Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
Naaam😂😂😂 kuna mambo jau sana!! Sasa hao watu wanaonunuliwa hayo magari ndio wanayafanya ya kubebea wasomali, halafu wananchi maisha magumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naaam😂😂😂 kuna mambo jau sana!! Sasa hao watu wanaonunuliwa hayo magari ndio wanayafanya ya kubebea wasomali, halafu wananchi maisha magumu.
Mbona hata siyo mbovu , zirekebishwe nini sasa ?Ujinga mwingine huo!!Hanna gereji za mwaka jana zikarekebishwa!!?
Shosti unapuyanga , Katiba ipi inazungumza kuhusu magari ni ibara ipi?
Nimekaa mahakamani miaka 25 katiba ipo kwenye finger tips, Sijawahi kusoma hiyo.
Liwali lazma atembelee gari zuri, ndio ufahari wa kusoma na kuwa na cheo.Ya zamani tutawapa wake au watoto wao , yamepitwa na wakati
Kwa nini wasinunuliwe RAV4?Ndio vyema wakahudumie vyema wananchi!
Punda na farasi vyote ni vipando!Kwa nini wasinunuliwe RAV4?
Sasa kwa nini kwenu mnatumia panda tu na hamtumii farasi?Punda na farasi vyote ni vipando!
Ndio uwezo wetu!Sasa kwa nini kwenu mnatumia panda tu na hamtumii farasi?
Wala hawakuelewi. Unapoteza mudaBasi wanunue Land Cruiser Prado jamani, hiyo kwenye picha waache kabisa jamani, ni very expensive, hiyo kwenye picha wabakie Mh. Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu na Speaker, wengine wote wanunuliwe Land Cruiser Prado
Kuna soma la kujifunza kwa serikali hapa👇Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.
==
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo, makazi ya Viongozi na Watumshi wa Mikoa, Wilaya na Tarafa katika Mikoa 26.
Mchengerwa ametoa taarifa hiyo Bungeni Jijini Dodoma leo April 16, 2024 wakati akitoa hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2024/202 ambapo amesema shughuli zitakazotekelezwa katika utawala bora ni pamoja na ununuzi wa magari 9 ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Mikoa ya Katavi, Njombe, Iringa, Kigoma, Mwanza, Singida, Dar es Salaam na Manyara”
“Shughuli nyingine ni ununuzi wa magari 56 ya Wakuu wa Wilaya na 47 ya Wakurugenzi wa Halmashauri”
Pia soma: Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS
Hata hivyo tayari magari hayo ya Wakuu wa Wilaya yamekwishanunuliwa na wamekwisha gawiwaKuna soma la kujifunza kwa serikali hapa👇