Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
I'm sure you can't answer 😁I don't have time with those dogmas.
I'm sure you can't answer 😁I don't have time with those dogmas.
Foolish question. Only naive person anaweza kuuliza swali la kijinga namna hi, Kwanza kwa kuuliza swali la namna hii ni kuonesha huna ujualo kuhusu historia, na Mika ya kihistoria, upo akili sawa na Allah hawajui Yakobo kama ndie Israel.Sa wewe nipe kitabu unacho kiamini kama kina sema Yakobo dini yake alikuwa Myahudi au Mkristo na uhakika huna.
Hahaha nani aliye sema hatujuu Yakobo ndio Israel hebu rudi kasome nilisha elezea vipi Wayahudi wamepatikana sio watoto wote wa Yakobo ni Wayahudi. Nilisha gundua huwa unaruka au husomi tulicho kiandika usinipotezee mda..Foolish question. Only naive person anaweza kuuliza swali la kijinga namna hi, Kwanza kwa kuuliza swali la namna hii ni kuonesha huna ujualo kuhusu historia, na Mika ya kihistoria, upo akili sawa na Allah hawajui Yakobo kama ndie Israel.
Inabidi ufundishwe tu akili zako zikae sawa usiwe mjinga mjinga kama Allah kusingizia Adam alikuwa Muislam, Yesu pia, yaani ni sawa na Kuuliza onesha kitabu chochote kinacho onesha Mohammad Kilab aka Qutham alikwa raia wa Tanganyika.
Huwezi uliza swali la furure kwa watu wa kale maana hawapo kwenye huo ulimwengu wa nyakati. Yakobo ndie mzazi wa huo uyahudi na ukristo. same tu na kusema tuoneshe kitabu kinachoonesha raisi wa Kumi na mbili wa Tanzania! crazzy.
Lini Utakua wewe?
Nimekupa aya Quran 2:62 Allah mwenyewe anasema Wakristo wataenda Firdaus - unakataa au Allah alilewa?Jibu swali story nyingi za nini wapi imeandikwa ukristo ni dini huna umekalia kuleta vitu tofouti na swali ulilo ulizwa siku zote wewe ndio ulivyo huwezi jibu.ulicho ulizwa ndio sababu sitaki kupoteza mda kuongea na kichaa
Weka aya ya Quran yawezekana wewe unajua ila kupitia Bible lakini Allah hajui kitu Maelezo kakupa bibi yako au Mudy guy? weka Aya weka aya dini haina utungaji mpya mambo ni yale yale ya kale ndio maana nakuambia unamrekebisha Allah sababu ni MjingaHahaha nani aliye sema hatujuu Yakobo ndio Israel hebu rudi kasome nilisha elezea vipi Wayahudi wamepatikana sio watoto wote wa Yakobo ni Wayahudi. Nilisha gundua huwa unaruka au husomi tulicho kiandika usinipotezee mda..
Weka aya inayoonesha watoto 12 wa Yakobo. hii elimu only in the Bible not fake Allah hajui chochote hajui wazazi wa Mohammad ndio ajue watoto wa 12 wa Jakobo hahahaWatoto wa Yakobo wako 12 hao ni mataifa 12 yametokea hapo.
Unapokataa mean unapingana na Quran mwehu wewe, Mzazi wa Yudah si ni Yakobo? sasa damu zisiwe sawa kivipi Yakobo ndie mzazi wa hiyo damu. akili mbili zako za kufundishwa kuna jamaa tulikuwa tunamuita hivyo Masalakulangwa nadhani yawezekana ukawa ndie wewe maana copy lightYakobo hana damu kabisa ya Kiyahudi sababu Uyahudi ni dini kama vile ukristo au Uislam. Neno "Myahudi" linarejelea vizazi vya mwanawe Yuda au wale waliofuata sheria za Torati baadaye.
Uongee wewe wakati vitabu ndio vimeongea hahahaha hizi story sisi tunazaliwa tumekutana nazo mjinga wewe unayosoma ukubwani eti nilisema hivi na vile lete aya za Quran unayoiambini why unatoa kwenye Bible usiyoiamini Ndugu Masalakulangwa.Jina la Israel si taifa ni jina la Yakobo nilisha ongea kitambo humu lakini wewe ni mtu usiye fahamu kazi kujidai unajua kumbe hujui lolote.
Surah 2:62 Hakika walio amini na walio kuwa Mayahudi au Wakristo au Wasabai - walio muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na wakatenda mema - watapata ujira wao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.Nimekupa aya Quran 2:62 Allah mwenyewe anasema Wakristo wataenda Firdaus - unakataa au Allah alilewa?
