Magori uliongea nini Makonda alipoipa KMC milioni 20 kwa kuifunga Yanga?

Magori uliongea nini Makonda alipoipa KMC milioni 20 kwa kuifunga Yanga?

kazi ya kuisemea timu nyingine c kazi ya magori ,yeye anafanya kazi na majukumu yake kama kiongozi wa club ya Simba . kila mmoja ni jukumu lake kujali maslahi ya timu yake.

Hata ulaya namuona ole analalamikia marefarii kutokutoa penati msimu huu Kwa manutd(anapambania maslahi ya timu yake) hata kama walistahili kupata penati na sio kwann labda Liverpool wasipopewa penati or wakipewa mbona OLE hua haongei ....

Sijui naeleweka ivi au tukaze tu shingo.
Ukiona mtoto wa jirani yako anaonewa na wahuni na uwezo wa kumsaidia unao hutamsaidia kwakuwa si mtoto wako.
 
Ila sasa maagizo ya kuvunja wachezaji wawili kila mechi mbona mapya tena jameni, hivi hao watu wanafanya hivyo kwa milion 15 tu tena team nzima kugawana mkiwapa milioni 100 si usiku wataenda kuvamia nyumba za wachezaji wa simba kabisa?
Msimu ule First 11 yote ya Yanga ilipokuwa majeruhi umesahau, tulikuwa tukilalamika wachezaji wetu kuchezewa rafu mbaya mkawa mnatucheka mnatuita malalamiko fc. Sasa mlilikoroga lazima mlinywe, chezeni mpira.
 
Na nyinyi tangazeni hadharani hizo zawadi zenu.
Kwanini mnatoa kwa Siri ?
Mna ajenda gani.

Badala ya kuipandisha Timu yenu mnahonga ili Simba Ishuke.
Si mnasema mna timu Bora mwaka huu.
Onesheni basi
Nimefurahi sana mnapoanza kulialia mapema asubuhi yote hii,na bado mtalia jasho la damu msimu huu.
 
Nimefurahi sana mnapoanza kulialia mapema asubuhi yote hii,na bado mtalia jasho la damu msimu huu.
Nani analia
We ndio umetoka kulia Juzi tu.
Kichapo cha Rivers Nje Ndani.
Na timu yako Bora sana Africa
 
Nani kakuambia hao jamaa wan malengo na michezo ya Afrika? siyo saizi yao na hilo wanalitambua vizuri
Mwaka huu hamna rangi ambayo mtaacha kuona,mlikuwa mnawategemea Bashite na Kayafa sasa malipo ndio yamefika.
 
Simba ni simba hata akikonda hawezi fikia utopolo (vyura) fc
 
Ukiona mtoto wa jirani yako anaonewa na wahuni na uwezo wa kumsaidia unao hutamsaidia kwakuwa si mtoto wako.
mapenzi ya nafsi(mfano ulotoa) ni tofauti na mapenzi ya mpira mkuu.

Mapenzi ya mpira ni ya kimaslahi zaidi.
 
Mwaka huu hamna rangi ambayo mtaacha kuona,mlikuwa mnawategemea Bashite na Kayafa sasa malipo ndio yamefika.
Mku unahahaha nimekuona kwenye post ya popoma kule jukwaa la siasa ya kuhusu hawa walezi feki halafu umerudi tena huku duh..sasa ile hela ya jana inarudi kwa wauza magodoro au? mimi nashauri imwagilie ule uwanja au unaonaje MWANA UTOPWINYO?
Halafu muambie yule mlezi mwingine round ya kwanza ya biashara hatutaki kusikia habari za team kukosa nauli maana gemu ya jana tu vs Ruvu shooting kaingia mitini wakapapaswa kimoko
 
Magori si chawa wa MO, Ao sindio walio mshawishi Makonda amkamate Manji na ku mbambikia tuhuma za madawa ya kulevya ili Simba inufaike. Walijua Manji ndio mhimili wa Yanga.

Walijua akipotea Manji Yanga itapotea mazima.
Mna chuki kubwa sana nyie utopolo, Sakata la Manji kudakwa linajulikana, Sasa yanga ina muhimili gani? Mbona miaka 4 yote simba wanatawa soka la bongo na mwaka wa tano huu inaendeleza dozi? Manji alikua mnunua mechi Alikua ana Wa Tigo Pesa marefa njaa kwa kushurikiana na fisadi Malinzi
 
Hao wapuuzi wataendelea kupigwa mpaka wachakae, leo hii eti wanalialia wanakamiwa na timu zinahaidiwa pesa kumbe wao ndo walikuwa vinara wa michezo iyo michafu
Aimba haiwrzi kupigwa na vitimu vya bongo, simba imejiimarisha uwanjani, Nyie endeleeni kujiimarisha kwa kuwapa mafungu wakuu wa mikoa tumeshawasoma Dozi ya ahadi za wakuu wa mikoa ndo imeanza jipangeni kivingine,.

Tutawachakata hao vibaraka wenu wa Ccm mpaka muwachukie
 
Mku unahahaha nimekuona kwenye post ya popoma kule jukwaa la siasa ya kuhusu hawa walezi feki halafu umerudi tena huku duh..sasa ile hela ya jana inarudi kwa wauza magodoro au? mimi nashauri imwagilie ule uwanja au unaonaje MWANA UTOPWINYO?
Halafu muambie yule mlezi mwingine round ya kwanza ya biashara hatutaki kusikia habari za team kukosa nauli maana gemu ya jana tu vs Ruvu shooting kaingia mitini wakapapaswa kimoko
JamiiForums-493917225.jpg
 
Mna chuki kubwa sana nyie utopolo, Sakata la Manji kudakwa linajulikana, Sasa yanga ina muhimili gani? Mbona miaka 4 yote simba wanatawa soka la bongo na mwaka wa tano huu inaendeleza dozi? Manji alikua mnunua mechi Alikua ana Wa Tigo Pesa marefa njaa kwa kushurikiana na fisadi Malinzi
JamiiForums-493917225.jpg
 
Simple as that, Nyie si ndio mnajiita timu kubwa basi hizi timu ndogo zikiwafunga au zikitoa draw zitapewa zawadi na motisha kwa jambo lao la kishujaa na hakuna namna ya kulalamika kama nyie mkiwa bora
 
Mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchung
PETITION: MILIONI 15 ILIYOKO DODOMA ISIRUDISHWE DSM KWA WAUZA MAGODORO,WAHUNI WA DODOMA JIJI WAMESHINDWA KAZI YA KUVUNJA WACHEZAJI WA SIMBA IKASAIDIE KUMWAGILIA UWANJA ULIO MKAVU NA KUPAUKA KAMA NGOZI YA LILE LIJAMAA
(tafadhali sambaza ujumbe huu kwa wengine)
 
Back
Top Bottom