Dunia hii hii mkuu labda wewe mwenzangu upo kwenye space... gari gani hio husikii mlio yenye kutumia diesel au petrol?Mkuu upo dunia gani? Mbona sa izi kuna magari ukiwa ndani husii hata mlio wa gari
ebu skia hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia hii hii mkuu labda wewe mwenzangu upo kwenye space... gari gani hio husikii mlio yenye kutumia diesel au petrol?Mkuu upo dunia gani? Mbona sa izi kuna magari ukiwa ndani husii hata mlio wa gari
Hivi magari na viwanda kitu gan kinachafua mazingira zaidi....wazungu wanakomaa na magari wakati wanajua viwanda ni balaaaHili suala la ukitumia gari za umeme unaokoa mazingira nalo lina changamoto zake.
Battery za hizo gari zinatengenezwa kutokana na madini yanayochimbwa ardhini kama lithium,cobalt etc kwa hio hayo magari yakitengenezwa kwa mamilioni maana yake hapo kunaenda kufanyika uharibifu wa kufa mtu wa mazingira.
Mamabo ya power bankUmenikumbusha mbali sana.
Huwa nikimfikiria Rudolf nabaki namwacha kama alivyo.View attachment 1674324
Kwa akili zetu na sisi tutayapiga marufuku kua hatutaki kua dampo... au tutayapandishia ushuru balaaWafanye hivi, wao watumie ya umeme halafu yake ma vx ya diesel wayauze dola moja moja. Huku ss tutapanda miti ya kutosha ichuje hiyo hewa.
Mchina anawacheki tuu...yakifika huku anatuletea PowerBank hataki masikhara kabisaRudolf Diesel aliumiza Sana kichwa na matunda yake tutayafaidi hata gari za umeme zikipewa kipaumbele.
Hizo electric vehicle ni Kwa ajili ya town trip, uwezi ukawa na safari ya kutoka Mbeya-Mpanda-Kigoma au Moro-Ifakara- Malinyi hapo akili itakurudi na kukumbuka nishati ya mafuta
Kama haya magari ya huku kijijini kwetu ya kubebea nyama?Kwa tafiti zako gari ya garama nafuu kwa sasa nisawa na shilingi ngapi za Kitanzania
Viwanda vinachafua mazingira saaana mkuu.Hivi magari na viwanda kitu gan kinachafua mazingira zaidi....wazungu wanakomaa na magari wakati wanajua viwanda ni balaaa
Bongo na hili joto nahisi hata hizi cells za battery zitakuwa zinakufa pre-maturely!Kibongobongo hata town trip ni shida.
Hizo ni gari za ulaya wenye mtandao mpana wa charging stations.
Mkuu Kila kitu Duniani kinatoka Ardhini. Chuma mchanga Malighafi za kutengeneza Sement nk lakini hatujaona huo Uharibifu mkubwa wa Mazingira ili Hali Kuna majengo Mengi Duniani kuliko idadi ya Magari Yote yatakayowahi kuwepoHili suala la ukitumia gari za umeme unaokoa mazingira nalo lina changamoto zake.
Battery za hizo gari zinatengenezwa kutokana na madini yanayochimbwa ardhini kama lithium,cobalt etc kwa hio hayo magari yakitengenezwa kwa mamilioni maana yake hapo kunaenda kufanyika uharibifu wa kufa mtu wa mazingira.
Kwa sasa biashara ya magari ina faida kubwa sana na inakua kama ulemavu flan aanautengeneza. Magari ya zaman yalikua na uwezo wa kudumu hata miaka 40 katika mazingira magumu na garama ndogo za matengenezo kama LandRover 109, staut,Isuzu injection, n.k ila ya sasa kila kitu umeme hivyo kuyafanya kua delicate sana.Viwanda vinachafua mazingira saaana mkuu.
Nadhani hawa jamaa hua wana mission yao.
Mazingira gani yanayotunzwa na magari ya umeme! Hio Lithium inapatikana vipi na huo umeme wa kuchajia izo betry unapatikana vipi! kuzidisha load tu kwenye grid.
Ili ujue kama umeendesha gari, usikie engine inavonguruma! other than that utakuwa unaendesha scooter ya maringi manne na cabin tu.
Duu nimecheka SanaDada yake Britney Spears, Jamie Lynn Spears anamlalamikia Elon Musk kwamba magari ya umeme ya Tesla yanaua paka wake, kwa sababu paka wanakuwa hawasikii gari linavyokuja.
