East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Wazeee wa oya oya ful speed mwanzo mwisho watatuangusha sana hawa wazunguIshu ni kudai kuwa wanatunza mazingira kupitia hizo electric cars. Lakini upatikanaji wa hio lithium battery ni worse kabisa na inatumia precious resource ambayo ni muhimu kwa viumbe hai, shughuli za uchimbaji wa lithium zinatumia MAJI mengi mno. Moja kati ya athari ya uchimbaji lithium wanasema inaweza kusababisha ukame!
Besides, kweli ukae karibia lisaa kujaza chaji betri yako? unapoteza precious time