Magari ya umeme kutoka China hatiani kupigwa marufuku Ulaya

Naye hajui kula na kipofu
Usikubali kuwa mtumwa wa hao watu.

Wao walipiga marufuku HUAWEI na ZTE kwa sababu za kiusalama kama haitoshi wakaipiga ban TikTok kwa matumizi ya ofisi za umma sababu ni hizohizo za kiusalama

Mpaka leo US na EU wameshindwa kuthibitisha madai yao

China amekataa huo utumwa na yeye kaipiga ban iPhone 15 kwenye matumizi ya ofisi za umma/kiserikali

Akikupiga ngumi ya jicho akikuuliza unaonaje, na wewe mpige ya sikio muulize unasikiaje -Fid Q
 
Beberu anajua they cant stop China wamebaki kupiga kelele tuu na majungu, walimpiga ban kila kona kwenye Chip technology lakini haikusaidia, juzi HUAWEI kaja na technology kali kuliko walivyotegemea, wazungu mafala sana wanafikiri wao peke yao ndio wanahitaji kuishi vizuri, ila mchina anawakomesha na mchina akipata anamwaga dunia nzima
Acha kunya cheche wewe mchina hana technology kali yakumfikia Mzungu nenda katawaze urudi kula.
 
Shida wale mabwege pale TPA na TRA wanazichaji kodi hizo gari za umeme. Nimeshangaa mno wakati wenzetu wanazichukulia kama faida kwa mazingira zina msamaha wa kodi.
Tanzania ni taifa la ajabu sana duniani.

Zitapigwa import duties kubwa, wao hesabu zao zitakuwa kwenye kufidia ile kodi ya kila lita ya mafuta inayoingia serikalini

Badala ya kuona hizi Electric Vehicles ni mkombozi kwa kulinda mazingira zitakuwa adui kwao
 
Ndio wanachofanya hicho. Gari ya $5000 utakuta kodi ni dollar $6000
 
Haha hawa watu walikua wamejiundia kakikumdi ka nchi zao kalikokua kanaishi kwa gharama za mataifa mengine duniani kwa kununua raw materials kwa bei poa na kurudisha manufactured goods kwa bei inayofilisi nchi zingine.(win lose)
Sasa imetikea china ambayo imejiendeleza kitechologia na bila kuwa na tamaa ya kuwanyanya wenzake (win win) waanza kulialia na hawamini wanachikiona.
Kujaribu kuendelea kudhibiti China ni kama kuzuia mafuriko kwa mkono maana hata wao watapata consequences.
Watulie waangalie tu anguko lao hawana namna.
 
Shida wale mabwege pale TPA na TRA wanazichaji kodi hizo gari za umeme. Nimeshangaa mno wakati wenzetu wanazichukulia kama faida kwa mazingira zina msamaha wa kodi.
Soko lenye hela ya bidhaa za mchina lipo kwenye nchi za mabeberu.
Kwenye nchi km za kwetu na za kiarabu, anapata hela ya madafu. Akipigwa ban kuuza bidhaa zake kichwa huwa kinamuuma sana.
China akipiga ban bidhaa za mabeberu ni uzalendo, ila za kwake zikipigwa ban ni wivu na hujuma
 
Haha hawa watu walikua wamejiundia kakikumdi ka nchi zao kalikokua kanaishi kwa gharama za mataifa mengine duniani kwa kununua raw materials kwa bei poa na kurudisha manufactured goods kwa bei inayofilisi nchi zingine.(win lose)
Sasa imetikea china ambayo imejiendeleza kitechologia na bila kuwa na tamaa ya kuwanyanya wenzake (win win) waanza kulialia na hawamini wanachikiona.
Kujaribu kuendelea kudhibiti China ni kama kuzuia mafuriko kwa mkono maana hata wao watapata consequences.
Watulie waangalie tu anguko lao hawana namna.
Soko lenye hela nyingi lipo kwenye nchi za mabeberu Ila kwa nchi zingine anapata hela za madafu. Ndiyo maana analalamika. Kwani ni lazima kuuza bidhaa zake ulaya? Apeleke Urusi, korea kaskazini, Iran, Afrika maana huko kuna wateja wengi sana.
China akipiga ban bidhaa za mabeberu ni uzalendo ila yeye akipigwa ban ni wivu na hujuma
 
Hay
Soko lenye hela ya bidhaa za mchina lipo kwenye nchi za mabeberu.
Kwenye nchi km za kwetu na za kiarabu, anapata hela ya madafu. Akipigwa ban kuuza bidhaa zake kichwa huwa kinamuuma sana.
China akipiga ban bidhaa za mabeberu ni uzalendo, ila za kwake zikipigwa ban ni wivu na hujuma
Hawa eu SI ndio champion WA free makets ila wakiona wanazidiwa kete wanahamisha goli.
 
Back
Top Bottom