Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Hakuna sehemu Qur'an imeongelea taifa la Israel ambalo lilitengenezwa na Wakristo (Muingereza) mwaka 1948. Qur'an inazungumzia Bani Israel ambao ni wajukuu wa Yakobo ambaye alikuwa anaitwa kwa jina lingine Israel. Msiwe wajinga Bani Israel ni watoto wa Yakobo ambao Netanyahu hana hata uhusiano nao.Mkuu mm nimezungumzia uyahudi na si ukristo
Vitabu vya kikristo unasema vimeandika Israel taifa teule, Quran imeandikwa Israel ni adui.
Ukweli upo wapi? Israel ni adui au taifa teule?
Bani Israel ni watoto wa Yakobo na kwa sasa unaweza kusema Wajukuu wa Yakobo sa Netanyahu unadhani ni Mjukuu wa Yakobo. Huyo aliye tokea Poland hana hata damu ya kina Yakobo.Hata kile msaafu(jokes kitabu) cha vichekesho Quran cha Allah na Mohammad kimejitungia kuwa Israel ndio taifa linalopendelewa zaidi na AllahView attachment 3543320
Kama Quran imesema usiwafanye wayahudi na wakristo kuwa marafiki zenu unafikiri kwa mazingira gani utakua na upendo na hao watu?Qur'an imekataza tu tusiwachukulie hao Wakristo na Wayahudi kama marafiki zetu 💯 sababu sio waaminifu. Sababu sa yoyote wanaweza kukugeikia , akini wako wakristo na wayahudi walio ingia Uislam ambao Mwenyezi kawajalia kuona Nuru ya Allah.
Haijakataza kuishi nao lakini ni watu wanachuki na Uislam. Mkristo na Myahudi hawawezi kupenda Uislam mpa ufate desturi zao mfano ule nguruwe, uzinifu, kulewa, kucheza kamari n.k Wako against Uislam vipi tuwachukulie wao ni marafiki.Kama Quran imesema usiwafanye wayahudi na wakristo kuwa marafiki zenu unafikiri kwa mazingira gani utakua na upendo na hao watu?
Unasema mkristo na wayahudi hawahwezi kupenda uislam, kwani waislamu wanaupenda ukristo na uyahudi?Haijakataza kuishi nao lakini ni watu wanachuki na Uislam. Mkristo na Myahudi hawawezi kupenda Uislam mpa ufate desturi zao mfano ule nguruwe, uzinifu, kulewa, kucheza kamari n.k Wako against Uislam vipi tuwachukulie wao ni marafiki.
Uliwahi kuona nchi ya Kislam zilienda shambulia nchi za kikristo bila kosaUnasema mkristo na wayahudi hawahwezi kupenda uislam, kwani waislamu wanaupenda ukristo na uyahudi?
Hakuna mtu analazimishwa kunywa pombe, au kuzini au kucheza kamari. Hizo ni tamaa zako wewe mwenyewe binafsi kwa maana hata kwa wakristo hawaruhusiwi pia kunywa pombe na kufanya zinaa
Nimetoka kumuambia mwenzako kuwa tatizo kubwa naloliona kwa waislam ni kujihisi inferior.Uliwahi kuona nchi ya Kislam zilienda shambulia nchi za kikristo bila kosa
Muislam siku zote ni mtu wa peace, ukristo na uyahudi mnashirikiana kuwamaliza Waislam dalili katazameni Gaza mlivyo tuma wakristo na silaha mkishirikiana na wayahudi kuwauwa watoto wa Gaza Qur'an iliona mbali sana
Kwa hio unataka kusema hakuna nchi za Kislam zimepigana wao kwa wao hicho kitu cha kawaida, We jiulize hivi kwani USA anamsaidia Israel tena anampa silaha na ana msaidia mpaa askari kama sio udini wenu ni kitu gani.Nimetoka kumuambia mwenzako kuwa tatizo kubwa naloliona kwa waislam ni kujihisi inferior.
Unaposema nchi za kikristo zinashambulia nchi za kiislam, hii pia ni kujihisi nferior(hili tatizo mnalo haliwezi kuondoka). Marekani wamevamia nchi nyingi, Germany pia walivamia nchi nyingi, kwa nini inapotokea nchi yenye waislam unahisi tatizo ni dini?
