Uchaguzi 2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

Saalam!
Ninashindwa kuelewa kampeni za jiwe, maana haombi kura bali analazimisha

Nimeona maeneo anayopita ni ukali na kulazimisha tu.
Mfano alipokuwa tunduma, yaani utasema hela ni zake

He is an EXTORTIONIST!!!
 
KUNA WATU WA KUWATISHA KUWANYIMA MAENDELEO SIO KILA MKOA WANATISHIKA ....WENGINE WATAKUAMBIA KAMA TUMESUBIRI MAJI MIAKA YOTE HIYO HATUTAWEZA KUSHINDWA KUSUBIRI MIAKA MITANO....NA PIA WANAWEZA KUGOMA KULIPA KODI
Umeongea sahihi Dr Magufuli kakosea hapo
 
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea ccm inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya usaliti. Ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya chama wajumbe walimpiga chini. Sasa Dr. Magufuli analazimisha wananchi wamchague mtu ambaye siyo chague lake. Inawezekana mzee Magu anampango wa kumpa uwaziri au unaibu kama wote wawili watapita maana bado ni kitendawili.

Sasa kwa tabia ile ya kulazimisha wananchi wamchague Silinde itachochea uvunjifu wa amani maana wananchi hawatamchagua, na kwa kuwa yeye anamtaka, itabidi vyombo vya dola vilazimishe kama kawaida, hapo ndio hofu yangu kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani.

Mh. Magufuli kama unataka nchi yetu ibaki salama uwe makini kwa kauli zako na pia acha kulazimisha ili wananchi wafanye maamuzi yao.

Maendeleo yanachama kwa mtazamo wa DR Magufuli.

======

DKT. MAGUFULI: MKINICHANGANYIA SILETI MRADI WA MAJI

Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema katika muhula ujao ameshaweka mipango ya kupeleka maji Ireje yaweze kufika Tunduma.

Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.

Amesema miaka mitano iliyopita aliwabembeleza na hii ni mara ya mwisho yeye kuwaomba watu wa Tunduma. Amesema hawatishi ila moyo unauma kuona wanamchanganyia.

Amesema ili wapate maji ni lazima wamchague David Silinde, mgombea ubunge wa Tunduma kwa tiketi ya CCM ambaye ni mbunge wa Momba anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CHADEMA.

yeye mwenyewe harudi
 
Kuna kitu watz hatukijui kuwa nchi hii hakuna mu muongo na mnafiki kama huyu mzee. Mara aseme maendeleo hayana chama na leo hii anasema maendeleo yana chama. Ila namsifu kwa jambo moja nimemsikia akisema mara nyingi sana kuwa msema ukweli ni mpenzi wa Mungu lakini amekuwa mwangalifu sana maana hajawahi hta siku moja kusema yeye binafsi anawapenda wasema ukweli
 
Hivi huyu hana wanashauri?...au kwa sababu jiwe halishauriki?
 
Huyu MTU akishinda awamu ya pili itakua na mambo maovu sana kwenye nchi hii.
Anejiandaa sana kuwa na visasi na anatangaza wazi.

Ana maanisha kuwa MTU yeyote aliyempinga hatampa huduma yoyote itakayomfanya aishi.

Ikiwa na maana hata madawa na huduma za mama na mtoto kwenye maeneo yote yaliyompinga au watayomnyima kura hawatapata.

Hili suala sijajua ni kwa nini Akina Askofu na kada wa CCM Gwamanya na Gwajima na Mkude na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam hawalioni ?
Kwa nini hao watumishi wa dini wanaunga mkono juhudi za kuwalipiza visasi watu wanaotumia haki yao ya kidemokrasia huku wakiwa wanatozwa kodi zao.
Au ni kwa sababu hao maaskofu na mashehe wanapata mamilioni ya pesa za waumini wanaoteseka kupa pesa kwenye mazingira hayo ya ubaguzi na kutoa sadaka.
Hakuna MTU mbaya kama MTU anayemnyima binadamu mwenzake maji ya kunywa.
Ni muuaji pekee anayefurahia binadam kukosa maji.
Hivi Maji yamumbwa na mungu wa CCM !!

Wapinzani jiandaeni kufanya Mombi makubwa ya kuomba,kufunga na kusoma dua ili Mungu asimamie haki kwa viumbe wake alivyoumba yeye mwenyewe . Mungu aliyeondoa Korona na kumponya Lisu atajibu ili aonekane kuwa yeye ndiye anayetoa hayo madaraka kwa wakati na kwa sababu zake.

