Magari ya Jeshi kwa makusudi hawaheshimu Sheria za Usalama barabarani

Magari ya Jeshi kwa makusudi hawaheshimu Sheria za Usalama barabarani

Amka waza zaidi ya kawaida, Usifikiri kitoto.Hivyo ni vyombo vya Ulinzi na alichobeba wewe hujui na hata akiwa anakimbiza gari wewe hujui sababu acha kuropoka. Hao wakiwa kwenye magari yao binafsi wala hawana hizo harakati wanaendesha kwa taratibu zote .Kwenye Mambo ya Ulinzi ya Nchi acha ujuaji wakati huna unalojua.
Ni Africa tu na inchi zingine zenye level ndogo ya ustaarabu
 
Anaetunga Sheria ndiye mvunjaji mkuu wa Sheria
 
Amka waza zaidi ya kawaida, Usifikiri kitoto.Hivyo ni vyombo vya Ulinzi na alichobeba wewe hujui na hata akiwa anakimbiza gari wewe hujui sababu acha kuropoka. Hao wakiwa kwenye magari yao binafsi wala hawana hizo harakati wanaendesha kwa taratibu zote .Kwenye Mambo ya Ulinzi ya Nchi acha ujuaji wakati huna unalojua.
Huu upumbavu mnautoaga wapi?

Hakuna cha maana, kama kuna sensitive issues angeomba escort ya polisi.

Wewe ni mshamba kama hao wanaovunja sheria.
 
Lakini kwenye hii picha gari hilo la jeshi la wananchi halijakatiza red light mkuu. Ushahidi wako ni batili mkuu.
Kutoelewa functions za traffic lights nalo kwako ni zigo la giza.
Red light iko mbele yako, wewe unafanya nini katikati ya intersection.
 
Wewe zuzu kabisa.
Nchi zilizoendelea na zinazonajielewa , kama unasafirisha kitu hatari unafunga barabara zote.
Mzigo unapita.
Hiki tunachokiona ni ukosefu wa nidhamu na adabu, hasa kwa watu tunaokatwa kodi ili mtutumikie kiusalama na kwa weledi.
Mwenyewe umeona umewazaaaa .Nchi gani hizo zilizoendelea unazozizungumzia .Acha kufikiri kisiasa fikiri kiulinzi yaani gari ya jeshi yenye mizigo maalum ikae foleni khaaa aaaaaaa . Hivi walivyokuja Wamarekani wakati wa Obama walifuata utaratibu gani wakiwa na magari ya Jeshi? . Maana tuliona tu hao wanaibuka mitaani kama mizimwi tu na wanapita kulia badala ya kushoto.
 
Ulinzi gani wa kijinga kukatiza red light!
Wenzenu wawili waligongwa na lori na kufa pale Mfugale kwa sababu za kijinga kama hizi.
 
Amka waza zaidi ya kawaida, Usifikiri kitoto.Hivyo ni vyombo vya Ulinzi na alichobeba wewe hujui na hata akiwa anakimbiza gari wewe hujui sababu acha kuropoka. Hao wakiwa kwenye magari yao binafsi wala hawana hizo harakati wanaendesha kwa taratibu zote .Kwenye Mambo ya Ulinzi ya Nchi acha ujuaji wakati huna unalojua.
Tuonyeshe hiyo sheria ya barabarani hapa badala ya kubwabwaja...
 
Msiwe wanafiki.
Tabia mbaya ni tabia mbaya tu.
Indiscipline katika vyombo vyetu if unchecked this will lead to lawlessness and anarchy.
Short and clear bongo madereva wengi washamba na hata wewe ungekuwa huko yangekuwa yaleyale sababu hilo sio jipya ndo maana nikakuambia una nongwa...mara ngapi madereva wa mabasi makubwa wanaendesha kipuuzi humo mabarabarani na hao ni madereva wa serikali??? usiwe na bias katika kukemea jambo fulani hiyo tabia ndiyo tunaita nongwa.
 
Serikali pia iangalie kwa jicho la pili foleni nyingi za magari mijini zinasababishwa na wanaoendesha magari used kama la mleta mada

Gari used ziruhusiwe tu vijijini kupunguza foleni mijini
...tena la mleta mada ni used³
 
Hivi unajua sheria za barabarani kweli?? Hiyo exception iko kwa ambulance [emoji603] tuu...
Wewe ndo hujui. Ambulance tu? Kuna magari ya zimamoto, kubebea fedha, Viongozi, vyombo vya ulinzi nk vyote vinatakiwa kupewa kipaumbele
 
Amka waza zaidi ya kawaida, Usifikiri kitoto.Hivyo ni vyombo vya Ulinzi na alichobeba wewe hujui na hata akiwa anakimbiza gari wewe hujui sababu acha kuropoka. Hao wakiwa kwenye magari yao binafsi wala hawana hizo harakati wanaendesha kwa taratibu zote .Kwenye Mambo ya Ulinzi ya Nchi acha ujuaji wakati huna unalojua.
Acha upumbavu SASA hapo kwenye taa ikitokea ajali na watu wakifa utasemaje??

Au hujui sensitivity ya taa barabarani

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2230503View attachment 2230504

Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani.

Na tunawaona kila siku jijini Dar.
Picha hii ni leo Mwenge DSM.
Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini.

Picha ya close-in kuna polisi traffic lakini hawana la kufanya mjeda akikatiza red light.

Wabunge wetu muulizeni Waziri wa Ulinzi: Hii nini?
Katiba mpya ipewe Meno ya kumswaga kila atakayecheza na haki ya Mtz, kuanzia amiri jeshi.
 
Mkuu umetoa uzi muhimu sana,nchi yetu sasa ina Tabaka ambao wapo above law's, sheria ya barabarani ni kwa watumiaji wote regardless wewe ni nani,angalia jinsi hizi SU, ST, gari za jeshi na tiss yaani wao sheria hizi haziwahusu kabisa, why haya mambo yanaibuka miaka hii, kipindi cha president Nyerere (rip)wenye haki ya blue lights walikua wanna tu, na misafara yao ilikua hauzidi 3 cars, Yaani sweeper, main car for Subject na security, sasa hata igp, cdf, spika etc etc eti wana blue lights, kuishi ndani ya nchi hii kunakatanisha tamaa ya maisha
Unahisi kwanini ambulance haifuati Sheria ? Inapita kwenye Taa nyekundu na inapishwa na Magari Mengine . Ukipata majibu utapata majibu kwa hiyo hoja yako .

Take note .
Ambulance base on afya na uhai wa mwanadamu

Na huku Kwingine base kwenye core subject Yao dhidi ya faida kwa binadamu
 
Mnamkumbuka trafk aliechapwa makofi ubungo kwa sababu ya kuchelewesha magari upende wenye wanajeshi[emoji3][emoji3]
 
Swali kwa wale waliotembelea nchi mbalimbali,
Hii issue ya gari za Jeshi kukiuka Sheria za barabarani ni dunia nzima au ni Tanzania pekee?
 
Back
Top Bottom