Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu hili uliloligusia ni zito.Mkuu umetoa uzi muhimu sana,nchi yetu sasa ina Tabaka ambao wapo above law's, sheria ya barabarani ni kwa watumiaji wote regardless wewe ni nani,angalia jinsi hizi SU,ST, gari za jeshi na tiss yaani wao sheria hizi haziwahusu kabisa, why haya mambo yanaibuka miaka hii,kipindi cha president Nyerere (rip)wenye haki ya blue lights walikua wanna tu,na misafara yao ilikua hauzidi 3 cars, Yaani sweeper, main car for Subject na security ,sasa hata igp, cdf, spika etc etc eti wana blue lights, kuishi ndani ya nchi hii kunakatanisha tamaa ya maisha
Mkuu ukiwa road kuna makundi ma3 ya magari yanayopewa kipaumbele: 1 Magari ya majeshi yote kwa ujumla wake. 2 Magari ya wagonjwa Ambulance. 3 Mabasi ya abiria ukifika stand ya Magu Mbezi ukiona basi la abiria linachomoka mazima toka stand kuingia barabara kuu usishangaeHuko Bubgeni mtunga sheria mwenyewe Spika aheshimu sheria anazozitinga,isitoshe askari jeshi
Wewe jifunze tu kuwaheshimu hao wanaume wakiwa kwenye majukumu yao, ukikaza shingo jiandae kupanua moyo kwa vinyongo.View attachment 2230503View attachment 2230504
Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani.
Na tunawaona kila siku jijini Dar.
Picha hii ni leo Mwenge DSM.
Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini.
Picha ya close-in kuna polisi traffic lakini hawana la kufanya mjeda akikatiza red light.
Wabunge wetu muulizeni Waziri wa Ulinzi: Hii nini?
Amka waza zaidi ya kawaida, Usifikiri kitoto.Hivyo ni vyombo vya Ulinzi na alichobeba wewe hujui na hata akiwa anakimbiza gari wewe hujui sababu acha kuropoka. Hao wakiwa kwenye magari yao binafsi wala hawana hizo harakati wanaendesha kwa taratibu zote .Kwenye Mambo ya Ulinzi ya Nchi acha ujuaji wakati huna unalojua.Mkuu umetoa uzi muhimu sana,nchi yetu sasa ina Tabaka ambao wapo above law's, sheria ya barabarani ni kwa watumiaji wote regardless wewe ni nani,angalia jinsi hizi SU,ST, gari za jeshi na tiss yaani wao sheria hizi haziwahusu kabisa, why haya mambo yanaibuka miaka hii,kipindi cha president Nyerere (rip)wenye haki ya blue lights walikua wanna tu,na misafara yao ilikua hauzidi 3 cars, Yaani sweeper, main car for Subject na security ,sasa hata igp, cdf, spika etc etc eti wana blue lights, kuishi ndani ya nchi hii kunakatanisha tamaa ya maisha
Amka waza zaidi ya kawaida, Usifikiri kitoto.Hivyo ni vyombo vya Ulinzi na alichobeba wewe hujui na hata akiwa anakimbiza gari wewe hujui sababu acha kuropoka. Hao wakiwa kwenye magari yao binafsi wala hawana hizo harakati wanaendesha kwa taratibu zote .Kwenye Mambo ya Ulinzi ya Nchi acha ujuaji wakati huna unalojua.
Hili ni tatizo kubwa sana tunaweza kulichukulia poa lakini athari zake ni kwamba hakuna sheria kwa wote na linaleta hali kuwa mbaya mpaka kwa viongozi kutofuata sheria, Nimewahi kuona gari ya Jaji inapita katika mwendokasi na ndio watu wakutoa hukumu kwa mujibu wa sheria, police na wengine wengi tu wao sheria haiwahusu. Ni wakati wa jambo hili kukemewa kwa nguvu toka mamlaka ya juu maana linaweza kuonekana dogo ila kila jambo baya linaanza na udogo na tabia mbaya zinaanza taratibu.Huko umeenda mbali sana, Kuna magari ya Majaji, Mawaziri, STK, STJ n.k wengi wao hawaii sheria za usalama barabarani. Hapo sijaongelea yale ya polisi.
Kwa kesi kama hii unakosa pa kuipeleka. Anaetakiwa kuikemea nae anafanya makosa yaleyale.
Watoto wakifeli tunawalaumu, unamwambiaje hakuna aliye juu ya sheria wakati watu wanaona wasimamizu na watungaji wanazivunja?
Kila Mara nasema, hata tukipata katiba mpya, hatutakua tumetatua matatizo yetu yote, hata hii iliyopo inavunjwa sana na hakuna kinachofanyika.
Msikilizeni huyu nae!Mkuu ukiwa road kuna makundi ma3 ya magari yanayopewa kipaumbele: 1 Magari ya majeshi yote kwa ujumla wake. 2 Magari ya wagonjwa Ambulance. 3 Mabasi ya abiria ukifika stand ya Magu Mbezi ukiona basi la abiria linachomoka mazima toka stand kuingia barabara kuu usishangae
Ha ha ha siku ya leo kuna vichekesho sana.Amka waza zaidi ya kawaida, Usifikiri kitoto.Hivyo ni vyombo vya Ulinzi na alichobeba wewe hujui na hata akiwa anakimbiza gari wewe hujui sababu acha kuropoka. Hao wakiwa kwenye magari yao binafsi wala hawana hizo harakati wanaendesha kwa taratibu zote .Kwenye Mambo ya Ulinzi ya Nchi acha ujuaji wakati huna unalojua.