Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Kama pesa sio tatizo jitwishe Crown! Mle kuna burudani ya hali ya juu usione vijana wenzio tunakimbilia mle, demu wako akipewa lift siku moja tu mle anachagua Lodge ya kupelekwa the next day!😜
Je Sisi wenye harrier ? Si ndo wanavua kabisa πŸ˜ƒ
 
Umeandika point sana mkuu...
Sasa saidia kitu kimoja .. weka list ya hizo gari( ndogondogo in terms of CC ) za KIJERUMANI tuzijue
 
Hahaha, Brevis πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa sababu inawaka hata ukiweka mafuta ya shs.50/=, kuna gari mafuta ya buku 10 mshale haushtuki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani ka mini cooper kwa kijana kana ubaya gani ?
 
Vijana wa arusha tunasukuma subaru cross-sport simba mtoto.
 
Achana na ujinga mwingine RUNX X or allex .chukua moja wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…