Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Naona hofu imewatanda baada ya wahusika kukamatwa wakikimbilia Ukraine!Sahau kuambiwa ukweli kutoka kwa Ruzzia, Kremlini watatengeneza propoganda inayowapa picha nzuri wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona hofu imewatanda baada ya wahusika kukamatwa wakikimbilia Ukraine!Sahau kuambiwa ukweli kutoka kwa Ruzzia, Kremlini watatengeneza propoganda inayowapa picha nzuri wao.
Tuchukulie ndo mzazi wako zele unaweza kuongea hiv kama mwanamke kavuliwa chupi...kenge wahedZelensky sio wa kubembelezwa yule.Aliwe kichwa
KamuueZelensky sio wa kubembelezwa yule.Aliwe kichwa
Putin alishasema yeye kazi yake kuwapeleka kwa Allah.....
Hao sasa watapata show...
Watajuta kwanini hawakufa...
Nilisikia habari ya wanajeshi wa Urusi waliogoma kupigana kamanda wao akawaweka lock up kisha akawaambia wabakane huku wakipewa dawa za kuongeza nguvu. Hao magaidi kazi wanayo
Hata kwa Tz ukidakwa kwa ugaidi imekula kwako hakuna kuonewa huruma ukifika pale Tazata lazima useme hata pensel uliyoiba mwaka 1901
Wawafungie Chumbani na Gaidi mmoja kama hawajakuta putin hana marinda na anavuta pumzi yake ya mwishoHii ishu putin anadeal nayo mwnyw [emoji23] yale mafunzo yake ya kungfu yamepata mkunwaji [emoji23]
Russia kasema hataambiwa nani kahusika bali uchunguzi ndio utabaini nani kahusika!So kama ni ISIL basi wajiandae kwa kitakachofuata,kama sio wao basi wahusika wajiandae!Unapambana sana kuwachomoa ISIS kwenye hicho kisa ili propaganda Putin zipate nafasi, bahati mbaya kwako ISIS wenyewe ndio wamekiri kufanya hilo tukio Moscow.
wewe ndio hukuwepo, ISIS was there and DeepPond yuko sahihiAcha porojo, September 11 2001 ISIS hata hawakuwepo.
Tangu aliuliwe kiongozi wao akitokea msikitini Albaghad kundi limekosa nguvu.Isis Wana historia ya kukiri mashambulizi hata ambayo hata hawajahusika, rejea shambuliz la kigaidi turkey na Lile la Sept 11 kule USA
Hawa kazi wanayo ni bora wangejiua tu.Watajuta kwanini hawakufa...
Nilisikia habari ya wanajeshi wa Urusi waliogoma kupigana kamanda wao akawaweka lock up kisha akawaambia wabakane huku wakipewa dawa za kuongeza nguvu. Hao magaidi kazi wanayo
Hata kwa Tz ukidakwa kwa ugaidi imekula kwako hakuna kuonewa huruma ukifika pale Tazata lazima useme hata pensel uliyoiba mwaka 1901
Wanarudia rudia Ukraine border mara nyingi ili Taarifa ya kupika ionakane ina mashikoFull statement by the FSB:
▪️As a result of the actions of special services and law enforcement agencies, 11 people have been detained, including four terrorists who directly participated in the terrorist attack at "Crocus," and further work is being done to identify the accomplice base.
▪️After committing the terrorist act, the criminals attempted to escape, moving by car towards the Russian-Ukrainian border.
▪️As a result of coordinated actions of special and law enforcement agencies, with a difference of several hours, all four terrorists were detained in the Bryansk region. Currently, they are being transported to Moscow.
▪️Work is underway to determine all the circumstances of the terrorist attack. It has already been established that the terrorist attack was carefully planned. The weapons used by the terrorists were prepared in advance in a hiding place.
▪️After committing the terrorist act, the criminals intended to cross the Russian-Ukrainian border and had corresponding contacts on the Ukrainian side.
▪️The investigation into the terrorist attack is ongoing.
anasubiri kwenda kwa waterboard kupigwa shot za mbavu ngumi za pua yaani kiufupi lazima ajutie siku aliyozaliwa kwa wasoviet hawanaga vita ndogo wao kila vita ni kama vita ya duniaGaidi wa kwanza uyo Apo, keshawekwa mtu Kati, kafinywa kakiri kuhusika.
Wale mliokua mnasema isis wanahusika njoo mtwambie uyu nae ni ISIS au nani
Marekani haijawahi tishiwa na Urusi hata siku moja. Hata USSR ilikuwa ni jino kwa jino sio kujikunyata mikono.
Hii dhana ya kudhani kila kinachotokea Urusi sababu ni Marekani ni visingizio uchwara. Marekani imepata mashambulizi ya kigaidi kadhaa huwezi sikia wanakurupuka hapohapo kabla ya uchunguzi kuitaja Urusi.
Hata Prigozhin alipoasi mlidai katumwa na Marekani. Urusi ina internal affairs nyingi za kwake yenyewe, na aliyempa sumu mpinzani Navalny mtasema katumwa na Marekani.
Putin kushinda kwa zaidi ya 80% sio shida kwa yeyote duniani. Kaua wapinzani haijawa shida sembuse kushinda Urais. Hata asingeshinda yeye kwamba Urusi ingekufa, kwamba akifa Putin leo basi ni mwisho wa Urusi? Warusi ni wale wale angekuwepo mwingine naye angekuwa almost kama Putin. Ni tabia ya kijamii sio ya individual.
Gaidi anashinda gerezani anapiga dinner IKULU.bahati yake Mbowe lakini bado anaangaliwa kwa darubini kali