MAGARI YA UMEME: Fahamu Faida Zake, Aina na Namna Yanavyofanya Kazi

MAGARI YA UMEME: Fahamu Faida Zake, Aina na Namna Yanavyofanya Kazi

Uzuri ni kwamba zile battery zote ziko owned na Co.,so kwa case yoyote ile ni mtu anaipeleka hio battery karibu na kituo kilicho karibu nae wanabadilisha chap then nduki
Hio ni inconvinience. Wakati unakwenda kuchange betri hujui hali ya hio betri unaichukua ikoje, unaondoka kilomita kadhaa inakudai chaji na kituo hakipo karibu.
 
Simaanishi hio system ilokuwemo kwenye hybrid, nazungumzia full electric car. Wakati maringi yanazunguka, kwanini mzunguko wa hayo maringi usitumike kuzalisha umeme na kurudisha chaji kwenye betri? Windmill inazunguka ndio inatowa umeme, Hydro Elctric Power turbines zinazunguka na kuzalisha umeme, vipi maringi ya gari yanazunguka lakini hayazalishi umeme?
Principal of Energy conversation. Energy can neither be created nor Destroyed. Hapo haiwezekani Sababu kuzungusha tuu Motor kuzalisha umeme inahitaji nishati. Ila Kama umeangalia Design za Tesla( sedan na semi) Wakati wa kushika breki ndiyo zinajichaji Tena. Kwa Hiyo Kama Ni Barabara za miteremko ndipo unaweza kuchaji
 
Hili suala la ukitumia gari za umeme unaokoa mazingira nalo lina changamoto zake.

Battery za hizo gari zinatengenezwa kutokana na madini yanayochimbwa ardhini kama lithium,cobalt etc kwa hio hayo magari yakitengenezwa kwa mamilioni maana yake hapo kunaenda kufanyika uharibifu wa kufa mtu wa mazingira.
Rudolf Diesel aliumiza Sana kichwa na matunda yake tutayafaidi hata gari za umeme zikipewa kipaumbele.

Hizo electric vehicle ni Kwa ajili ya town trip, uwezi ukawa na safari ya kutoka Mbeya-Mpanda-Kigoma au Moro-Ifakara- Malinyi hapo akili itakurudi na kukumbuka nishati ya mafuta
Kibongobongo hata town trip ni shida.

Hizo ni gari za ulaya wenye mtandao mpana wa charging stations.
Mazingira gani yanayotunzwa na magari ya umeme! Hio Lithium inapatikana vipi na huo umeme wa kuchajia izo betry unapatikana vipi! kuzidisha load tu kwenye grid.

Ili ujue kama umeendesha gari, usikie engine inavonguruma! other than that utakuwa unaendesha scooter ya maringi manne na cabin tu.
Bongo na hili joto nahisi hata hizi cells za battery zitakuwa zinakufa pre-maturely!
Wenye magari yanayotumia mafuta naona mna hofu Sana km vile mmeambiwa Kesho ndyo mwisho wa kutumia magari yenu!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Principal of Energy conversation. Energy can neither be created nor Destroyed. Hapo haiwezekani Sababu kuzungusha tuu Motor kuzalisha umeme inahitaji nishati. Ila Kama umeangalia Design za Tesla( sedan na semi) Wakati wa kushika breki ndiyo zinajichaji Tena. Kwa Hiyo Kama Ni Barabara za miteremko ndipo unaweza kuchaji
Say hio electric car ina motors za nyuma kupush gari. Wakati wa kuendeshe gari maringi ya mbele yanazungushwa kutokana na ile push ya maringi ya nyuma. Vipi maringi ya mbele hayatumiki kuzalisha umeme kutokana na huo mzunguko
 
Bro Kuna vipimo... Halafu Wenzetu hawana ubabaishaji
So, lets say mimi gari yngu betri ni mbovu, nimeenda kwenye battery change station, mimi sijui kama betri yangu mbovu au ntakayoekewa ni mbovu. So during the time of changing, inafanyiwa kipimo na hio mashine kuona kama betri nnayoitoa mbovu kabla ya kuekewa nyengine?
 
Hayo magari ya umeme hayana Raha yoyote.

Mkuu gari za injini (internal engine combustion) ya petrol/diesel zina utamu wake. Wakina Rudolf Diesel waliumiza vichwa hasa kutengeneza Diesel engines.

Hao wazungu wanapenda mazingira Ila wakisikia sound za V8/V10/V12 akili zinawahama.
Hayo magari ni vichomi kwakweli hayana raha .. kucharge gari .. tena mie na haraka zangu alafu niweke pozi najaza charge tena.. hata nguvu na masha nazo
 
Nakubali mkuu,ukiisikia kitu kama Lexus LFA iko inapiga mluzi ukija kulinganisha na Gari za umeme unaona ni bure kabisa.
Hapo tu pa kutembea km 400 alafu nacharge tena ndio ujinga unapo anzia.. diesel au petrol ina raha yake.. hata nguvu itokayo kwenye hizo dude ni hatari sidhani kama tutaziona kwenye umeme
 
Hapo tu pa kutembea km 400 alafu nacharge tena ndio ujinga unapo anzia.. diesel au petrol ina raha yake.. hata nguvu itokayo kwenye hizo dude ni hatari sidhani kama tutaziona kwenye umeme
Hahah kweli mkuu,hapo kwny nguvu unamaanisha mambio au?
 
Simaanishi hio system ilokuwemo kwenye hybrid, nazungumzia full electric car. Wakati maringi yanazunguka, kwanini mzunguko wa hayo maringi usitumike kuzalisha umeme na kurudisha chaji kwenye betri? Windmill inazunguka ndio inatowa umeme, Hydro Elctric Power turbines zinazunguka na kuzalisha umeme, vipi maringi ya gari yanazunguka lakini hayazalishi umeme?
Mimi huwa nina mpango wa kuja kuifanyia modification pikipiki ya umeme, inavyosepa iwe inajicharge.
 
Back
Top Bottom