Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

Pia tukumbuke mwakani ni mwaka wa Uchaguzi !
Je upo muingiliano wowote ndani ya manunuzi ??!
Lakini pia inawezekana naota tu !! 🙏🙏
 
Basi wanunue Land Cruiser Prado jamani, hiyo kwenye picha waache kabisa jamani, ni very expensive, hiyo kwenye picha wabakie Mh. Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu na Speaker, wengine wote wanunuliwe Land Cruiser Prado
Wala hawakuelewi. Unapoteza muda
 
Kuna soma la kujifunza kwa serikali hapa👇
 

Attachments

  • VID-20240430-WA0031.mp4
    5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…