Uchaguzi 2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

daaah! huyu dawa yake ni kutumia vizuri vichinjio vyetu 😠😠.
maana anamaanisha atakuwa rais muhula wa pili while hatumtaki.

✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾
 
Aisee!

Kuna sehemu nimeona mtu kaandika wazo juu ya utozaji kodi kwenye majimbo ya aina hii.

Kwamba mfano ikipelekwa hoja bungeni au ufafanuzi mahakamani kuwa majimbo haya 'yaliyotengwa' kwa kuchagua kulingana na mapenzi yao badala ya matakwa ya mtu fulani pia yaondolewe kwenye mfumo wa ukusanyaji kodi wa kawaida na badala yake wajikusanyie kodi zao itakuwaje!?
 
Hivi hizi kauli tume ya uchaguzi inazisikia?Je wamechukua hatua gani?

Chonde chonde watanzania wote, tumpinge huyu mtu kwa nguvu zote. Yaani yeye anaona tayari ameshapita hivyo wenye shida ni wabunge. Kwa hali ninayoina, yeye ndiye mwenye hali ngumu kuliko hao wabunge.
 
Huyu rais mbaguzi sijui hii balaa tulitokana nayo wapi? Hayo ni baadhi tu tunayoyasikia akisema hadharani. Je ambayo hayasemi na wala hatuwezi kuyasikia toka kwake?

Kiwango cha chuki kwa wapinzani kilichopo moyoni mwa Magufuli hakina mfano kama vile hao wapinzani siyo Watanzania
 
Huyu mtu mbaguzi kweli na wala hajifunzi kutokana na makosa yake, ni wazi akichaguliwa tena ataangamiza watu na vyama vyote vya siasa.
 
Unawaongelea wana Tunduma gani Wa Chato au?
 
Halafu utamuona yule kinyamkera mahera mwenye rangi ya kenya kakaza uso wa nyani kwa Tundu Lissu. Huu sio udhalilishaji wa taasisi ya Urais? Au kuna maadili zaidi ya haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…