Magu: Watoto wawili wauawa na fisi wakienda shule

Magu: Watoto wawili wauawa na fisi wakienda shule

Bahati mbaya ilioje! Hujui magu ilipo hususan hili eneo majanga yalipotokea! Unashindia ugal na utumbo wa kuku kama mbwa koko halafu unajifanya una uchungu! Na nchi hii! Mim naandika hapa nikiwa lugeye magu! Kwa taarifa yako huku mwanza wasukuma hufuga fisi hata mjini!fisi wapo hadi mjini! Buzuruga kuna eneo karibu na hospital ya mwananch kunaitwa "nyambiti" unajua maana ya neno "mbiti" buzuruga kuna fisi

Kwa hiyo tuseme wewe ni mtaalamu wa fisi au?
 
kahangaike na umaskini wako na wa ukoo wako hakuna aliyekusababishia. umechanganyikiwa mpaka unachangia jambo lisilo na uhusiano na thread.
Mkuu haya masukuma gang ni kuyaacha kama yalivyo! Nahisi majina yao yapo kwenye usia alioacha mwenda zake kuwa yalikuwa kwenye waiting list ya teuzi mbalimbali alizokuwa anafanya mwendazake! Sasa nchi ina kiongozi ambaye ame ignore huo usia! Yanabaki kulia lia tu humu. Cc USSR ,Braza j
 
Haya yanatokea leo karne ya 21.

View attachment 2603456

Tunaweza vipi kuwa na huruma na wezi na wabadhirifu au matumizi mabaya (yasiyokuwa na ridhaa ya watu) ya mali za umma?

--------
Mwanza. Wanafunzi wawili wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Ilumya wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamefariki katika matukio mawili tofauti baada ya kushambuliwa na fisi wakati wakiwa njiani kwenda shuleni.

Matukio hayo yametokea Aprili 27 na 28, 2023 kati ya Saa 12 na Saa 1 asubuhi katika kijiji cha Ilumya wilayani humo, ambapo waliofariki ni Saraha Ncheye (7) mkazi wa kitongozi cha Sanganyika kijiji cha Nsola na Elizabeth Emmanuel wa kijiji cha Ilumya –Busega.

Sarah Ncheye ameuawa leo Aprili 28, 2023 katika kitongoji cha Kilulu baada ya kushambuliwa na fisi Saa 1 asubuhi wakati akienda shuleni ambapo alikuwa akisoma shule iliyo jirani na kijiji cha Ilumya wilayani Busega.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema Sarah alikutana na fisi huyo na kabla ya kushambuliwa alisikika akipiga kelele za kuomba msaada ndipo wakawahi eneo hilo na kumkuta fisi ameshamshambulia na kukimbia naye akiwa amemng’ata kichwani ananing’inia.

Kaka wa marehemu, Jackson Ncheye amesema alikuwa njiani anakwenda shambani kulinda mpunga dhidi ya ndege waharibifu ndipo akasikia mayowe kisha kumuona fisi anakimbia.

“Nilianza kumfukuza nikidhani amechukua mifugo, lakini baadaye nikaitwa na kukuta mdogo wangu ameshauawa baada ya kujeruhiwa vibaya kichwani na mikono,”amesema
Shuhuda mwingine, Mariam Leonard amesema “Nilikuwa nakwenda shambani kuchimba viazi nikakutana na fisi akiwa na mtoto anakimbia analia nikamkimbiza lakini akaanza kunifuata mimi nikakimbia kwenda kwa watu kuomba msaada wa kumuokoa, tulivyorudi tukakuta mtoto ameshafariki,”

Mwalimu wa shule ya msingi Ilumya, Stephano Mangilima amesema matukio hayo ya mara kwa mara yanasikitisha nakuwaomba wazazi na walezi kuwapeleka watoto shule ili wasidhurike huku akiitaka Serikali ya kijiji kuwawinda wanyama hao.

“Ni tukio la kuhuzunisha na kushangaza, mtoto alikuwa na maendeleo mazuri darasani, wito wangu kwa wazazi kwakuwa matukio haya yanajirudia tuombe wanaoishi maeneo ya mbali watu wazima wawe wanawasindikiza watoto shuleni na viongozi wa vijiji watafute njia mbadala za kumaliza tatizo hili kwani tutaendelea kupoteza watoto,” amesema Mangilima
Mwenyekiti wa kijiji cha Nsola, Damian Kabudu amesema baada ya kupata taarifa za kushambuliwa kwa mtoto huyo aliyekuwa amejeruhiwa vibaya kichwani huku kiganja chake cha mkono wa kushoto kimekatwa, aliwajulisha idara ya wanyamapori ambao walifika na kutoa msaada wakishirikiana na wananchi.

Diwani wa kata ya Lubugu, Lucas Ntingi amesema matukio ya fisi kuwashambulia watoto yameongezeka katika vijiji vya Nsola na Ilumya ambapo Aprili 24 mtoto, Paul Elias (5) alishambuliwa na fisi katika Kijiji cha Nsola na anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Magu, huku akizitaka mamlaka kuwawinda fisi hao ambao wamegeuka tishio kwa watu.

