Magu: Watoto wawili wauawa na fisi wakienda shule

Mjinga ni wewe jombi. Shule hizi ziko umbali gani kutoka makazi ya watu wakati rasilimali ngapi zinapotea kwenye ubadhirifu, wizi au matumizi yenu ya hovyo?

Bila shaka wewe unaona ni sawa tu kwa vile ni mnufaika wa haya ma V8 ya umma.

Bila shaka hata maombi yako kuwatakia watoto hawa kupumzika kwa amani ni mwendelezo wenu Ile ule wa kuwacheza shere wahanga wa hujuma zenu.

Bure kabisa!
 
Lakini pia hawa wasukuma waache kufuga fisi! Fisi ni nyara za serikali na pia sio mfugo!

Kwenye mambo kama haya Raila hamung'unyi maneno:

Your browser is not able to display this video.
 
Hata mimi huwa nashangaa! Lakini nimewahi kuona clips kadhaa hapa zikionyesha fisi tena kwa idadi kubwa waliofugwa huko kwa wasukuma. Kwa vyo vyote vile mfugaji akishindwa kuwalisha watasambaa mitaani na kuanza kuwinda binadamu.
 
Sad news
 
Mkuu siyo wasukuma tu hata baadhi ya vyama vya siasa vina fisi
 
Kanda ya ziwa kuna shida gan mbona matukio yamekua mengi sana🤔
 
Magu? wilaya inayopakana na manispaa ya Ilemela mpaka leo kuna fisi? Wasukuma ni wapuuzi wasiostaarabika mpaka leo wanishi kwa uchawi. Matukio ya mauaji karibu kila siku, Geita ndani ya wiki moja watu zaidi ya watatu wameuawa tena kikatili. Hiyo kanda siyo salama kuishi. Sisi tulikuwa tunasoma miaka ya 80 mwanzoni (1981) sijawahi sikia habari za ajabu km hizi. Ila inauma mtoto mdogo miaka 7 anauliwa na fisi? Kwanini mnaishi km wanyama? Wapuuzi sana wasukuma.
 
kahangaike na umaskini wako na wa ukoo wako hakuna aliyekusababishia. umechanganyikiwa mpaka unachangia jambo lisilo na uhusiano na thread.
 
kahangaike na umaskini wako na wa ukoo wako hakuna aliyekusababishia. umechanganyikiwa mpaka unachangia jambo lisilo na uhusiano na thread.

Kwani hii thread umeanzisha wewe ndugu? Kwa hiyo bila shaka nayechangia nje ya thread ni wewe siyo?
 
Bahati mbaya ilioje! Hujui magu ilipo hususan hili eneo majanga yalipotokea! Unashindia ugal na utumbo wa kuku kama mbwa koko halafu unajifanya una uchungu! Na nchi hii! Mim naandika hapa nikiwa lugeye magu! Kwa taarifa yako huku mwanza wasukuma hufuga fisi hata mjini!fisi wapo hadi mjini! Buzuruga kuna eneo karibu na hospital ya mwananch kunaitwa "nyambiti" unajua maana ya neno "mbiti" buzuruga kuna fisi
 
Acha kuongea upumbavu, washauri wasukuma waache mambo ya uchawi. Magoli ananunua mamako? Kuna uhusiano gani ndiyo maana mmebaki washamba mpaka leo na mtaendea hivyo km akili zenyewe ni km hizi zako

Endelea kuchimba ndugu

Kulikoni makasiriko yote hayo?
 
Acha kuongea upumbavu, washauri wasukuma waache mambo ya uchawi. Magoli ananunua mamako? Kuna uhusiano gani ndiyo maana mmebaki washamba mpaka leo na mtaendea hivyo km akili zenyewe ni km hizi zako

Unayeongea upumbavu ni wewe bila shaka mnunua magoli ni mamako. Makasiriko ya nini sasa ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…