Uchaguzi 2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

CHADEMA mnadaiwa 2.5billion za miradi ya maji, hatuwezi kuendelea kupoteza pesa za umma kwa kupalilia majizi.

Tumbua CHADEMA lete SILINDE ili tuweke maendeleo zaidi. Msema kweli mpenzi wa Mungu, Tunduma wameamua kuokoka, leo wamebatizwa kwa moto na wamepokea upako. Wewe unadai wamefokewa hahahahah tulia ubatizo uzame
Tunaenda kujengea chato napo pale kama cairo
 
Dah! kweli dunia ina kila aina ya watu na Mungu alifanya hivo makusudi.

Mgombea mmoja anatoa hotuba za matumaini kwa wananchi waliopigiga kimaisha na wengine wao au dungu zao kudhurumiwa kwa namna moja au nyingine na utawala wa awamu ya tano. Na watu wanaitikia kwafuraha na nyuso zao zikionyesha bashasha.

Wakati huohuo mgombea mwingine upande mwingine wa inchi anawatishia RAIA ambao ndo waajiri wake eti msipo mchagua fulani sileti maendeleo
 
Inasikitisha sana ubaguzi wa kichama
 
Huyo hakujua nini maana ya uchaguzi ndio maana akawateua wenyeviti wa vitongoji, vijiji, mitaa, madiwani, wabunge na yeye mwenyewe akajitangaza kama mshindi wa nafasi ya urais.

Very useless guy who deserved only the gallows.
 
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea CCM inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya usaliti.

Ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya chama wajumbe walimpiga chini. Sasa Dr. Magufuli analazimisha wananchi wamchague mtu ambaye siyo chague lake. Inawezekana mzee Magu anampango wa kumpa uwaziri au unaibu kama wote wawili watapita maana bado ni kitendawili.

Sasa kwa tabia ile ya kulazimisha wananchi wamchague Silinde itachochea uvunjifu wa amani maana wananchi hawatamchagua, na kwa kuwa yeye anamtaka, itabidi vyombo vya dola vilazimishe kama kawaida, hapo ndio hofu yangu kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani.

Mh. Magufuli kama unataka nchi yetu ibaki salama uwe makini kwa kauli zako na pia acha kulazimisha ili wananchi wafanye maamuzi yao.

Maendeleo yanachama kwa mtazamo wa DR Magufuli.

======

DKT. MAGUFULI: MKINICHANGANYIA SILETI MRADI WA MAJI

Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema katika muhula ujao ameshaweka mipango ya kupeleka maji Ireje yaweze kufika Tunduma.

Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.

Amesema miaka mitano iliyopita aliwabembeleza na hii ni mara ya mwisho yeye kuwaomba watu wa Tunduma. Amesema hawatishi ila moyo unauma kuona wanamchanganyia.

Amesema ili wapate maji ni lazima wamchague David Silinde, mgombea ubunge wa Tunduma kwa tiketi ya CCM ambaye ni mbunge wa Momba anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CHADEMA.

Kauli hii ilikuwa mbaya, chafu, ya kijinga na ya kibaguzi kutoka kwa kiongozi wa juu kabisa wa nchi..

Hii haikuwa safi wala sahihi. Huyu bwana hakuwa anajitambua yeye ni nani..

Ni bora sana aliondolewa kwenye nafasi hiyo Kwa namna ile - kifo!!
 
Lkn bado mpk leo kuna wafuasi wake wanakwambia alikuwa Rais bora tena Mzalendo.

Kwa alichowanyia hawa watu nashauri waanzishe kanisa lake tu
 
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea CCM inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya usaliti.

Ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya chama wajumbe walimpiga chini. Sasa Dr. Magufuli analazimisha wananchi wamchague mtu ambaye siyo chague lake. Inawezekana mzee Magu anampango wa kumpa uwaziri au unaibu kama wote wawili watapita maana bado ni kitendawili.

Sasa kwa tabia ile ya kulazimisha wananchi wamchague Silinde itachochea uvunjifu wa amani maana wananchi hawatamchagua, na kwa kuwa yeye anamtaka, itabidi vyombo vya dola vilazimishe kama kawaida, hapo ndio hofu yangu kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani.

Mh. Magufuli kama unataka nchi yetu ibaki salama uwe makini kwa kauli zako na pia acha kulazimisha ili wananchi wafanye maamuzi yao.

Maendeleo yanachama kwa mtazamo wa DR Magufuli.

======

DKT. MAGUFULI: MKINICHANGANYIA SILETI MRADI WA MAJI

Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema katika muhula ujao ameshaweka mipango ya kupeleka maji Ireje yaweze kufika Tunduma.

Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.

Amesema miaka mitano iliyopita aliwabembeleza na hii ni mara ya mwisho yeye kuwaomba watu wa Tunduma. Amesema hawatishi ila moyo unauma kuona wanamchanganyia.

Amesema ili wapate maji ni lazima wamchague David Silinde, mgombea ubunge wa Tunduma kwa tiketi ya CCM ambaye ni mbunge wa Momba anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CHADEMA.
Mwendakuzimu alikuwa Mtu wa hovyo sana
 
Babu jinga limekufa kiko wapi sasa?
 
Back
Top Bottom