Magari ya umeme hayana kelele kama magari ya mafuta.
Hiyo ni moja ya kasoro ya magari ya umeme.
![]()
Jamie Lynn Spears blames Elon Musk and Tesla for killing her cats
Jamie Lynn Spears called Tesla "a secret cat-killer" and told CEO Elon Musk that he owes her a couple new feline friends.edition.cnn.com
Jf full burudani... Mkuu umewaza mbali Sana Hope Nia yako Ni kumilike Chuma VX Basi nakuombea Mungu akufanikishe ndoto yako ulipate kwa Bei yoyote ile.Wafanye hivi, wao watumie ya umeme halafu yake ma vx ya diesel wayauze dola moja moja. Huku ss tutapanda miti ya kutosha ichuje hiyo hewa.
Kama nakumbuka vzr hata mbuga ya kruger ya S/Africa wali convert landcruiser wakaifanya ya umeme wakaenda nayo porini,aisee ilileta taharuki kubwa sana kwa wanyama maana walikua wanajiuliza ni kitu gani hiki kinatembea bila ya sauti maana wale wanyama walishazoea magari ya diesel/petrol,mwishowe wakaachana na mpango wa matumizi ya gari za umeme huko mbugani.Dada yake Britney Spears, Jamie Lynn Spears anamlalamikia Elon Musk kwamba magari ya umeme ya Tesla yanaua paka wake, kwa sababu paka wanakuwa hawasikii gari linavyokuja.
Magari ya umeme hayana kelele kama magari ya mafuta.
Hiyo ni moja ya kasoro ya magari ya umeme.
![]()
Jamie Lynn Spears blames Elon Musk and Tesla for killing her cats
Jamie Lynn Spears called Tesla "a secret cat-killer" and told CEO Elon Musk that he owes her a couple new feline friends.edition.cnn.com
Tesla full charged inaenda mpk Km 640.Kibongobongo hata town trip ni shida.
Hizo ni gari za ulaya wenye mtandao mpana wa charging stations.
Hahahahahah aisee ...kwa hiyo wanyama walikua wanajua hiyo..L.C Hardtop' hiyo LR defender ....sasa wakashtuka balaa kitu hakina mlioKama nakumbuka vzr hata mbuga ya kruger ya S/Africa wali convert landcruiser wakaifanya ya umeme wakaenda nayo porini,aisee ilileta taharuki kubwa sana kwa wanyama maana walikua wanajiuliza ni kitu gani hiki kinatembea bila ya sauti maana wale wanyama walishazoea magari ya diesel/petrol,mwishowe wakaachana na mpango wa matumizi ya gari za umeme huko mbugani.
Hahah walitoka nduki balaa,mpk wataalamu wakasema in long run hii kitu itawadhuru wanyama kwa panicking 😃😃😃😃😃😃.Hahahahahah aisee ...kwa hiyo wanyama walikua wanajua hiyo..L.C Hardtop' hiyo LR defender ....sasa wakashtuka balaa kitu hakina mlio
Sasa wao hawanunui gari kwa sababu ya sauti. Maifa mengi ya ulaya yanahamia kwenye electric carsHayo magari ya umeme hayana Raha yoyote.
Mkuu gari za injini (internal engine combustion) ya petrol/diesel zina utamu wake. Wakina Rudolf Diesel waliumiza vichwa hasa kutengeneza Diesel engines.
Hao wazungu wanapenda mazingira Ila wakisikia sound za V8/V10/V12 akili zinawahama.
Ishu ni kudai kuwa wanatunza mazingira kupitia hizo electric cars. Lakini upatikanaji wa hio lithium battery ni worse kabisa na inatumia precious resource ambayo ni muhimu kwa viumbe hai, shughuli za uchimbaji wa lithium zinatumia MAJI mengi mno. Moja kati ya athari ya uchimbaji lithium wanasema inaweza kusababisha ukame!Mkuu Tesla na makampuni Mengine wanawekeza kwenye nishati mbadala ya Jua Upepo na maji. Kwa Hiyo wanajenga charging stations nyingi kwa Kutumia solar panels hasa Tesla. Kikubwa Ni kuwa wanaandaa Mazingira mbadala baada ya mafuta kuja kuisha huko mbeleni.
AhTesla full charged inaenda mpk Km 640.