Russia kavamua Ukraine. Lakini Ukraine ingekua na majority Muslim ungesema tatizo ni dini
Hivi karibuni marekani kavamia Venezuela, kwa nini hapa hujahusisha dini?
Kwa nini mnahisi kuonewa sababu ya dini ikiwa uonevu huo huo unafanyika kwa wote?
Nimekueleza hili tatizo mlilonalo litachukua muda kuondoka. Kila kitu unahusisha dini, hii itakusumbua sana kwenye dunia hii iliyojaa secularismKwa hio unataka kusema hakuna nchi za Kislam zimepigana wao kwa wao hicho kitu cha kawaida, We jiulize hivi kwani USA anamsaidia Israel tena anampa silaha na ana msaidia mpaa askari kama sio udini wenu ni kitu gani.
Kwani USA anataka Iran isiwe na Nuclear wakati nchi inayo fanya genocide haikatazwi kuwa na Nuclear na anapewa sila za kila aina kama sio udini wenu ni nini.
View: https://youtube.com/shorts/7uHaTYWx8ww?si=nseS6NONt0W4TCHS
Manka mda wote unatusumbua wanaume na midevu yetuMaswali kama haya huulizwa na watu wenye matatizo ya kijinsia kama wewe tu!!!
Vipi Zabur ya Mfalme Daudi na Mfalme Nabii Suleiman Israel ilianza kuitwa mwaka 1948? hahahaha we kweli ni mtumwa wa Allah.Bani Israel ni watoto wa Yakobo na kwa sasa unaweza kusema Wajukuu wa Yakobo sa Netanyahu unadhani ni Mjukuu wa Yakobo. Huyo aliye tokea Poland hana hata damu ya kina Yakobo.
Pia hakuna hata Aya kwenye Qur'an inaongelea Israel nipe Aya. Ianacho ongela ni Yakobo na Bani Israel. Hakuna taifa la Israel kabla ya 1948.
Uisilam na ugaidi ni kama samaki na maji. Juzi tu mmejigaidi wenyewe huko Pakistan. 🇵🇰 mmelipua msikiti wa mashia 😁Uliwahi kuona nchi ya Kislam zilienda shambulia nchi za kikristo bila kosa
Muislam siku zote ni mtu wa peace, ukristo na uyahudi mnashirikiana kuwamaliza Waislam dalili katazameni Gaza mlivyo tuma wakristo na silaha mkishirikiana na wayahudi kuwauwa watoto wa Gaza Qur'an iliona mbali sana
Zaburi alipewa Daudi sio Suleiman huo kwanza ujinga wa kwanza kudai Zaburi alipewa Suleiman.Vipi Zabur ya Mfalme Daudi na Mfalme Nabii Suleiman Israel ilianza kuitwa mwaka 1948? hahahaha we kweli ni mtumwa wa Allah.
وَوَهَبۡنَا لَهُۥٓ إِسۡحَٰقَ وَيَعۡقُوبَۚ كُلًّا هَدَيۡنَاۚ وَنُوحًا هَدَيۡنَا مِن قَبۡلُۖ وَمِن ذُرِّيَّتِهِۦ دَاوُۥدَ وَسُلَيۡمَٰنَ وَأَيُّوبَ وَيُوسُفَ وَمُوسَىٰ وَهَٰرُونَۚ وَكَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلۡمُحۡسِنِينَ
play_arrow
share
Wa wahabnaa lahoo ishaaqa wa ya'qoob; kullan hadainaa; wa Noohan hadainaa min qablu wa min zurriyyatihee Daawooda wa Sulaimaana wa Ayyooba wa Yoosufa wa Moosaa wa Haaroon; wa kazaalika najzil muhsineen
And We gave to Abraham, Isaac and Jacob - all [of them] We guided. And Noah, We guided before; and among his descendants, David and Solomon and Job and Joseph and Moses and Aaron. Thus do We reward the doers of good.
Endelea kujitoa Ufahamu tu lakini lakini Israel ni Taifa Teule na lililobarikiwa sana!!Zaburi alipewa Daudi sio Suleiman huo kwanza ujinga wa kwanza kudai Zaburi alipewa Suleiman.
