Uchaguzi 2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

Uchaguzi 2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

Magufuli akienda maeneo yenye upinzani wa kweli huwa anaropoka sana pumba, utadhani wapinzani sio watanzania, huyu jamaa wanavyosema aliwahi kuugua kichaa inawezekana ikawa kweli.
 
Halafu katika mkutano huo unakuta kuna waitwao viongozi wa dini wanafanya kiitwacho maombi kwa Mungu, Mungu gani huyo anayeombwa ambaye anakubali chuki ya namna hiyo??

Mimi nifahamuvyo Mungu ni pendo na anasema huwanyeshea mvua wema na waovu kwa maana nyingine hana ubaguzi kwa yeyote wote huwapa mvua sasa huu ubaguzi...hapana. Ndiyo maana ni vyema sana viongozi wa dini wakajitenga na siasa
 
Hivi huyu mtu ni Mtanzania halisi kweli? Hivi vetting ya uhakika ilifanyika ipasavyo ili kujiridhisha kabla ya kumpa dhamana ya kuiongoza nchi yetu?
 
Huyu Magufuli ndio hafai hata bure kuwa rais, sasa yeye hayo maji serikali nyingine haiwezi kuyapeleka huko kwani yeye atayatoa mbinguni.

Huyu Magufuli yeye anajuaje kuwa atashinda, kwa hiyo anataka kutuaminisha kuwa wameshamaliza kazi wao na tume yake. Kauli kama hizi tume imekaa kimya kabisa. Bure kabisa.
 
Yeye ana uhakika na ushindi maana ameshapanga safu yake ya ushindi ndio maana anasema hivyo
 
CHADEMA mnadaiwa 2.5billion za miradi ya maji, hatuwezi kuendelea kupoteza pesa za umma kwa kupalilia majizi. Tumbua chadema lete SILINDE ili tuweke maendeleo zaidi. Msema kweli mpenzi wa Mungu, Tunduma wameamua kuokoka, leo wamebatizwa kwa moto na wamepokea upako. Wewe unadai wamefokewa hahahahah tulia ubatizo uzame
Nyie mnapenda kuchukua Kodi tu za wananchi, halafu kuwarudishia wananchi maendeleo masherti.upinzani wajibu hoja hizi kwa nguvu.Hatuwezi kuwa na rais mbaguzi hivi
 
Kwahiyo Tunduma mpaka leo hakuna maji?
 
CHADEMA mnadaiwa 2.5billion za miradi ya maji, hatuwezi kuendelea kupoteza pesa za umma kwa kupalilia majizi. Tumbua chadema lete SILINDE ili tuweke maendeleo zaidi. Msema kweli mpenzi wa Mungu, Tunduma wameamua kuokoka, leo wamebatizwa kwa moto na wamepokea upako. Wewe unadai wamefokewa hahahahah tulia ubatizo uzame
Mpumbavu mkubwa wewe, kwani mkurugenzi wa Tunduma ni mfanyakazi wa Chadema? Yeye si ndiye alimteua kwenda kifisadi miradi pale.
 
Kwa nini suala la kuhama chama Chadema wanasumbuka sana wakati CCM ni kawaida tuu? Katika majimbo karibu yote, Mgombea wa Chadema akishinda lazima wana CCM wamepigia kura, sababu CCM ni wengi.
Hapa linaongelewa swala la JPM kutopeleka maji kama hawatamchagua Silinde.
Humo kichwani kuna ubongo au uharo?
Kweli CCM wamefanikiwa kuwasukulisha wanachama wake.
 
Back
Top Bottom