Na Nimekupa Aya katika Bible John 14:6 Yesu ndie Njia ukimfuata yeye pekee ndie njia ya uzima na kweli. na njia hujaelewa maana yake ni ndio Dini? hivi hujisikii kumuona Allah tahahira jinsi unavyomkana nadhani analia tu huko Unavyosumbua watu wa Kitabu.
Kajifunze Kiarabu wewe kwenye hiyo aya hakuna neno ''au'' umejigeuza iblis unabadilisha maneno ya Allah? kwenye na (''wa'') karne hii maiblis nyie hamna wa kumhadaa yaani unajibaraguza baraguza mtoto wa Allah aliye muongoSurah 2:62 Hakika walio amini na walio kuwa Mayahudi au Wakristo au Wasabai - walio muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na wakatenda mema - watapata ujira wao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.
Jibu ni Yesu, hata Paulo anamfuata Yesu hata Allah anamfuata Yesu na Mohammad anamfuata Yesu na wewe pia au unakana?JE wewe unamfata Yesu au Paulo?
Ndio ni Mtume na ni Neno ambaye ni Mwana wa Mungu wa kweli nae neno ametoka kwa Mungu nae ni Mungu Kun faya kun.Yesu anasema yeye ni Mtume
Neno la Mungu kun faya kun (Kalimat) limeumbwa? kama halijaumbwa ndie Yesu muumbaji, Jibril alimuambia Mariam utazaa Holly Son! je nani mwingine zaidi ya Mungu ambaye ni Holly? Quran 19:19wewe unadai Mungu
Kwahiyo unamkana Al Massih hajatoka kwa Allah? Quran 3:45 - Jamani Adiosamigo anamkana Allah kuwa Yesu kristo hakuanzisha ukombozi, huku aya kuwa Yesu alimtuma mitume wawili wakakataliwa na watatu akakubaliwa huko Antokia (Bulus -ndie Paulo)Quran 36:14 , wanazuoni wametafisi hii aya kuwa Yesu ndie aliwatuma hao mitume na Quran imeandika ''we sent'' kwa hiyo Jesus ndie Mungu hahaha manaa Yesu hapo alishakuwa kapaatatizo Ukristo umeletwa na Paulo,
Ujinga wa Quran sababu Mohammad alikuwa ni mtu asiyesoma so alijua wakristo sababu wanatokea nazareth akajua ni dini maana alijua kabila ndio dini ya wanzareth Nassara kuna hadith nilisoma nimeisahau nilicheka sanaQur’an inawakusudia wale walio fata mafunzo ya Yesu walikuwa wakitwa manasara
Huyo Mungu mmoja alimuita Baba yake hebu na wewe ita japo mara moja maana alisema yupo ndani yake na yeye yupo ndani mwake. hii inaendana na ile aya spririt of Allah proceeding and word of Allah. so Tamko limo ndani ya Mwili wa Yesu na Roho imo ndani ya Mwili wa Yesu. Ndani kwa ndani pamoja inakuwa one.lakini Yesu ha kuleta dini yoyote ile zaidi ya kuja fikisha ujumbe wa Mungu kuhusu Mungu ni mmoja tu.
Qur'an inasena Yesu sio Mkristo au mwanzilishi wa Ukristo, lnasena nabii na mjumbe wa Mungu aliyetumwa kuwaongoza Wana wa Israeli.Kajifunze Kiarabu wewe kwenye hiyo aya hakuna neno ''au'' umejigeuza iblis unabadilisha maneno ya Allah? kwenye na (''wa'') karne hii maiblis nyie hamna wa kumhadaa yaani unajibaraguza baraguza mtoto wa Allah aliye muongo
Jibu ni Yesu, hata Paulo anamfuata Yesu hata Allah anamfuata Yesu na Mohammad anamfuata Yesu na wewe pia au unakana?
Ndio ni Mtume na ni Neno ambaye ni Mwana wa Mungu wa kweli nae neno ametoka kwa Mungu nae ni Mungu Kun faya kun.
