheke wote. Hahahaha
Hilo jambo futa uislamu ni uongo so ukristo ni ukweli hivyo vitu havikai pamoja. Na mlifanikiwa middle east na ulaya kidogo then mkafeli now mmeanza tena ila mjue mkianza kurudishwa ni mfano wa Gaza kichapo kikubwa hadi maisha kama alivyotabiri mtume wenu Islam start small and will end small like serpent crawls back into its hole.
Na Yesu hakula Ngamia, Mohammad alikula ngamia. Na si kwamba Muslim walikuwa hawali kiti moto la hasha walikatazwa Surah ya Tano katika uislam ulipokamilika hahahaha ila ukiwa na njaa kula ni halal hadi nyama ya mtu hahaha
Pia Allah wako kawaambieni kuwa chakula cha wakristo na wayahudi ni halal kwenu kuleni quran 5:5 hahaha
View attachment 3544638
Tupige kura kwa kuweka Point na Matukio baina ya hao Mitume wa Allah Mohammad na Epstain.Ikiwa Epstein ana sifa za kuwa Mtume labda zimefanana ba Mtume wenu Paulo
See hauamini unachoamii, ndio maana Muslims huishi kwenye state of denial. wana play games only fact zote za Bible and Quran unakataa. tukuweke kundi lipi? kufar kaam alivyoambiwa Mohammad mume wako bishi. i know aliwaambia Mkidebate na Watu wa Kitabu msiseme waongo wala msikubali hii ni kutokana hamna uwezo wowote kuwabishia waliowatangulia kama yeye alivyokwama.Wapi kumeandikwa Ukristo uliletwa na Yesu unaleta story nyingi za nini.
Ukristo wewe umeujulia wapi kwanza? na je unauamini? na unamjua kristo ni nani? fake kafir Muslim dawa yake ndogo tu. Kataa basi na enjoy sana unavyompinga kuwa hana uwezo wa kuwafundisheni waislam uislam na maana zake hata jina lake Allah hamjui maana yake. na katika Quran mmeambiwa Yesu ni Massiah na hamjui kama Massiah maana yake ni Kristo hahahahaha lakini mkisoma quran mnasema Issa massiah amezaliwa na Mariam .Au wapi Yesu alisema mkifata ukristo mtaenda peponi.
Jibu swali story nyingi za nini wapi imeandikwa ukristo ni dini huna umekalia kuleta vitu tofouti na swali ulilo ulizwa siku zote wewe ndio ulivyo huwezi jibu.ulicho ulizwa ndio sababu sitaki kupoteza mda kuongea na kichaaSee hauamini unachoamii, ndio maana Muslims huishi kwenye state of denial. wana play games only fact zote za Bible and Quran unakataa. tukuweke kundi lipi? kufar kaam alivyoambiwa Mohammad mume wako bishi. i know aliwaambia Mkidebate na Watu wa Kitabu msiseme waongo wala msikubali hii ni kutokana hamna uwezo wowote kuwabishia waliowatangulia kama yeye alivyokwama.
Ukristo wewe umeujulia wapi kwanza? na je unauamini? na unamjua kristo ni nani? fake kafir Muslim dawa yake ndogo tu. Kataa basi na enjoy sana unavyompinga kuwa hana uwezo wa kuwafundisheni waislam uislam na maana zake hata jina lake Allah hamjui maana yake. na katika Quran mmeambiwa Yesu ni Massiah na hamjui kama Massiah maana yake ni Kristo hahahahaha lakini mkisoma quran mnasema Issa massiah amezaliwa na Mariam .
Quran 2:62
Al-Barwani
Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata mallipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.
In Arabic, "Massiah" (pronounced al-Masīḥ, المسيح) means "the Anointed One" or "the Messiah". It is the Arabic equivalent of the Hebrew Māshīaḥ and Greek Khristós. The term is most commonly used in Islam for Jesus (ʿĪsā al-Masīḥ) as a honored prophet, signifying a chosen, holy messenger.
Hata wewe fake Muslim Yesu ni Mwokozi wako learn STUKA Quran kama imempa sifa ambayo ndio final destination why umfuate Mohammad mwenye cheo cha uonyaji na mabaye anakupatia sifa za Mwokozi ambeye ni Yesu and then umdhihaki Mwokozi. huku unajua Mohammad alisema hajui Allah atamuweka wapi yeye na waumini akifa.
QURAN 46:9
ay, "I am not the first of the messengers, nor do I know what will be done with me or with you. I only follow what is revealed to me, and I am but a clear warner."
Al-Barwani
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.
Uzuri hivyo vitabu vya kidini kila moja ana amini ya kwake na wengine pia hawaviamini kabisa sasa wewe hicho unachokiamini ndicho kinasema hayo unayooandika humu ambayo kwa wengine ni sawa tu na hadithi za Kalumekenge alikataa kwenda shule.Bani Israel ni watoto wa Yakobo na kwa sasa unaweza kusema Wajukuu wa Yakobo sa Netanyahu unadhani ni Mjukuu wa Yakobo. Huyo aliye tokea Poland hana hata damu ya kina Yakobo.
