Ukiona mtoto wa jirani yako anaonewa na wahuni na uwezo wa kumsaidia unao hutamsaidia kwakuwa si mtoto wako.kazi ya kuisemea timu nyingine c kazi ya magori ,yeye anafanya kazi na majukumu yake kama kiongozi wa club ya Simba . kila mmoja ni jukumu lake kujali maslahi ya timu yake.
Hata ulaya namuona ole analalamikia marefarii kutokutoa penati msimu huu Kwa manutd(anapambania maslahi ya timu yake) hata kama walistahili kupata penati na sio kwann labda Liverpool wasipopewa penati or wakipewa mbona OLE hua haongei ....
Sijui naeleweka ivi au tukaze tu shingo.
Mwehu Magorimakolo mulibwanji
Bwana magori analalamikia timu kuahidiwa pesa zinapoifunga Simba lakinni alikuwa kimya kipindi wananchi tunateseka
nasema hivii watulie dawa iingie
View attachment 1959869
Msimu ule First 11 yote ya Yanga ilipokuwa majeruhi umesahau, tulikuwa tukilalamika wachezaji wetu kuchezewa rafu mbaya mkawa mnatucheka mnatuita malalamiko fc. Sasa mlilikoroga lazima mlinywe, chezeni mpira.Ila sasa maagizo ya kuvunja wachezaji wawili kila mechi mbona mapya tena jameni, hivi hao watu wanafanya hivyo kwa milion 15 tu tena team nzima kugawana mkiwapa milioni 100 si usiku wataenda kuvamia nyumba za wachezaji wa simba kabisa?
Nimefurahi sana mnapoanza kulialia mapema asubuhi yote hii,na bado mtalia jasho la damu msimu huu.Na nyinyi tangazeni hadharani hizo zawadi zenu.
Kwanini mnatoa kwa Siri ?
Mna ajenda gani.
Badala ya kuipandisha Timu yenu mnahonga ili Simba Ishuke.
Si mnasema mna timu Bora mwaka huu.
Onesheni basi
Nani analiaNimefurahi sana mnapoanza kulialia mapema asubuhi yote hii,na bado mtalia jasho la damu msimu huu.
Nani kakuambia hao jamaa wan malengo na michezo ya Afrika? siyo saizi yao na hilo wanalitambua vizuriNani analia
We ndio umetoka kulia Juzi tu.
Kichapo cha Rivers Nje Ndani.
Na timu yako Bora sana Africa
Tulieni dawa iwaingie,naona mnatukana mamba kabla hamjavuka mto.Nani analia
We ndio umetoka kulia Juzi tu.
Kichapo cha Rivers Nje Ndani.
Na timu yako Bora sana Africa
Mwaka huu hamna rangi ambayo mtaacha kuona,mlikuwa mnawategemea Bashite na Kayafa sasa malipo ndio yamefika.Nani kakuambia hao jamaa wan malengo na michezo ya Afrika? siyo saizi yao na hilo wanalitambua vizuri
Tusi liko wapi hapoTulieni dawa iwaingie,naona mnatukana mamba kabla hamjavuka mto.
mapenzi ya nafsi(mfano ulotoa) ni tofauti na mapenzi ya mpira mkuu.Ukiona mtoto wa jirani yako anaonewa na wahuni na uwezo wa kumsaidia unao hutamsaidia kwakuwa si mtoto wako.
Mku unahahaha nimekuona kwenye post ya popoma kule jukwaa la siasa ya kuhusu hawa walezi feki halafu umerudi tena huku duh..sasa ile hela ya jana inarudi kwa wauza magodoro au? mimi nashauri imwagilie ule uwanja au unaonaje MWANA UTOPWINYO?Mwaka huu hamna rangi ambayo mtaacha kuona,mlikuwa mnawategemea Bashite na Kayafa sasa malipo ndio yamefika.
Mna chuki kubwa sana nyie utopolo, Sakata la Manji kudakwa linajulikana, Sasa yanga ina muhimili gani? Mbona miaka 4 yote simba wanatawa soka la bongo na mwaka wa tano huu inaendeleza dozi? Manji alikua mnunua mechi Alikua ana Wa Tigo Pesa marefa njaa kwa kushurikiana na fisadi MalinziMagori si chawa wa MO, Ao sindio walio mshawishi Makonda amkamate Manji na ku mbambikia tuhuma za madawa ya kulevya ili Simba inufaike. Walijua Manji ndio mhimili wa Yanga.
Walijua akipotea Manji Yanga itapotea mazima.
Aimba haiwrzi kupigwa na vitimu vya bongo, simba imejiimarisha uwanjani, Nyie endeleeni kujiimarisha kwa kuwapa mafungu wakuu wa mikoa tumeshawasoma Dozi ya ahadi za wakuu wa mikoa ndo imeanza jipangeni kivingine,.Hao wapuuzi wataendelea kupigwa mpaka wachakae, leo hii eti wanalialia wanakamiwa na timu zinahaidiwa pesa kumbe wao ndo walikuwa vinara wa michezo iyo michafu
Mku unahahaha nimekuona kwenye post ya popoma kule jukwaa la siasa ya kuhusu hawa walezi feki halafu umerudi tena huku duh..sasa ile hela ya jana inarudi kwa wauza magodoro au? mimi nashauri imwagilie ule uwanja au unaonaje MWANA UTOPWINYO?
Halafu muambie yule mlezi mwingine round ya kwanza ya biashara hatutaki kusikia habari za team kukosa nauli maana gemu ya jana tu vs Ruvu shooting kaingia mitini wakapapaswa kimoko
Mna chuki kubwa sana nyie utopolo, Sakata la Manji kudakwa linajulikana, Sasa yanga ina muhimili gani? Mbona miaka 4 yote simba wanatawa soka la bongo na mwaka wa tano huu inaendeleza dozi? Manji alikua mnunua mechi Alikua ana Wa Tigo Pesa marefa njaa kwa kushurikiana na fisadi Malinzi
Nimekuelewa.mapenzi ya nafsi(mfano ulotoa) ni tofauti na mapenzi ya mpira mkuu.
Mapenzi ya mpira ni ya kimaslahi zaidi.
PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAAMkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchung