MAGARI YA UMEME: Fahamu Faida Zake, Aina na Namna Yanavyofanya Kazi

Wazeee wa oya oya ful speed mwanzo mwisho watatuangusha sana hawa wazungu
 
Hio Idea ni nzuri lakini battery zina degrade. Atakuja mtu aweke battery yake ishaanza kufifia. Unapewa battery fully charged lakini unaona unakwenda short distance
Hizi za umeme zitakuwa kisanga sana, unaona battery ipo full alafu gahfla unatembea dk kadhaa inakata, battery ikianza mauza uza kama Techno wereva ndio majuto
 
Hahah vile vi tesla vinatembea kishenzi mzee baba,ziko zinazoenda mpk 0-60 kwa 2.3sec ,yaani kuliko hata supercars.

Ila hazina mzuka ule wa Petrol car,ogopa sana gari inakimbia kichizi afu haina muungurumo wa kibabe hata hainogi aisee.
 
Bado siziamini, hata waki weka opt ya kunipa gari nachagua la petrol. Napenda sana gari za petrol
 
Nadhani hili lazima wameliona lazima tutafika huko. Gari lazima litajichaji mwisho wa siku tena kwa hisani ya mchina
 
Nadhani hili lazima wameliona lazima tutafika huko. Gari lazima litajichaji mwisho wa siku tena kwa hisani ya mchina
Hili swala linawezekana hata sasa ila nahisi wakifanya ivo watakosa biashara ya vituo vya kuchajisha
 
kwa TZ tuwe na campaign ya kufunga nishati ya Gas. miaka ya nyuma tulitamgaziwa tupeleke magari watufungie hiyo mifumo na vituo vikajengwa vya kujazia gas sikumbuki iliishia wapi hii campign sijasikia tena.
Wapigaji walipiga
 
Apo bro niwakati wako ki design huo mfumo na kupiga ela
 
Apo bro niwakati wako ki design huo mfumo na kupiga ela
Ah sijasomea ivo vitu kwa kweli.... Ila kama kuna mtu amesomea ni kweli, anaweza kupiga hela hapa kwetu akaanza na pikipiki za umeme maana zimeanza kuingia ingia saiv
 
Kuna sheria nasikia walipendekeza yawekwe sauti yanaendeshwa
 
Kwanini lisitengenezewe mfumo wa kua linajichajilenyewe mala baaada ya kuchajiwa kwa hawamu ya kwanza kabisa?
Kwa maaana kua ni rahisi kuzalisha umeme mahal palipo na mzunguko( pale gari inapotembea).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…