Pia hakuna hata Aya kwenye Qur'an inaongelea Israel nipe Aya. Ianacho ongela ni Yakobo na Bani Israel. Hakuna taifa la Israel kabla ya 1948.
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”Hivi wale waliochonjwa kule Mecca enzi za nabii waliishi kwa amani na waislam?
Kabla ya uvamizi wa waislam Jerusalem wayahudi na waislam waliishi kwa amani?
Kwa Nini Quran inawaelekeza muue mayahudi?
Mayahudi ambayo waislam wameamriwa kuyaua ni haya yaliyotengenezwa na wakristo?
Hebu wacha propaganda uwe serious kidogo basi!
Tangu lini waislam wakaishi kwa amani na wasio waislam?
Mwarabu kwa lugha nyingine utamaduni wake ndiyo anauita Islam na wajinga wanaacha utamaduni wao na kufuata wa mwarabu.Ukristo kwani uliletwa na Yesu au na Paulo? Nionyeshe wapi Yesu alisema ukristo ni dini. Uislam ndio dini ya haki kwa hio sehemu zote lazima tukauwondoe ukristo sio kwa vita kwa kuleta hoja na dalili.
Yesu hakula nguruwe, aliye kula nguruwe ni Paulo
Hapa Russians na Ukrainians wako upande mmoja, the goodness of mercenaries.🔥🔥🔥🔥Taarifa ya Siri iliyofichuliwa huko Uingereza inataja zaidi ya Nchi 22 duniani zilituma magaidi kwenda Israel kwa ajili ya kuua watoto wa dogo na wanawake wasiokuwa na silaha huko GAZA Palestine.
Ripoti hiyo inataja marekani ndio Nchini iliyopeleka Magaidi Wengi zaidi kujiunga na kundi la Wanamgambo wa Israel IDF.
Declassified UK reveals the top nationalities serving Israel during the genocide in Gaza: British passport holders rank 6th among dual-nationals and 2nd among multi-nationals holding British, Israeli, and additional passports.
Sa wewe nipe kitabu unacho kiamini kama kina sema Yakobo dini yake alikuwa Myahudi au Mkristo na uhakika huna.Uzuri hivyo vitabu vya kidini kila moja ana amini ya kwake na wengine pia hawaviamini kabisa sasa wewe hicho unachokiamini ndicho kinasema hayo unayooandika humu ambayo kwa wengine ni sawa tu na hadithi za Kalumekenge alikataa kwenda shule.
dogo sitaki kutumia lugha ngumu mimi nimefunga bora tu nikujibu hivi In Islam, the teaching about the One God is known as Tawhid (the oneness of God) It is the foundation of the faith, emphasizing that there is only one, supreme, and unique Creator who deserves all worship, honor, and respect.Mwarabu kwa lugha nyingine utamaduni wake ndiyo anauita Islam na wajinga wanaacha utamaduni wao na kufuata wa mwarabu.
It's very funny to renounce your own culture and adopt the foreign one under the guise of a religion something that shows nothing but utter ineptitude and disregard to your own conscience.
Ni ukweli usiopingika kwamba ili uwe muumini mzuri wa dini ni lazima uwe mjinga kiasi kwamba kama una maswali ufe nayo tu kwani hata darasani mtoto mjinga hawezi kuuliza maswali.dogo sitaki kutumia lugha ngumu mimi nimefunga bora tu nikujibu hivi In Islam, the teaching about the One God is known as Tawhid (the oneness of God) It is the foundation of the faith, emphasizing that there is only one, supreme, and unique Creator who deserves all worship, honor, and respect.
Culture teaching us to be stupid, ndio sababu mpaa leo kuna makabila wana enda chini ya kitanda eti kuhakikisha bwana harusi kamuingilia bibi harusi hahaha, wengine wanazuia watoto zao wasiende shule we baki na utamaduni wako haswa ule wa kuamini Sanamu ndio Mungu au 1=3
I don't have time with those dogmas.Sa wewe nipe kitabu unacho kiamini kama kina sema Yakobo dini yake alikuwa Myahudi au Mkristo na uhakika huna.
Hahaha you're so funny. Today lesson; Islam is not culture. Islam is a way of life given by Allah. And the Qur’an was sent for everyone.Ni ukweli usiopingika kwamba ili uwe muumini mzuri wa dini ni lazima uwe mjinga kiasi kwamba kama una maswali ufe nayo tu kwani hata darasani mtoto mjinga hawezi kuuliza maswali.
Kwa mantiki hiyo wewe bila shaka umezaliwa tu ukakuta wazazi wako walishaingizwa mkenge na wewe ukawa kile wazungu wanaita docile tool wa kufuata nyayo tu.
For most Arabs Islam is their way of life meaning it's the culture deeply rooted in their ancestral society.
If you look at the so called religions in the world you will find that they're modelled on the cultures of the people indigenous to particular area.
African people had their culture that they could today refer to as the religion but because they were beleaguered by naiveness and the social slumber they agreed to become the docile tools and eventually succumbed to the foreign dominance which led them to lose their convictions.