Quran inawathibitishia nyie watu wa mmwisho kuelewa, Quran 4:171, Yesu ni Mtume, Yesu ni Neno la Allah(Kun faya kun) na ni Spirit of Allah proceeding. hahaha why huwa mnaogopa kusoma aya nzima? hii ya 4:171 mnaogopa sababu Word hakuumbwa alikuwepo before ulimwengu na ndie muumbaji. nilishakuuliza Allah ukasepa Allah alishawahi umba bila Word? au aliweza finyanga tu udongo maana hata adam ukisoam uislam unakuta kaumbwa na Malaika hahahaha
Neno la Mungu kun faya kun (Kalimat) limeumbwa? kama halijaumbwa ndie Yesu muumbaji, Jibril alimuambia Mariam utazaa Holly Son! je nani mwingine zaidi ya Mungu ambaye ni Holly? Quran 19:19
Kwahiyo unamkana Al Massih hajatoka kwa Allah? Quran 3:45 - Jamani Adiosamigo anamkana Allah kuwa Yesu kristo hakuanzisha ukombozi, huku aya kuwa Yesu alimtuma mitume wawili wakakataliwa na watatu akakubaliwa huko Antokia (Bulus -ndie Paulo)Quran 36:14 , wanazuoni wametafisi hii aya kuwa Yesu ndie aliwatuma hao mitume na Quran imeandika ''we sent'' kwa hiyo Jesus ndie Mungu hahaha manaa Yesu hapo alishakuwa kapaa
Ujinga wa Quran sababu Mohammad alikuwa ni mtu asiyesoma so alijua wakristo sababu wanatokea nazareth akajua ni dini maana alijua kabila ndio dini ya wanzareth Nassara kuna hadith nilisoma nimeisahau nilicheka sana
Huyo Mungu mmoja alimuita Baba yake hebu na wewe ita japo mara moja maana alisema yupo ndani yake na yeye yupo ndani mwake. hii inaendana na ile aya spririt of Allah proceeding and word of Allah. so Tamko limo ndani ya Mwili wa Yesu na Roho imo ndani ya Mwili wa Yesu. Ndani kwa ndani pamoja inakuwa one.
Yesu akawaambia wayahudi Before Abraham I AM wakasema anajiita Mungu.
Kama jitu halielewi nini maana ya Neno Dini, ni shida Yesu alisema yeye Ndio Njia ya kweli wote mumfuate ili Msipotee. Ndio maana Allah aliwaambia Wafuasi ya Yesu watakuwa juu yenu hadi Kiama Quran 3:55 Allah anajua uislam hauna chochote dhidi ya Ukristo - Hii aya nilikufundisha ukaielewa na ukawa unaitumia kwenye ufisadi wako i hope hujaisahau.
Bora umkatae sio tunawapelekesha for the sick of argument only ila hamna Issa sio Yesu Issa alizaliwa enzi za Pharao. najua una akili ila unajitoa ufahamu actor Masalakulangwa
إِذْ قَالَ اللَّهُ يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ الَّذِينَ كَفَرُوا وَجَاعِلُ الَّذِينَ اتَّبَعُوكَ فَوْقَ الَّذِينَ كَفَرُوا إِلَىٰ يَوْمِ الْقِيَامَةِ ۖ ثُمَّ إِلَيَّ مَرْجِعُكُمْ فَأَحْكُمُ بَيْنَكُمْ فِيمَا كُنْتُمْ فِيهِ تَخْتَلِفُونَ
Al-Barwani
Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.
Ahmed Ali
When God said: "O Jesus, I will take you to Myself and exalt you, and rid you of the infidels, and hold those who follow you above those who disbelieve till the Day of Resurrection. You have then to come back to Me when I will judge between you in what you were at variance."
Saheeh International
[Mention] when Allah said, "O Jesus, indeed I will take you and raise you to Myself and purify you from those who disbelieve and make those who follow you [in submission to Allah alone] superior to those who disbelieve until the Day of Resurrection. Then to Me is your return, and I will judge between you concerning that in which you used to differ.
Sarwar
He told Jesus, "I will save you from your enemies, raise you to Myself, keep you clean from the association with the disbelievers, and give superiority to your followers over the unbelievers until the Day of Judgment. On that day you will all return to Me and I shall resolve your dispute.
Shakir
And when Allah said: O Isa, I am going to terminate the period of your stay (on earth) and cause you to ascend unto Me and purify you of those who disbelieve and make those who follow you above those who disbelieve to the day of resurrection; then to Me shall be your return, so l will decide between you concerning that in which you differed.
Transliteration
Ith qala Allahu ya AAeesa innee mutawaffeeka warafiAAuka ilayya wamutahhiruka mina allatheena kafaroo wajaAAilu allatheena ittabaAAooka fawqa allatheena kafaroo ila yawmi alqiyamati thumma ilayya marjiAAukum faahkumu baynakum feema kuntum feehi takhtalifoona