Taifa la Israel hili mnali liita Teule halikuwepo kabla ya 1948 ukidai lilikuwepo basi kaichome bibilia yako sababu Imeandikwa atakaye mdhuru Israel na yeye atamdhuru sa vipi Mungu akubali lipotee mpaa aje Muingereza kulitengeneza tena hamjioni nyie kama machizi. Kwa hio Mungu wenu wa bibilia kazidiwa na Muingereza yeye kashindwa lilinda mpaa aje Muingereza mgaie taifa lake hahaha. Ukristo ni kukufuru tu mnamdhalilisha sana Mungu mara mkamfananishe na binadamu mara kawa na kitaifa hata Tanzania ni kubwa kuliko hilo taifa teule ficheni ujinga wenu.
Wajukuu wa Paulo mnavituko sana mbona kule Epistains Island hamsemi yule alikuwa myahudi au mkristo angekuwa Muislam tungekuwa tunatangaziwa kila siku Epistain alikiwa katika wale ma Muslim extremist hahahaha 😆Uisilam na ugaidi ni kama samaki na maji. Juzi tu mmejigaidi wenyewe huko Pakistan. 🇵🇰 mmelipua msikiti wa mashia 😁
We muosha vyoo unajua nini wewe mwambie dogo Netanyahu akashambulie Iran si anamtisha USA asipo shambulia atashambulia yeye hahaha anaogopa nini tunataka kuona taifa teule la wajinga likiteketezwa na Iran.Endelea kujitoa Ufahamu tu lakini lakini Israel ni Taifa Teule na lililobarikiwa sana!!
Wafuga Midevu na Majini huko Mashariki ya Kati wanajinyea kila wanaposikia jina la Israel linatajwa!!!
Na waarabu-koko kutoka Afrika wao wanaharisha sana wanaposikia jina la Taifa teule la Israel!!!!
Wewe ni taperi kama Allah tu nimeandika Zaburi ya Daudi Njemba inatangaza tofauti. Uislam ni dini ya kupindisha maneno Adiosamigo ndie Aljazeera ya Jf habari za uongo na uzushi Allah's command.Zaburi alipewa Daudi sio Suleiman huo kwanza ujinga wa kwanza kudai Zaburi alipewa Suleiman.
Lilikuwa wapi ? Waliitwa Wana wa Israel popote walipoenda haswa arabuni japo walisambaa makundi makundi ya kikabira ila wengi waliendeleza tamaduni za kuabudu au hutaki? Tukuulize nyie na ndugu zenu waarabu mnafanya nini Africa, Iraq,Lebanon,Syria Na Yemen.Taifa la Israel hili mnali liita Teule halikuwepo kabla ya 1948 ukidai lilikuwepo basi kaichome bibilia yako
Quran imeandika pia Waisrael walipewa adhabu kutoingia nchi ya ahadi for 40 years watange tange jangwani Allah muone? Alafu siku moja ya Allah ni miaka elfu ya binadamu je ishatimia miaka 40 ?sababu Imeandikwa atakaye mdhuru Israel na yeye atamdhuru sa vipi Mungu akubali lipotee mpaa aje Muingereza kulitengeneza tena hamjioni nyie kama machizi. Kwa hio Mungu wenu wa bibilia kazidiwa na Muingereza yeye kashindwa lilinda taifa lake mpaa aje Muingereza amgaie taifa lake hahaha. Ukristo ni kukufuru tu mnamdhalilisha sana Mungu mara mkamfananishe na binadamu mara kawa na kitaifa hata Tanzania ni kubwa kuliko hilo taifa teule ficheni ujinga wenu.
Kuua raia zaidi ya 70,000 ndio uweledi huo?...Israeli ina silaha na uwezo wa kuua watu wote Gaza ndani ya siku moja kama ilikua na lengo la kuua wengi iwezekanavyo...kuua wachache ndani ya msongamano mkubwa na mchanganyikano mkubwa wa wanamgambo wa Hamas na raia inaonyesha uweledi mkubwa zaidi wa kijeshi kutoka IDF.
Waislam ni shida eti 70,000 hadi Sinwar wamemuadd humo kama raia mama na mtoto hahahaha Netanyahu aliiambia congress kuwa wametuma tangazo raia wote waondoke maeneo hatarishi kwa njia za vipeperushi na matangazo ya sauti pamoja na sms waliobaki ni magaidi walitoa hadi weeks. Enseleeni kuliaKuua raia zaidi ya 70,000 ndio uweledi huo?...
Kilichofanyika Gaza ni Uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu.