Magufuli, a Man of the People

Magufuli ataishi milele..
Jina lake limeandikwa kwa wino wa dhahabu katika
mioyo ya watanzania walio wengi,
 
Huwa wanakuja kama wametumwa.
Mkuu hawa vibaraka wanakera sana katika nchi yetu matatizo yote tunayopitia leo yamesababishwa na awamu ya nne wale watu walijua kufuja pesa wanakuja kumtukana mtu aliyewasidia kwenye kipindi kigumu kama cha Corona walitaka lock down si wangekufa ila mwamba kakataa huo upuuzi wao ndio maana wana mchukia.
 
Hao huwa na waita mazumbukuku na vichwa panzi.
Huwa hawajui nini wanataka.
 
JPM, MWAMBA, JIWE, BABA JESKA, CHUMA, BULLDOZER. JABALI LA AFRICA UPUMZIKE KWA SALAMA kuna viumbe wanademka na kuimba Taarabu huku mpaka kufikia Kutangaza kugawa Bandari ya Salama kwa wavaa Viremba
 
JPM, MWAMBA, JIWE, BABA JESKA, CHUMA, BULLDOZER. JABALI LA AFRICA UPUMZIKE KWA SALAMA kuna viumbe wanademka na kuimba Taarabu huku mpaka kufikia Kutangaza kugawa Bandari ya Salama kwa wavaa Viremba
Mungu amrehemu huyu mwamba..
Sikumuona Yesu, Eliya wala Musa lakini kumuona Magufuli
ni kama nimeona wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…