Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
As soon as China succeeds in some area, the imperialists will find some excuse to attack; security, subsidy, human rights, blah blahTatizo lilianza Mchina kupiga marufuku Iphone kwa matumizi ya ofisi za umma.
Ukimgusa Us umewagusa wazungu wote
Naye hajui kula na kipofuAs soon as China succeeds in some area, the imperialists will find some excuse to attack security, subsidy, human rights, blah blah
Alianza nani!?Tatizo lilianza Mchina kupiga marufuku Iphone kwa matumizi ya ofisi za umma.
Ukimgusa Us umewagusa wazungu wote
As soon as China succeeds in some area, the imperialists will find some excuse to attack security, subsidy, human rights, blah blah
Usikubali kuwa mtumwa wa hao watu.Naye hajui kula na kipofu
Acha kunya cheche wewe mchina hana technology kali yakumfikia Mzungu nenda katawaze urudi kula.Beberu anajua they cant stop China wamebaki kupiga kelele tuu na majungu, walimpiga ban kila kona kwenye Chip technology lakini haikusaidia, juzi HUAWEI kaja na technology kali kuliko walivyotegemea, wazungu mafala sana wanafikiri wao peke yao ndio wanahitaji kuishi vizuri, ila mchina anawakomesha na mchina akipata anamwaga dunia nzima
Hakika mkuu alete mzigo Africa tuachane na mkojo wa Mwarabu maana kila siku price haielewekiAlete mzigo Africa tu. Maguta kashaleta sasa atuletee vyombo kabisa kwa million 10-20 tu atauza sana.
Shida wale mabwege pale TPA na TRA wanazichaji kodi hizo gari za umeme. Nimeshangaa mno wakati wenzetu wanazichukulia kama faida kwa mazingira zina msamaha wa kodi.Hakika mkuu alete mzigo Africa tuachane na mkojo wa Mwarabu maana kila siku price haieleweki
Atapiga hela sana
Tanzania ni taifa la ajabu sana duniani.Shida wale mabwege pale TPA na TRA wanazichaji kodi hizo gari za umeme. Nimeshangaa mno wakati wenzetu wanazichukulia kama faida kwa mazingira zina msamaha wa kodi.
Tuna shida kubwa ya uongozi.Shida wale mabwege pale TPA na TRA wanazichaji kodi hizo gari za umeme. Nimeshangaa mno wakati wenzetu wanazichukulia kama faida kwa mazingira zina msamaha wa kodi.
Ndio wanachofanya hicho. Gari ya $5000 utakuta kodi ni dollar $6000Tanzania ni taifa la ajabu sana duniani.
Zitapigwa import duties kubwa, wao hesabu zao zitakuwa kwenye kufidia ile kodi ya kila lita ya mafuta inayoingia serikalini
Badala ya kuona hizi Electric Vehicles ni mkombozi kwa kulinda mazingira zitakuwa adui kwao
KweliNdio wanachofanya hicho. Gari ya $5000 utakuta kodi ni dollar $6000
Soko lenye hela ya bidhaa za mchina lipo kwenye nchi za mabeberu.Shida wale mabwege pale TPA na TRA wanazichaji kodi hizo gari za umeme. Nimeshangaa mno wakati wenzetu wanazichukulia kama faida kwa mazingira zina msamaha wa kodi.
Soko lenye hela nyingi lipo kwenye nchi za mabeberu Ila kwa nchi zingine anapata hela za madafu. Ndiyo maana analalamika. Kwani ni lazima kuuza bidhaa zake ulaya? Apeleke Urusi, korea kaskazini, Iran, Afrika maana huko kuna wateja wengi sana.Haha hawa watu walikua wamejiundia kakikumdi ka nchi zao kalikokua kanaishi kwa gharama za mataifa mengine duniani kwa kununua raw materials kwa bei poa na kurudisha manufactured goods kwa bei inayofilisi nchi zingine.(win lose)
Sasa imetikea china ambayo imejiendeleza kitechologia na bila kuwa na tamaa ya kuwanyanya wenzake (win win) waanza kulialia na hawamini wanachikiona.
Kujaribu kuendelea kudhibiti China ni kama kuzuia mafuriko kwa mkono maana hata wao watapata consequences.
Watulie waangalie tu anguko lao hawana namna.
NASHANGAA BANDARI YETU INACHAJI KODI BEI KUBWA KULIKO THAMANI ULIYONUNULIA GARI KUTOKA JAPAN WAKATI HAIKUCHANGIA TAIRI WALA SIDE MIRROR LAKINI BADO BEI INAZIDI YA MTENGENEZAJI, HII NCHI SIJUI IMELAANIWA?Ndio wanachofanya hicho. Gari ya $5000 utakuta kodi ni dollar $6000
Hawa eu SI ndio champion WA free makets ila wakiona wanazidiwa kete wanahamisha goli.Soko lenye hela ya bidhaa za mchina lipo kwenye nchi za mabeberu.
Kwenye nchi km za kwetu na za kiarabu, anapata hela ya madafu. Akipigwa ban kuuza bidhaa zake kichwa huwa kinamuuma sana.
China akipiga ban bidhaa za mabeberu ni uzalendo, ila za kwake zikipigwa ban ni wivu na hujuma
Nchi imebarikiwa, waliolaaniwa ni tuliowapa dhamana.NASHANGAA BANDARI YETU INACHAJI KODI BEI KUBWA KULIKO THAMANI ULIYONUNULIA GARI KUTOKA JAPAN WAKATI HAIKUCHANGIA TAIRI WALA SIDE MIRROR LAKINI BADO BEI INAZIDI YA MTENGENEZAJI, HII NCHI SIJUI IMELAANIWA?