Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Humu hamna kiongozi kabisa ! hivi ilikuwaje Kikwete na ujanja wake akatuletea mtu huyu ?Halafu akienda kwingine utasikia "Maendeleo hayana vyama"
Magufuli is a country bumpkin!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu hamna kiongozi kabisa ! hivi ilikuwaje Kikwete na ujanja wake akatuletea mtu huyu ?Halafu akienda kwingine utasikia "Maendeleo hayana vyama"
Magufuli is a country bumpkin!
Ni aibu kubwa sana kwa TanzaniaKulingana na kanuni za uchaguzi mkuu, Magufuli amekosa sifa za kugombea Urais baada ya hilo tamko lake la kibaguzi. Hata waliokuwa makaburu wa Afrika Kusini hawakuwa na sera kama hiyo ya kutowapa maendeleo baadhi ya wananchi waliomnyima kura huku wakitozwa kodi.
Mapinduzi makubwa duniani kote yalikuwa na kaulimbiu iliyosema No taxation without representation (hakuna kutoza kodi bila uwakilishi) Je hii ndiyo anayotaka Magufuli kwa Tanzania?
Taxation without representation describes a populace that is required to pay taxes to a government authority without having any say in that government's policies.
ccm siyo wengi kuliko wapinzani na watanzania wasio na vyama ambao kwa 99% wanaichukia ccmKwa nini suala la kuhama chama Chadema wanasumbuka sana wakati CCM ni kawaida tuu? Katika majimbo karibu yote, Mgombea wa Chadema akishinda lazima wana CCM wamepigia kura, sababu CCM ni wengi.
Hapo ndipo ccm watajua ubaya wa kuwachagulia watu badala ya wao kuchagua chaguo laoAisee!
Kuna sehemu nimeona mtu kaandika wazo juu ya utozaji kodi kwenye majimbo ya aina hii.
Kwamba mfano ikipelekwa hoja bungeni au ufafanuzi mahakamani kuwa majimbo haya 'yaliyotengwa' kwa kuchagua kulingana na mapenzi yao badala ya matakwa ya mtu fulani pia yaondolewe kwenye mfumo wa ukusanyaji kodi wa kawaida na badala yake wajikusanyie kodi zao itakuwaje!?
Utawala tokea chato hauleti maendeleo kama mbunge siyo wa ccm kwa maana ingine hata mlipe kodi zenu watachukua na kwenda kula chato mpaka mchague mbunge wa ccm kwa nguvumaendeleo hayana chama
Tume isiyo huru ingekuwa inatenda haki kwa hili ilipaswa wamwandie barua kuripoti kwenye tume ya maadiliHuyu mtu mbaguzi kweli na wala hajifunzi kutokana na makosa yake, ni wazi akichaguliwa tena ataangamiza watu na vyama vyote vya siasa.
Sasa anachukua kodi za majimbo ya wapinzani kwenda kujengea chatoKama hapeleki maendeleo kwa majimbo ya wapinzani wananchi wagome kulipa kodi pia ikiwezekana serikali ishitakiwe kwa kupeleka maendeleo kwa ubaguzi halafu kuna watu wanamfananisha na Nyerere
Kodi wanachukua lakini maendeleo wanabaguaZee limepanic hili ni hatari! Hivi kwa nini wananchi wasimwambie waziwazi kwamba achaaa!!
Kodi kwenye majimbo ya upinzani wanachukua lakini hawataki kupeleka maendeleo hukokuna jambo halipo sawa! kuhusu mtoto wa jirani........ ukiwa mlezi unatakiwa kulea wote bila kubagua watoto wa kambo
Magufuli anaogopa kutoka ikulu sasa maana anajua Rais ajae atamwondolea kinga na kuishia kuwa mgeni wa mahakamani kama Jacob zuma wa South AfricaDamu ya Bujumbura haipotei hivi hivi! Kitwete na Mkapa (Mungu amweke anapostahili) walimfahamu vizuri sana na bado wakaamua kumpa urais alimradi analinda maslahi yao na familia zao (case in point: wake na watoto wa Kikwete wataendelea kupatiwa nafasi za ubunge, mojawapo ya source kuu za ufisadi walizozitengeneza). Ndio maana ninashangaa vijana wanaoshangilia mfumo huu wa CCM na Magufuli. Huu mfumo unahitaji kupumzishwa.
Tunduma wanalipa kodi na maji ni lazima ikiwa ni haki ya wapiga kura cha ajabu magufuli kawatishishia kuchukua kodi zao kupeleka chato kisa endapo watamchagua mpinzaniHivi huyu mtu wenu mbaguzi mlimtoa wapi nyie akina Jakaya? Sio case ndio maana tunataka serikali za majimbo
ccm yote ni wanafikiHivi kwanini kila anayekuwa kinyume na mwenyekiti wenu anakuwa msaliti?.
Mule kwenye lile genge lenu, wote wazalendo?. Hakuna chama, chenye watu wanafiki na wasaliti kama ninyi.
Haleti maji ?, Kwani amekuwa mvua ?
Sijui akili ya wapi hiyo! Hivi wananchi wa Tunduma wakigoma kulipa kodi itakuwaje? Mzee amepungukiwa maarifa huyu!Kodi wanachukua lakini maendeleo wanabagua