Jeshi la Polisi Wilaya ya Busega lilifika katika tukio hilo na kushughulikia taratibu mbalimbali kisha mwili wa marehemu kukakabidhiwa kwa familia kwa ajili mazishi.

Source: Mwananchi
Nashauri watoto wasitembee umbali mkubwa kwenda shule.
Na pia watoto wa kijijini wahesabu namba saa mbili kamili asubuhi.
Ni huzuni kubwa sana mtoto anafuata elimu, badala yake anapoteza maisha kikatili namna hii.
MUNGU AWABARIKI WATOTO WOTE WALIOPOTEZA MAISHA KWA NJIA HII.
AMINA.
 
Wapumzike kwa aman marehemu wote! Ila hii post yako ni ya kijinga na imejaa chuki tu! Kwa hyo ulitaka rais afanyeje kuhusu hao fisi? Mafisi mnafuga wenyewe wasukuma halaf yakidhuru watu lawama kwa samia! Upumbavu tu! Mbona hizi lawama hamkupost wakati magu na kina sabaya wanaua ben, mawazo na azory na kuwaumiza kina lisu na kabendera?
Wewe jamaa ndio mpumbavu kuliko huyo fisi aliekula mtoto,hiki ulichoandika ni bora mzazi wako angepiga punyeto kuliko kuzaa takataka,badala ya kuja na na solutions ya tatizo unamshambulia mleta hoja,kwa kutetea watawala, hopeless kabisa wewe kima
 
Kwa hiyo tuseme wewe ni mtaalamu wa fisi au?
akili zako za kichupi ndo zimekomea hapo! Fisi kwenye makazi ya wa watu huku kanda ya ziwa ni janga! Hawa wapuuzi wanaofuga wanatakiwa wapewe elimu au watu wa maliasili watoke huko walipo waendeshe operation ya kuwasaka hao fisi! Sio kumlaumu rais kwenye mambo kama haya! Mbona maficho ya hawa fisi yanajulikana? Ni utaalam tu wa ku deal na hii mifugopori inahitajika! Raia hatuna huo utaalam au nguvu za kisheria kupambana nao
 
Mkuu haya masukuma gang ni kuyaacha kama yalivyo! Nahisi majina yao yapo kwenye usia alioacha mwenda zake kuwa yalikuwa kwenye waiting list ya teuzi mbalimbali alizokuwa anafanya mwendazake! Sasa nchi ina kiongozi ambaye ame ignore huo usia! Yanabaki kulia lia tu humu. Cc USSR ,Braza j

Ina maana yoyote kuwa kuna watoto wadogo wasio na hatia kwa umbali hadi shule iliko waneuwawa njiani na fisi?

Kumbe wewe unachoona ni siasa zenu uchwara CCM huko, hata kwenye mambo nyeti yenye kuhusu maisha ya watoto wadogo wasiokuwa na hatia kama hawa?

Kwamba ni ubinfsi gani huo kutokuwa na huruma na watoto wa wengine kama hao kwa kuwa tu majizi nyie wanenu wanasoma Feza?

Jidanganyeni ila Mungu anawaona.
 
Wewe jamaa ndio mpumbavu kuliko huyo fisi aliekula mtoto,hiki ulichoandika ni bora mzazi wako angepiga punyeto kuliko kuzaa takataka,badala ya kuja solutions ya tatizo unamshambulia mleta hoja,kwa kutetea watawala, hopeless kabisa wewe kima

Ninakazia.
 
akili zako za kichupi ndo zimekomea hapo! Fisi kwenye makazi ya wa watu huku kanda ya ziwa ni janga! Hawa wapuuzi wanaofuga wanatakiwa wapewe elimu au watu wa maliasili watoke huko walipo waendeshe operation ya kuwasaka hao fisi! Sio kumlaumu rais kwenye mambo kama haya! Mbona maficho ya hawa fisi yanajulikana? Ni utaalam tu wa ku deal na hii mifugopori inahitajika! Raia hatuna huo utaalam au nguvu za kisheria kupambana nao

Vijana wa hovyo hamna mchango wowote kwa taifa hili. --- JPM.
 
Ina maana yoyote kuwa kuna watoto wadogo wasio na hatia kwa umbali hadi shule iliko waneuwawa njiani na fisi?

Kumbe wewe unachoona ni siasa zenu uchwara CCM huko, hata kwenye mambo nyeti yenye kuhusu maisha ya watoto wadogo wasiokuwa na hatia kama hawa?

Kwamba ni ubinfsi gani huo kutokuwa na huruma na watoto wa wengine kama hao kwa kuwa tu majizi nyie wanenu wanasoma Feza?

