- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapumzike kwa aman marehemu wote! Ila hii post yako ni ya kijinga na imejaa chuki tu! Kwa hyo ulitaka rais afanyeje kuhusu hao fisi? Mafisi mnafuga wenyewe wasukuma halaf yakidhuru watu lawama kwa samia! Upumbavu tu! Mbona hizi lawama hamkupost wakati magu na kina sabaya wanaua ben, mawazo na azory na kuwaumiza kina lisu na kabendera?
Ongezea na Chacha Wangwe
Lakini pia hawa wasukuma waache kufuga fisi! Fisi ni nyara za serikali na pia sio mfugo!
Hata mimi huwa nashangaa! Lakini nimewahi kuona clips kadhaa hapa zikionyesha fisi tena kwa idadi kubwa waliofugwa huko kwa wasukuma. Kwa vyo vyote vile mfugaji akishindwa kuwalisha watasambaa mitaani na kuanza kuwinda binadamu.Ileje fisi hao hawafugwi. Infact hii imani na kusema kuna fisi wanafugwa ndiyo imefanya watu waendelee kuamini imani potofu na hatua hazichukuliwi. Hivi FFU na wanajeshi tulionao wanafanya nini? Wanasubiri vita au kupiga watu tu? Serikali inashindwaje kuchukuwa patuni kadhaa ziende kupiga kambi hayo maeneo ili kuua fisi wote?
So sadKwani, shule ziko umbali gani kutoka kwenye makazi ya watu, wakati tukishindana kununua magoli na magari ya kifahari kwa pesa za umma?
View attachment 2603574
Sad news“Ni tukio la kuhuzunisha na kushangaza, mtoto alikuwa na maendeleo mazuri darasani, wito wangu kwa wazazi kwakuwa matukio haya yanajirudia tuombe wanaoishi maeneo ya mbali watu wazima wawe wanawasindikiza watoto shuleni na viongozi wa vijiji watafute njia mbadala za kumaliza tatizo hili kwani tutaendelea kupoteza watoto,”
Mkuu siyo wasukuma tu hata baadhi ya vyama vya siasa vina fisiHata mimi huwa nashangaa! Lakini nimewahi kuona clips kadhaa hapa zikionyesha fisi tena kwa idadi kubwa waliofugwa huko kwa wasukuma. Kwa vyo vyote vile mfugaji akishindwa kuwalisha watasambaa mitaani na kuanza kuwinda binadamu.
Kanda ya ziwa kuna shida gan mbona matukio yamekua mengi sana🤔Haya yanatokea leo karne ya 21.
View attachment 2603456
Tunaweza vipi kuwa na huruma na wezi na wabadhirifu au matumizi mabaya (yasiyokuwa na ridhaa ya watu) ya mali za umma?
--------
Mwanza. Wanafunzi wawili wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Ilumya wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamefariki katika matukio mawili tofauti baada ya kushambuliwa na fisi wakati wakiwa njiani kwenda shuleni.
Matukio hayo yametokea Aprili 27 na 28, 2023 kati ya Saa 12 na Saa 1 asubuhi katika kijiji cha Ilumya wilayani humo, ambapo waliofariki ni Saraha Ncheye (7) mkazi wa kitongozi cha Sanganyika kijiji cha Nsola na Elizabeth Emmanuel wa kijiji cha Ilumya –Busega.
Sarah Ncheye ameuawa leo Aprili 28, 2023 katika kitongoji cha Kilulu baada ya kushambuliwa na fisi Saa 1 asubuhi wakati akienda shuleni ambapo alikuwa akisoma shule iliyo jirani na kijiji cha Ilumya wilayani Busega.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema Sarah alikutana na fisi huyo na kabla ya kushambuliwa alisikika akipiga kelele za kuomba msaada ndipo wakawahi eneo hilo na kumkuta fisi ameshamshambulia na kukimbia naye akiwa amemng’ata kichwani ananing’inia.
Kaka wa marehemu, Jackson Ncheye amesema alikuwa njiani anakwenda shambani kulinda mpunga dhidi ya ndege waharibifu ndipo akasikia mayowe kisha kumuona fisi anakimbia.
“Nilianza kumfukuza nikidhani amechukua mifugo, lakini baadaye nikaitwa na kukuta mdogo wangu ameshauawa baada ya kujeruhiwa vibaya kichwani na mikono,”amesema
Shuhuda mwingine, Mariam Leonard amesema “Nilikuwa nakwenda shambani kuchimba viazi nikakutana na fisi akiwa na mtoto anakimbia analia nikamkimbiza lakini akaanza kunifuata mimi nikakimbia kwenda kwa watu kuomba msaada wa kumuokoa, tulivyorudi tukakuta mtoto ameshafariki,”
Mwalimu wa shule ya msingi Ilumya, Stephano Mangilima amesema matukio hayo ya mara kwa mara yanasikitisha nakuwaomba wazazi na walezi kuwapeleka watoto shule ili wasidhurike huku akiitaka Serikali ya kijiji kuwawinda wanyama hao.
