Magari ya Jeshi kwa makusudi hawaheshimu Sheria za Usalama barabarani

Magari ya Jeshi kwa makusudi hawaheshimu Sheria za Usalama barabarani

Mkuu ukiwa road kuna makundi ma3 ya magari yanayopewa kipaumbele: 1 Magari ya majeshi yote kwa ujumla wake. 2 Magari ya wagonjwa Ambulance. 3 Mabasi ya abiria ukifika stand ya Magu Mbezi ukiona basi la abiria linachomoka mazima toka stand kuingia barabara kuu usishangae
Hii namba 3,Sijaelewa.
 
View attachment 2230503View attachment 2230504

Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani.

Na tunawaona kila siku jijini Dar.
Picha hii ni leo Mwenge DSM.
Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini.

Picha ya close-in kuna polisi traffic lakini hawana la kufanya mjeda akikatiza red light.

Wabunge wetu muulizeni Waziri wa Ulinzi: Hii nini?
Enzi za unanijuwa Mimi nani zimerudi upyaaa kwaiyo usishangae ilo kunamengi yamejificha
 
Ili swala lipitiwe upya ata gari za kiserikali nyingi barabarani ni watukutu na hawafati sheria
 
Kuna mjeshi mmoja alivunja sheria traffic lights, alibondwa hadi kufa.

Acha wajifanye roho ngumu watakwisha, nasema watapukutika.
 
Jiunga na Jeshi na wewe utanue

Ukiona gari ya Jeshi ipishe wa aweza kuwa wanawahi kukabili magaidi au majambazi yaliyovamia nyumbani kwako au wanawaita operation ya kijeshi mahali

Pisha tu na kigari chako koko kopo lililochakaa likanyewa Japan ukanunua wewe kama used car

Kuwa na Ki used car chako unajiona na wewe una hadhi kubwaaaa barabarani!!!.pisha huko
 
Amka waza zaidi ya kawaida, Usifikiri kitoto.Hivyo ni vyombo vya Ulinzi na alichobeba wewe hujui na hata akiwa anakimbiza gari wewe hujui sababu acha kuropoka. Hao wakiwa kwenye magari yao binafsi wala hawana hizo harakati wanaendesha kwa taratibu zote .Kwenye Mambo ya Ulinzi ya Nchi acha ujuaji wakati huna unalojua.
Wewe zuzu kabisa.
Nchi zilizoendelea na zinazonajielewa , kama unasafirisha kitu hatari unafunga barabara zote.
Mzigo unapita.
Hiki tunachokiona ni ukosefu wa nidhamu na adabu, hasa kwa watu tunaokatwa kodi ili mtutumikie kiusalama na kwa weledi.
 
Kwa kutokutii sheria ndio maana kuna baadhi ya watu wakipata ajali na kufia mbali mm nakunywa bia na kuchinja ng'ombe niburudike.
Nchi imejawa na wajinga sana.
Sheria zimewekwa na ziheshimiwe na wote.
Kama mtu ana haraka basi awashe king'ora ili apewe kipaumbele apite awahi zake.
 
Jiunga na Jeshi na wewe utanue

Ukiona gari ya Jeshi ipishe wa aweza kuwa wanawahi kukabili magaidi au majambazi yaliyovamia nyumbani kwako au wanawaita operation ya kijeshi mahali

Pisha tu na kigari chako koko kopo lililochakaa likanyewa Japan ukanunua wewe kama used car

Kuwa na Ki used car chako unajiona na wewe una hadhi kubwaaaa barabarani!!!.pisha huko
Wewe ni zaidi ya mjinga.
 
View attachment 2230503View attachment 2230504

Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani.

Na tunawaona kila siku jijini Dar.
Picha hii ni leo Mwenge DSM.
Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini.

Picha ya close-in kuna polisi traffic lakini hawana la kufanya mjeda akikatiza red light.

Wabunge wetu muulizeni Waziri wa Ulinzi: Hii nini?
Lakini kwenye hii picha gari hilo la jeshi la wananchi halijakatiza red light mkuu. Ushahidi wako ni batili mkuu.
 
Amka waza zaidi ya kawaida, Usifikiri kitoto.Hivyo ni vyombo vya Ulinzi na alichobeba wewe hujui na hata akiwa anakimbiza gari wewe hujui sababu acha kuropoka. Hao wakiwa kwenye magari yao binafsi wala hawana hizo harakati wanaendesha kwa taratibu zote .Kwenye Mambo ya Ulinzi ya Nchi acha ujuaji wakati huna unalojua.
Acha upumbavu hakuna aliye juu ya sheria, na elewa vyombo hivi vinatakiwa kufanya kazi kwa kuonyesha weledi wa kisheria,awamu ya kwanza mbona Hayabusa yanayokea na kipindi kile kulikua na pressing issue za cold War na liberation war,mimi sio zuzu kama wewe,ukiingia Zambia kuna road blocks za wanajeshi na wana respect ta hali ya juu huwezi kuona wanafanya vitu wanavyotaka
 
Mkuu hili uliloligusia ni zito.
Nchi hii kuna wasiogusika halafu tunatunga sheria zisizo na mashiko.
Yaani mkuu mazuzu ni wengi mno,tembelea Botswana uone jeshi lake lilivyo na heshima na kuheshimu sheria, panamatenga barracks binafsi nilipata msaada mkubwa mno kutoka kwa wanajeshi wale,sidhani kama ningepata car broke down hapa lugalo barracks ningesaidiwa vile
 
Jiunga na Jeshi na wewe utanue

Ukiona gari ya Jeshi ipishe wa aweza kuwa wanawahi kukabili magaidi au majambazi yaliyovamia nyumbani kwako au wanawaita operation ya kijeshi mahali

Pisha tu na kigari chako koko kopo lililochakaa likanyewa Japan ukanunua wewe kama used car

Kuwa na Ki used car chako unajiona na wewe una hadhi kubwaaaa barabarani!!!.pisha huko
Unaweza kuta hata baiskeli ukoo wenu mzima hamna. JF bana
 
Lakini kwenye hii picha gari hilo la jeshi la wananchi halijakatiza red light mkuu. Ushahidi wako ni batili mkuu.
Una gari wewe kweli; umeangalua Zebra crossing ziko wapi?
 
Unaweza kuta hata baiskeli ukoo wenu mzima hamna. JF bana
Wenye magari used mna nyodo barabarani utafikiri matajiri wakubwa barabarani
Serikali iko haja itenge barabara za vumbi watembelee wenye magari used waliyonunua na waluonunua magari mapya wapite kwenye lami kukomesha hizo nyodo za wenye magari mitumba kama mleta mada .Za lami zibakie tu kutumiwa na wenye magari mapya na Jeshi na Serikali sababu Jeshi na Serikali huwa hainunui magari used.

Kwa kuanzia wenye magari used waruhusiwe kutumia service road ila kwenye lami wasikanyage wakati Serikali ikiandaa bajeti ya kuwatengenezea barabara za vumbi wapite huko na magari yao used likiwemo lako
 
Back
Top Bottom