Magufuli, a Man of the People

Mnatumia nguvu kubwa sana ku-discredit legacy yake, na bado mmefeli pakubwa. Mtakufa kwa chuki mbuzi nyie.
Acheni ujinga mfanye mambo mengine, hata serikali haina habari naye tena
 
Nyie mnaangaika sana, kama hatuna habari naye tena, tulifanya makosa ila Mungu akatusaidia kurekebisha. Ndiyo maana hata Samia hakuwa na mpango wa kwenda huko
Sawa boss, tuache tuhangaike.
 
Kuna watu wanazani legacy ni kama mzimu, wanapiga kelele tu "acha legacy yake ijitetee ".

Kipindi cha nyakati ngumu kama.
1.Mgao wa umeme kimya
2.Mgao wa maji kimya.
3.Tozo kimya.
4.Bei ya mafuta imepanda tokea mwaka jana mwishoni, amabayo imegusa bidhaa nyingine kimya.
5.Watu wanajipigia hela plus utendaji na uwajibikaji wa watumishi umepungua kimya.

Ukiona watu wanasema neno "angekuwa fulani........",basi jua legacy yake inaanza kujitengeneza.

Hamna mtu anayependwa na kila mtu, lazima wale wenye mimba zao za chuki kwenye mawazo yao lazima wawepo na ndimu hamna so lazima wateme shombo, hata Nyerere kuna watu hawamkubali ila still legacy yake inaishi.

Bahati kwa nature ya kazi yangu nimezunguka sana baadhi ya mikoa,nimeshudia hospitali ulizojenga kila wilaya, mahakama kila wilaya barabara za kisasa,nimeshuhudia majengo mapya ya ofisi za wakuu wa wilaya na wakurugenzi na zaidi nilishuhudia barabara ya km 50 ya zege kuelekea Ludewa.Kuna miradi kibao kaiacha inachechemea angekuwa mwenyewe sasa 70% ingekuwa tayari ishaisha.

Pumzika tu ila pengo lako halina spea, vitu ulivyo vifanya vinaonekana huitaji kutumia nguvu.

RIP Chuma John Pombe Magufuli.
 
Jamaa alikuwa ni sawa na oil chafu. Oil chafu ukijalibu kuichafua lazima utachafuka wewe
 
Watanzania siyo wajinga. Wanaona na wanafanya comparison. People can tell the difference. The more they try to tarnish his image, the more ordinary people miss him and appreciate him
Tatizo ni pale mnapofosi kuchanganya ujinga na werevu. Nyie mkimpenda na kumkumbuka mimi nadhan inatosha, msitake na sisi tuingie kwenye ujinga wenu.
 
Huyo mwamba ni nani?
 
Jamaa kuna mambo nilikuwa simkubali , Ila mwamba ni next level ,
 
Legasi yake iko hadi bungeni, bunge la kijani liliopitisha tozo.
 
Legasi yake iko hadi bungeni, bunge la kijani liliopitisha tozo.
Mtizamo wako hujashikiwa bunduki kukubali hata huyo Yesu kuna watu hawa mkubali, ila haiondoi anapendwa na walio wengi.
 
"Kosa kubwa alilofanya ni kutomaliza kushughulikia wahuni" - Balozi Humphrey Polepole.
Wamejipanga upya na nguvu kubwa ndio wanatusumbua sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…