“Ni tukio la kuhuzunisha na kushangaza, mtoto alikuwa na maendeleo mazuri darasani, wito wangu kwa wazazi kwakuwa matukio haya yanajirudia tuombe wanaoishi maeneo ya mbali watu wazima wawe wanawasindikiza watoto shuleni na viongozi wa vijiji watafute njia mbadala za kumaliza tatizo hili kwani tutaendelea kupoteza watoto,” amesema Mangilima
Mwenyekiti wa kijiji cha Nsola, Damian Kabudu amesema baada ya kupata taarifa za kushambuliwa kwa mtoto huyo aliyekuwa amejeruhiwa vibaya kichwani huku kiganja chake cha mkono wa kushoto kimekatwa, aliwajulisha idara ya wanyamapori ambao walifika na kutoa msaada wakishirikiana na wananchi.
Diwani wa kata ya Lubugu, Lucas Ntingi amesema matukio ya fisi kuwashambulia watoto yameongezeka katika vijiji vya Nsola na Ilumya ambapo Aprili 24 mtoto, Paul Elias (5) alishambuliwa na fisi katika Kijiji cha Nsola na anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Magu, huku akizitaka mamlaka kuwawinda fisi hao ambao wamegeuka tishio kwa watu.
Jeshi la Polisi Wilaya ya Busega lilifika katika tukio hilo na kushughulikia taratibu mbalimbali kisha mwili wa marehemu kukakabidhiwa kwa familia kwa ajili mazishi.
Source: Mwananchi
Magu? wilaya inayopakana na manispaa ya Ilemela mpaka leo kuna fisi? Wasukuma ni wapuuzi wasiostaarabika mpaka leo wanishi kwa uchawi. Matukio ya mauaji karibu kila siku, Geita ndani ya wiki moja watu zaidi ya watatu wameuawa tena kikatili. Hiyo kanda siyo salama kuishi. Sisi tulikuwa tunasoma miaka ya 80 mwanzoni (1981) sijawahi sikia habari za ajabu km hizi. Ila inauma mtoto mdogo miaka 7 anauliwa na fisi? Kwanini mnaishi km wanyama? Wapuuzi sana wasukuma.Haya yanatokea leo karne ya 21.
View attachment 2603456
Tunaweza vipi kuwa na huruma na wezi na wabadhirifu au matumizi mabaya (yasiyokuwa na ridhaa ya watu) ya mali za umma?
--------
Mwanza. Wanafunzi wawili wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Ilumya wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamefariki katika matukio mawili tofauti baada ya kushambuliwa na fisi wakati wakiwa njiani kwenda shuleni.
Matukio hayo yametokea Aprili 27 na 28, 2023 kati ya Saa 12 na Saa 1 asubuhi katika kijiji cha Ilumya wilayani humo, ambapo waliofariki ni Saraha Ncheye (7) mkazi wa kitongozi cha Sanganyika kijiji cha Nsola na Elizabeth Emmanuel wa kijiji cha Ilumya –Busega.
Sarah Ncheye ameuawa leo Aprili 28, 2023 katika kitongoji cha Kilulu baada ya kushambuliwa na fisi Saa 1 asubuhi wakati akienda shuleni ambapo alikuwa akisoma shule iliyo jirani na kijiji cha Ilumya wilayani Busega.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema Sarah alikutana na fisi huyo na kabla ya kushambuliwa alisikika akipiga kelele za kuomba msaada ndipo wakawahi eneo hilo na kumkuta fisi ameshamshambulia na kukimbia naye akiwa amemng’ata kichwani ananing’inia.
Kaka wa marehemu, Jackson Ncheye amesema alikuwa njiani anakwenda shambani kulinda mpunga dhidi ya ndege waharibifu ndipo akasikia mayowe kisha kumuona fisi anakimbia.
“Nilianza kumfukuza nikidhani amechukua mifugo, lakini baadaye nikaitwa na kukuta mdogo wangu ameshauawa baada ya kujeruhiwa vibaya kichwani na mikono,”amesema
Shuhuda mwingine, Mariam Leonard amesema “Nilikuwa nakwenda shambani kuchimba viazi nikakutana na fisi akiwa na mtoto anakimbia analia nikamkimbiza lakini akaanza kunifuata mimi nikakimbia kwenda kwa watu kuomba msaada wa kumuokoa, tulivyorudi tukakuta mtoto ameshafariki,”
Mwalimu wa shule ya msingi Ilumya, Stephano Mangilima amesema matukio hayo ya mara kwa mara yanasikitisha nakuwaomba wazazi na walezi kuwapeleka watoto shule ili wasidhurike huku akiitaka Serikali ya kijiji kuwawinda wanyama hao.
