Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

Yaliyopo sasa watauziwa shs. Milioni kumi kisha watanunuliwa mapya.
Ninatafuta mganga konki atakaye niwezesha kuupata ukuu wa wilaya, wajameni mnisaidiege.
 
Kama mama ataendekeza utawala wa kifalme namna hii badala ya kujali maisha ya wanyonge, nchi hii haiji kupata mafanikio kamwe
 
Haina shida tukutane 2025 ,uchaguzi ukifanyika, nchi sijui imerogwa na nani kwamba ofisi za wakuu wa mikoa na wilaya sana hakuna magari , tunashindwa jifunza kwa Rais wa Zanzibar
Sory nilitaka manisha Rais wa Zambia kama Rais alikuta magari kibao ikulu, ila hakununua gari lake sisi daily magari ,magari ,hii wenda ni kufuru that's nchi inapata mikosi
 
Mavieite ??! Au ? 😱
 
CHADEMA ilishakufa toka 2017
Chukua 5. Huyo Mwenyekiti wao awaachie tu Vijana, yeye sera zake, ni vinyongo na visassi binafsi, yani kulipiza kisasi tu
2020 ikafa rasmi
Baadae wakaja na kivutio chao, pole za hisani zikaisha, Wakaja na fukuzana na kaburi, porojo hizo nazo zinafifia, wakarejea na uharakati, yote hayo kutaka ku remain relevant.

Wameharibu sana taswira ya nchi na Uharakati Uchwara.
 
Msome mtu ndani ya mistari , usikurupuke tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…