LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Wananchi wote walipaswa kumwambia usilete hayo maji, kwani wameishi muda gani bila maji? Hapo kukomesha toka diwani, mbunge na rais unachagua upinzani.hivi maccm wanadhani hivo vimiradi uchwara visipokuwepo wananchi wanaogopa? Jpm kwani atakuwa milele
Kasoma upepo songwe, na tunduma amehutubia wengi waliosombwa vijijiniLabda kwa kuwa Lissu kaidindishia TUME .....!!