Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Ya zamani tutawapa wake au watoto wao , yamepitwa na wakatiNi upigaji juu ya upigaji, sasahivi hao wakuu wa Wilaya hawana magari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya zamani tutawapa wake au watoto wao , yamepitwa na wakatiNi upigaji juu ya upigaji, sasahivi hao wakuu wa Wilaya hawana magari?
Wanayotembelea leo yanapelekwa wapi ?Iko ivi hayo magari yananunuliwa kwa mujibu wa sheria na katiba tulionayo,hata ww ungekuwa raisi usingezuia ilo,
haya majangili ya mali za ummaYa zamani tutawapa wake au watoto wao , yamepitwa na wakati
Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.
==
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo, makazi ya Viongozi na Watumshi wa Mikoa, Wilaya na Tarafa katika Mikoa 26.
Mchengerwa ametoa taarifa hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo April 16, 2024 wakati akitoa hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2024/202 ambapo amesema shughuli zitakazotekelezwa katika utawala bora ni pamoja na ununuzi wa magari 9 ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Mikoa ya Katavi, Njombe, Iringa, Kigoma, Mwanza, Singida, Dar es Salaam na Manyara”
“Shughuli nyingine ni ununuzi wa magari 56 ya Wakuu wa Wilaya na 47 ya Wakurugenzi wa Halmashauri”
Kuna haja ya kununua magari mapya every year? Ni kama kila ikitoka brand moya serikal nao wanatakaHii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.
==
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo, makazi ya Viongozi na Watumshi wa Mikoa, Wilaya na Tarafa katika Mikoa 26.
Mchengerwa ametoa taarifa hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo April 16, 2024 wakati akitoa hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2024/202 ambapo amesema shughuli zitakazotekelezwa katika utawala bora ni pamoja na ununuzi wa magari 9 ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Mikoa ya Katavi, Njombe, Iringa, Kigoma, Mwanza, Singida, Dar es Salaam na Manyara”
“Shughuli nyingine ni ununuzi wa magari 56 ya Wakuu wa Wilaya na 47 ya Wakurugenzi wa Halmashauri”
CCM Oyeeee !!!View attachment 2965420
Gari zenyewe walizoweka Order inasemekana ndio hizi hapa, ni za mwaka hu 2024.
Huko ndani ni kuzuri na comfy kuliko BOEING 989 N first class.
Hizi ni generation mpya ya LC Hardtop, zimetoka juzi tuView attachment 2965420
Gari zenyewe walizoweka Order inasemekana ndio hizi hapa, ni za mwaka hu 2024.
Huko ndani ni kuzuri na comfy kuliko BOEING 989 N first class.
Moja bei gani ?Hizi ni generation mpya ya LC Hardtop, zimetoka juzi tu
ndiyo,Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.
==
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo, makazi ya Viongozi na Watumshi wa Mikoa, Wilaya na Tarafa katika Mikoa 26.
Mchengerwa ametoa taarifa hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo April 16, 2024 wakati akitoa hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2024/202 ambapo amesema shughuli zitakazotekelezwa katika utawala bora ni pamoja na ununuzi wa magari 9 ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Mikoa ya Katavi, Njombe, Iringa, Kigoma, Mwanza, Singida, Dar es Salaam na Manyara”
“Shughuli nyingine ni ununuzi wa magari 56 ya Wakuu wa Wilaya na 47 ya Wakurugenzi wa Halmashauri”

Serikali ina pesa, ondoa hofuBasi wanunue Land Cruiser Prado jamani, hiyo kwenye picha waache kabisa jamani, ni very expensive, hiyo kwenye picha wabakie Mh. Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu na Speaker, wengine wote wanunuliwe Land Cruiser Prado
milioni 470 bila kodi.Moja bei gani ?
Acha kiherehere ulitaka watumie punda?Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.
==
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo, makazi ya Viongozi na Watumshi wa Mikoa, Wilaya na Tarafa katika Mikoa 26.
Mchengerwa ametoa taarifa hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo April 16, 2024 wakati akitoa hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2024/202 ambapo amesema shughuli zitakazotekelezwa katika utawala bora ni pamoja na ununuzi wa magari 9 ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Mikoa ya Katavi, Njombe, Iringa, Kigoma, Mwanza, Singida, Dar es Salaam na Manyara”
“Shughuli nyingine ni ununuzi wa magari 56 ya Wakuu wa Wilaya na 47 ya Wakurugenzi wa Halmashauri”
Gerrymandering is to manipulate district boundaries, for political advantage.Tume ya Uhusiano na Uratibu Rasimu ya Warioba ililenga kuhakikisha ... Warioba alisema idadi ya wabunge isizidi 75, Bunge Maalum likasema..... soma zaidi : source : Hotuba ya Jaji Josefu Warioba kuhusu Rasimu ya Katiba ya Tanzania
Lete kifungu cha katiba kinacho sema hiloIko ivi hayo magari yananunuliwa kwa mujibu wa sheria na katiba tulionayo,hata ww ungekuwa raisi usingezuia ilo,
Acha kiherehere ulitaka watumie punda?
Gari ndiyo zinahudumia wananchi?Ndio vyema wakahudumie vyema wananchi!
1 Sept 2020Wilaya hizo ni zipi na je ni wilaya iliyo ktk mikoa iliyolengwa ya kujazia kura kujihakikishia CCM inapata kura nyingi kupitia presha na ukada wa maDC hao
56 x 470,000,000 = 26,320,000,000
Hongo kuelekea uchaguzi wa 2024 / 2025
Mwanahistoria nguli Mohamed Said wa JamiiForums anatukumbusha - ''Zanzibar chini ya utawala Waingereza hapakuwa na wizi wa kura. ASP walikuwa wanashindwa kupitia gerrymandering. Huu ni ujanja katika kukata majimbo ya uchaguzi. gerund or present participle: gerrymandering manipulate the boundaries of (an electoral constituency) so as to favour one party or class "
Ramani ikionesha mikoa mipya ya Simiyu, Geita, Katavi, Njombe, Songwe na ule mpya unaopigiwa chapuo mkoa wa Chato uanzishwe.
View attachment 2965444
Ni kweli kwa ajili ya kupeleka huduma karibu na wananchi au ni kwa ajili ya kujiongezea viti vya ubunge na nafasi zingine za kuendelea kutawala?
View attachment 2965446
Gerrymandering ni kutengeneza mipaka ya majimbo bunge mengi lengo ili kuhakikishia kupata wabunge wengi na kushinda uchaguzi.
Gerrymandering is to manipulate district boundaries, for political advantage.
Unakideri wewe, mtu yeyote nayejadili ni CHADEMA?CHADEMA Uzeni sera na muache kuwavuta Wananchi kwenye mijadala ya kuongelea magari.
Hata pikipiki hamzitaki barabarani.
Mbowe anatembea na Gari gani?
Kwani sasahivi wanamtumia nini?, acha ushabiki wa kibodlfhya..Acha kiherehere ulitaka watumie punda?