Jidanganyeni ila Mungu anawaona.
Tatizo hapa sio umbali na shule! Tatizo hapa ni fisi kukaa karibu na makazi ya watu! Ndo maana nkakutolea mfano buzuruga ni mjini kabisa lakin fisi wapo! Maficho ya fisi yapo kwenye miliwa ya mawe kunakuwa kuna mapango! Usichangie kwa mihemko' jifunze kusikiliza au kusoma kwa makini! Kuwa wa kwanza kuchangia sio ujanja
 
Kumbe mleta mada ni wewe na sisi wengine tumefanya kuwahi kuchangia siyo?

Utakuwa una akili za fisi, kama wewe siyo fisi wenyewe haswa!

Screenshot_20230319-081205.jpg

Fisi wanakosekana je huko?

Mmekalia ma white elephants:

Kujenga daraja kuunganisha Dar es Salaam na Unguja ni upotevu wa fedha za maskini. Tuachane na mpango huu!

Bure kabiisa!
 
So sad kwa kweli...
Je, n8 matokeo ya watu kusogelea maeneo ya Wanyama au wanyama kuvamia makaazi ya watu?
Hili la fisi kanda ya ziwa,ni zaidi ya watu tunavyolichukulia,kuna mambo makubwa sana ya kishirikina yamo humo!!kwa tulioishi kanda ya ziwa tunayajua,hatukatai wanyama sehemu nyingi wanaingia kwenye makazi na kuleta madhara,ila kanda ya ziwa unakuta fisi anakutwa na hirizi ,kibuyu!!kule magu kuna mzee miaka hiyo alibabanishwa na wana nzego hadi alionyesha fisi kama 15 ,amewafuga ndani kwake.Na fisi usimchukulie powa ukiwa pekee yako hata ukiwa bounsa na huna silaha ana kuua.
 
Vijana wa hovyo hamna mchango wowote kwa taifa hili. --- JPM.
sasa mimi na wew nani wa hovyo! Halafu angalia hii id sio leo au jana kama zenu! Muda wa kujielimisha bado unao! Jielimishe, tafuta maarifa, tafuta hela ! Utumbo wa kuku unaokula unakuharibu akili, acha kulia kulia hapa kama kahaba aliedhulumiwa ujira wake!
 
Wa hovyo ni wewe, na unajua hivyo.
 
Hili la fisi kanda ya ziwa,ni zaidi ya watu tunavyolichukulia,kuna mambo makubwa sana ya kishirikina yamo humo!!kwa tulioishi kanda ya ziwa tunayajua,hatukatai wanyama sehemu nyingi wanaingia kwenye makazi na kuleta madhara,ila kanda ya ziwa unakuta fisi anakutwa na hirizi ,kibuyu!!kule magu kuna mzee miaka hiyo alibabanishwa na wana nzego hadi alionyesha fisi kama 15 ,amewafuga ndani kwake.Na fisi usimchukulie powa ukiwa pekee yako hata ukiwa bounsa na huna silaha ana kuua.

Hili la ushirikina ni la kitanzania zaidi. Yaani umaskini na backwardness ya hatari. Hapa ni mfano wake:

Screenshot_20230319-081205.jpg
 
Hili la fisi kanda ya ziwa,ni zaidi ya watu tunavyolichukulia,kuna mambo makubwa sana ya kishirikina yamo humo!!kwa tulioishi kanda ya ziwa tunayajua,hatukatai wanyama sehemu nyingi wanaingia kwenye makazi na kuleta madhara,ila kanda ya ziwa unakuta fisi anakutwa na hirizi ,kibuyu!!kule magu kuna mzee miaka hiyo alibabanishwa na wana nzego hadi alionyesha fisi kama 15 ,amewafuga ndani kwake.Na fisi usimchukulie powa ukiwa pekee yako hata ukiwa bounsa na huna silaha ana kuua.
Na hiki mkuu ulichoandika ndicho nnachojaribu kuwaelimisha hawa jamaa! Wanangu wanasoma shule inaitwa kiswaga ipo kisesa magu hapa hapa mjini lkn majira yakibadilika lile giza la saa 12 asbuh! Hatoki mpaka saa mbili ndo wanaenda shule
 
Hayo yakitokea, kila mtu akiwemo serikali wako busy wanakenua kwamba kuna magoli muhimu sana yanafungwa huku watoto wasio na hatia wakiuliwa kijinga hivi, mwaka wa 62 baada ya uhuru leo? Na bado wewe Magu Hapo unaona ni sawa kabisa? Kwamba huoni kuna tatizo Wala dharura yoyote. Ama kweli staajabu ya Mussa!
 
Magufuli alikuwa rais kwa miaka sita hakuja kuwafukuza au kuwakamata hao fisi mpaka alipokufa kibudu! Oop kizembe' uliwah kumlalamikia au kumshutumu humu jf kama unavyofanya sasa? Au ndo umevunja ungo kwenye hii awamu ndo maana joto na nyege vinakusumbua?
 
Back
Top Bottom