“Ni tukio la kuhuzunisha na kushangaza, mtoto alikuwa na maendeleo mazuri darasani, wito wangu kwa wazazi kwakuwa matukio haya yanajirudia tuombe wanaoishi maeneo ya mbali watu wazima wawe wanawasindikiza watoto shuleni na viongozi wa vijiji watafute njia mbadala za kumaliza tatizo hili kwani tutaendelea kupoteza watoto,” amesema Mangilima
Mwenyekiti wa kijiji cha Nsola, Damian Kabudu amesema baada ya kupata taarifa za kushambuliwa kwa mtoto huyo aliyekuwa amejeruhiwa vibaya kichwani huku kiganja chake cha mkono wa kushoto kimekatwa, aliwajulisha idara ya wanyamapori ambao walifika na kutoa msaada wakishirikiana na wananchi.
Diwani wa kata ya Lubugu, Lucas Ntingi amesema matukio ya fisi kuwashambulia watoto yameongezeka katika vijiji vya Nsola na Ilumya ambapo Aprili 24 mtoto, Paul Elias (5) alishambuliwa na fisi katika Kijiji cha Nsola na anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Magu, huku akizitaka mamlaka kuwawinda fisi hao ambao wamegeuka tishio kwa watu.
Jeshi la Polisi Wilaya ya Busega lilifika katika tukio hilo na kushughulikia taratibu mbalimbali kisha mwili wa marehemu kukakabidhiwa kwa familia kwa ajili mazishi.
Source: Mwananchi
Acha kuongea upumbavu, washauri wasukuma waache mambo ya uchawi. Magoli ananunua mamako? Kuna uhusiano gani ndiyo maana mmebaki washamba mpaka leo na mtaendea hivyo km akili zenyewe ni km hizi zakoSuluhisho, wazazi wawasindikize watoto shule sisi tunanunua magoli kwanza.
ndiyo imewatuma hao fisi? akili yako imeoza kiasi hicho?CCM IMEOZA. CCM INANUKA VIBAYA. CCM NI UCHAFU.
kahangaike na umaskini wako na wa ukoo wako hakuna aliyekusababishia. umechanganyikiwa mpaka unachangia jambo lisilo na uhusiano na thread.Mjinga ni wewe jombi. Shule hizi ziko umbali gani kutoka makazi ya watu wakati rasilimali ngapi zinapotea kwenye ubadhirifu, wizi au matumizi yenu ya hovyo?
Bila shaka wewe unaona ni sawa tu kwa vile ni mnufaika wa haya ma V8 ya umma.
Bila shaka hata maombi yako kuwatakia watoto hawa kupumzika kwa amani ni mwendelezo wenu Ile ule wa kuwacheza shere wahanga wa hujuma zenu.
Bure kabisa!
kahangaike na umaskini wako na wa ukoo wako hakuna aliyekusababishia. umechanganyikiwa mpaka unachangia jambo lisilo na uhusiano na thread.
Bahati mbaya ilioje! Hujui magu ilipo hususan hili eneo majanga yalipotokea! Unashindia ugal na utumbo wa kuku kama mbwa koko halafu unajifanya una uchungu! Na nchi hii! Mim naandika hapa nikiwa lugeye magu! Kwa taarifa yako huku mwanza wasukuma hufuga fisi hata mjini!fisi wapo hadi mjini! Buzuruga kuna eneo karibu na hospital ya mwananch kunaitwa "nyambiti" unajua maana ya neno "mbiti" buzuruga kuna fisiMjinga ni wewe jombi. Shule hizi ziko umbali gani kutoka makazi ya watu wakati rasilimali ngapi zinapotea kwenye ubadhirifu, wizi au matumizi yenu ya hovyo?
Bila shaka wewe unaona ni sawa tu kwa vile ni mnufaika wa haya ma V8 ya umma.
Bila shaka hata maombi yako kuwatakia watoto hawa kupumzika kwa amani ni mwendelezo wenu Ile ule wa kuwacheza shere wahanga wa hujuma zenu.
Bure kabisa!
Acha kuongea upumbavu, washauri wasukuma waache mambo ya uchawi. Magoli ananunua mamako? Kuna uhusiano gani ndiyo maana mmebaki washamba mpaka leo na mtaendea hivyo km akili zenyewe ni km hizi zako

Wewe hujawahi ishi vijijini karibu na maporiLakini pia hawa wasukuma waache kufuga fisi! Fisi ni nyara za serikali na pia sio mfugo!