Magari ya Jeshi kwa makusudi hawaheshimu Sheria za Usalama barabarani

Magari ya Jeshi kwa makusudi hawaheshimu Sheria za Usalama barabarani

Yani aligongwa na gari nyingine

Nafikiri itakua hivyo mkuu, but sina uhakika nami nilidokezwa na jamaa

However, kila mara nikishuhudia magari ya jeshi, polisi na magari ya serikalini yakivunja sheria za bara bara+traffic lights
 
Unahisi kwanini ambulance haifuati Sheria ? Inapita kwenye Taa nyekundu na inapishwa na Magari Mengine . Ukipata majibu utapata majibu kwa hiyo hoja yako .

Take note .
Ambulance base on afya na uhai wa mwanadamu

Na huku Kwingine base kwenye core subject Yao dhidi ya faida kwa binadamu
Sasa naelewa why nchi hii ina mazuzu wengi, ungeonyesha dalili za kuwa na uwezo wa kufikiri ningekupeleka Zambia,Namibia na Botswana kwenye miji yao mikuu ili uone majeshi yao yanavyo behave, nchi hizo zote elewa Zina pia road blocks wanazozisimamia,raia they never complain
 
Yaani mkuu mazuzu ni wengi mno,tembelea Botswana uone jeshi lake lilivyo na heshima na kuheshimu sheria, panamatenga barracks binafsi nilipata msaada mkubwa mno kutoka kwa wanajeshi wale,sidhani kama ningepata car broke down hapa lugalo barracks ningesaidiwa vile
Ata bongo wapo wenye nidhamu tu
 
Amka waza zaidi ya kawaida, Usifikiri kitoto.Hivyo ni vyombo vya Ulinzi na alichobeba wewe hujui na hata akiwa anakimbiza gari wewe hujui sababu acha kuropoka. Hao wakiwa kwenye magari yao binafsi wala hawana hizo harakati wanaendesha kwa taratibu zote .Kwenye Mambo ya Ulinzi ya Nchi acha ujuaji wakati huna unalojua.
Nani kakwambia hawa haya gari binafsi hv hv wanatundika koti lina mawe began kwmy siti ya dreva utamwambia nn
 
Back
Top Bottom