Kiokotee
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,675
- 2,211
Inafikirisha! Labda ni sababu..Huenda mibomu hiyo Hawaeleweki hao.Unajua kilichobebwa humo? Huenda hakipaswi kusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inafikirisha! Labda ni sababu..Huenda mibomu hiyo Hawaeleweki hao.Unajua kilichobebwa humo? Huenda hakipaswi kusubiri
Hii namba 3,Sijaelewa.Mkuu ukiwa road kuna makundi ma3 ya magari yanayopewa kipaumbele: 1 Magari ya majeshi yote kwa ujumla wake. 2 Magari ya wagonjwa Ambulance. 3 Mabasi ya abiria ukifika stand ya Magu Mbezi ukiona basi la abiria linachomoka mazima toka stand kuingia barabara kuu usishangae
Enzi za unanijuwa Mimi nani zimerudi upyaaa kwaiyo usishangae ilo kunamengi yamejifichaView attachment 2230503View attachment 2230504
Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani.
Na tunawaona kila siku jijini Dar.
Picha hii ni leo Mwenge DSM.
Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini.
Picha ya close-in kuna polisi traffic lakini hawana la kufanya mjeda akikatiza red light.
Wabunge wetu muulizeni Waziri wa Ulinzi: Hii nini?
Bila sheria zilizowekwa kikatiba kuheshimiwa, nchi itaingia katika lawlessness.Enzi za unanijuwa Mimi nani zimerudi upyaaa kwaiyo usishangae ilo kunamengi yamejificha
Wewe zuzu kabisa.Amka waza zaidi ya kawaida, Usifikiri kitoto.Hivyo ni vyombo vya Ulinzi na alichobeba wewe hujui na hata akiwa anakimbiza gari wewe hujui sababu acha kuropoka. Hao wakiwa kwenye magari yao binafsi wala hawana hizo harakati wanaendesha kwa taratibu zote .Kwenye Mambo ya Ulinzi ya Nchi acha ujuaji wakati huna unalojua.
Wewe ni zaidi ya mjinga.Jiunga na Jeshi na wewe utanue
Ukiona gari ya Jeshi ipishe wa aweza kuwa wanawahi kukabili magaidi au majambazi yaliyovamia nyumbani kwako au wanawaita operation ya kijeshi mahali
Pisha tu na kigari chako koko kopo lililochakaa likanyewa Japan ukanunua wewe kama used car
Kuwa na Ki used car chako unajiona na wewe una hadhi kubwaaaa barabarani!!!.pisha huko
Huyu hajui uzi sio huuUnajua kilichobebwa humo? Huenda hakipaswi kusubiri
Lakini kwenye hii picha gari hilo la jeshi la wananchi halijakatiza red light mkuu. Ushahidi wako ni batili mkuu.View attachment 2230503View attachment 2230504
Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani.
Na tunawaona kila siku jijini Dar.
Picha hii ni leo Mwenge DSM.
Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini.
Picha ya close-in kuna polisi traffic lakini hawana la kufanya mjeda akikatiza red light.
Wabunge wetu muulizeni Waziri wa Ulinzi: Hii nini?
Ilibidi aweke video kabisa hii picha sio ushahidi mzuri.Lakini kwenye hii picha gari hilo la jeshi la wananchi halijakatiza red light mkuu. Ushahidi wako ni batili mkuu.
Acha upumbavu hakuna aliye juu ya sheria, na elewa vyombo hivi vinatakiwa kufanya kazi kwa kuonyesha weledi wa kisheria,awamu ya kwanza mbona Hayabusa yanayokea na kipindi kile kulikua na pressing issue za cold War na liberation war,mimi sio zuzu kama wewe,ukiingia Zambia kuna road blocks za wanajeshi na wana respect ta hali ya juu huwezi kuona wanafanya vitu wanavyotakaAmka waza zaidi ya kawaida, Usifikiri kitoto.Hivyo ni vyombo vya Ulinzi na alichobeba wewe hujui na hata akiwa anakimbiza gari wewe hujui sababu acha kuropoka. Hao wakiwa kwenye magari yao binafsi wala hawana hizo harakati wanaendesha kwa taratibu zote .Kwenye Mambo ya Ulinzi ya Nchi acha ujuaji wakati huna unalojua.
Ilibidi kuwe na king'ora kama dio hivyo; acheni uzwazwaUnajua kilichobebwa humo? Huenda hakipaswi kusubiri
Yaani mkuu mazuzu ni wengi mno,tembelea Botswana uone jeshi lake lilivyo na heshima na kuheshimu sheria, panamatenga barracks binafsi nilipata msaada mkubwa mno kutoka kwa wanajeshi wale,sidhani kama ningepata car broke down hapa lugalo barracks ningesaidiwa vileMkuu hili uliloligusia ni zito.
Nchi hii kuna wasiogusika halafu tunatunga sheria zisizo na mashiko.
Unaweza kukuta hata kimebeba mafawa ya kulevyaEnzi za unanijuwa Mimi nani zimerudi upyaaa kwaiyo usishangae ilo kunamengi yamejificha
Unaweza kuta hata baiskeli ukoo wenu mzima hamna. JF banaJiunga na Jeshi na wewe utanue
Ukiona gari ya Jeshi ipishe wa aweza kuwa wanawahi kukabili magaidi au majambazi yaliyovamia nyumbani kwako au wanawaita operation ya kijeshi mahali
Pisha tu na kigari chako koko kopo lililochakaa likanyewa Japan ukanunua wewe kama used car
Kuwa na Ki used car chako unajiona na wewe una hadhi kubwaaaa barabarani!!!.pisha huko
Una gari wewe kweli; umeangalua Zebra crossing ziko wapi?Lakini kwenye hii picha gari hilo la jeshi la wananchi halijakatiza red light mkuu. Ushahidi wako ni batili mkuu.
Wenye magari used mna nyodo barabarani utafikiri matajiri wakubwa barabaraniUnaweza kuta hata baiskeli ukoo wenu mzima hamna. JF bana