Ukiona mtoto wa jirani yako anaonewa na wahuni na uwezo wa kumsaidia unao hutamsaidia kwakuwa si mtoto wako.kazi ya kuisemea timu nyingine c kazi ya magori ,yeye anafanya kazi na majukumu yake kama kiongozi wa club ya Simba . kila mmoja ni jukumu lake kujali maslahi ya timu yake.
Hata ulaya namuona ole analalamikia marefarii kutokutoa penati msimu huu Kwa manutd(anapambania maslahi ya timu yake) hata kama walistahili kupata penati na sio kwann labda Liverpool wasipopewa penati or wakipewa mbona OLE hua haongei ....
Sijui naeleweka ivi au tukaze tu shingo.