Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
yaanBora angekaa kimya tu.
Kasema ukweli.Bora angekaa kimya tu.
Kama inauma chomoaWatakatisha fedha ndio wanazo pesa za kuchezea, ngoja mama yao aondoke tutaelewana tu, yale mabakuli yao wasijisahau wakayatupa.
Kasema ukweli.
Unashangaa nini hapo!, hiyo ni kabla watakatisha fedha hawajaingilia kati wakapandisha dau.
huna hoja ww tulia dawa iwaingie kama anatakatisha nenda na ushahidi mfungulie kesiUnashangaa nini hapo!, hiyo ni kanla watakatisha fedha hawajaingilia kati wakapandisha dau.
Pesa za Simba zinatafutwa, sio za mazingaombwe zile za upande ule.
Kiukweli hata mimi sijaumia. Labda kwasababu ya kutambiana kati ya Simba na Yanga.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Crescentius Magori, ametoa kauli yake baada ya mchezaji Selemani Mwalimu kutangazwa Yanga, akieleza kuwa jambo hilo halina uzito wowote wa kuilaza au kuishtua Simba.
Akizungumza na waandishi wa habari, Magori amepuuza taarifa za kuwepo kwa Taharuki na kuhoji kwa mshangao jinsi gani mchezaji aliyenunuliwa kwa takriban bilioni moja kisha kuondoka kwa mkopo aweze kuilaza au kuipa presha Simba SC, akisisitiza kuwa klabu hiyo haiwezi kulipa vitu vya hewani.
Ngoja atudunge, pmoja ya yote viongozi wa Simba ni matapeliKiukweli hata mimi sijaumia. Labda kwasababu ya kutambiana kati ya Simba na Yanga.
Kwasababu chochote kinaweza kutokea, sitoshangaa akifunga. Lakini tukiwa wa kweli Sele Mwalimu hana thamani ya Bilioni tena kwa mkopo.Ngoja atudunge, pmoja ya yote viongozi wa Simba ni matapeli
Ni mchezaji mzuri wa ndani , ni chagua bora kabisa kwa wachezaji wa nafasi yake wa ndaniKwasababu chochote kinaweza kutokea, sitoshangaa akifunga. Lakini tukiwa wa kweli Sele Mwalimu hana thamani ya Bilioni tena kwa mkopo.
Waliamini katika professionalism na makubaliano ya mdomo. Of course timu nyingi huwa zinafanya hivyo.Kwanini sasa walimtangaza kwenye siku ya tamasha lao?