Hata hivyo wapinzani nao waonyeshe ukomavu wa kisiasa na uwezo wa kueleza nini watakifanya tofauti na CCM katika kujenga miundo mbinu waeleze kwa lugha inayoeleweka kwa watu wasio na elimu kubwa.
Waepuke lugha chafu sasa wajikite kwenye Sera . Unapotpoleka neno haki ni lazima uwe na uwezo wa kulichambua kwa kutumia vitabu vyote vya dini!!
Ni vyema wapinzani wamtafite ustadhi mmoja anayeijua Biblia kwa ufasaha na Qoran ili awasaidie kueleza umuhimu wa Haki na usawa kwa binadamu wote.

Mungu ni Mungu wa haki.
JPM ameshaweka wazi kuwa atalipa visasi kwa wale watakaomnyima kura. Hivyo wanaotegemea mteremko kwa kumpa kura labda wakaishi Chato mana inaonekana wazi maeneo mingi hayakupewa Miradi ya maendeleo kwani kila mahali anatoa ahadi kama vile hakuwepo madarakani!!

Hata hivyo maji ni biashara mana yanalipiwa hivyo Magufuli alipaswa kusema kuwa kila MTU atapelekewa maji alimradi asiwepo anayekwepa kulipa bili ili serikali ipate fedha zaidi. Badala yake anaonyesha chuki na visasi kwa kuweka wazi kuwa wasiowapa ulaji wana CCM hatafanya nao biashara ya maji japo pia hayo maji hayasambazi kwa pesa ya urithi wa babu yake zaidi ya kodi za watanzania .

Ni dhulma tupu kuchukua kodi za watu kisha uwanyime hata maji ambayo pia wananunua kama bidhaa nyingine. Mwishowe atasema hata sementi ,sukari,chumvi na mbolea wasiuziwe. Hii haifai.
Mkurugenzi wa NEC anaona hiyo ni Sera nzuri ya kutangaza visasi hadharani.
Mkurugenzi anafurahiyo watanzania wenzake kutangaziwa mapema kabisa haliya hatari wasipomchagua Mwenyekiti wa chama chake. Akimaliza kuwabagua wasiomchagua atahamia kwingine .

Mungu sasa ndiye atakayeamua kwenye hatima ya taifa hili. Tumwachie atajua mwenyewe mana kama hata maji watu wanapewa kwa misingi ya vyama basi hata maji ya ubatizo na udhu kule misikitini watanyimwa wasipomwabudu mungu wa CCM.
Mungu simama mwenyewe sasa ili ajulikani nani muumbaji wa vyote.
 
Kwa nini suala la kuhama chama Chadema wanasumbuka sana wakati CCM ni kawaida tuu? Katika majimbo karibu yote, Mgombea wa Chadema akishinda lazima wana CCM wamepigia kura, sababu CCM ni wengi.
Wanannchi walio wengi hawana vyama.
 
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea ccm inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya usaliti. Ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya chama wajumbe walimpiga chini. Sasa Dr. Magufuli analazimisha wananchi wamchague mtu ambaye siyo chague lake. Inawezekana mzee Magu anampango wa kumpa uwaziri au unaibu kama wote wawili watapita maana bado ni kitendawili.

Sasa kwa tabia ile ya kulazimisha wananchi wamchague Silinde itachochea uvunjifu wa amani maana wananchi hawatamchagua, na kwa kuwa yeye anamtaka, itabidi vyombo vya dola vilazimishe kama kawaida, hapo ndio hofu yangu kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani.

Mh. Magufuli kama unataka nchi yetu ibaki salama uwe makini kwa kauli zako na pia acha kulazimisha ili wananchi wafanye maamuzi yao.

Maendeleo yanachama kwa mtazamo wa DR Magufuli.

======

DKT. MAGUFULI: MKINICHANGANYIA SILETI MRADI WA MAJI

Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema katika muhula ujao ameshaweka mipango ya kupeleka maji Ireje yaweze kufika Tunduma.

Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.

Amesema miaka mitano iliyopita aliwabembeleza na hii ni mara ya mwisho yeye kuwaomba watu wa Tunduma. Amesema hawatishi ila moyo unauma kuona wanamchanganyia.

Amesema ili wapate maji ni lazima wamchague David Silinde, mgombea ubunge wa Tunduma kwa tiketi ya CCM ambaye ni mbunge wa Momba anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CHADEMA.
Wakati anadhani anawakomoa cdm ajue kuwa anawakomoa na ccm wenzake pia kwani kuna ambao wanakuwa wamemuunga mkono mbunge wake ambao huo mradi pia wataukosa.
Ni tabia mbaya.
 
Hili zee chizi na limewakamata washenzi kibao wanaliunga mkono asilimia mia, ingekua nchi nyingine kwa kauli hii hata uchaguzi angekua ashafutwa. Kwa kweli sijui watu wanaomsupport ni vilaza wa level gani, waafrika tuna matatizo makubwa sana kichwani
 
Back
Top Bottom