GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Saalam!
Ninashindwa kuelewa kampeni za jiwe, maana haombi kura bali analazimisha
Nimeona maeneo anayopita ni ukali na kulazimisha tu.
Mfano alipokuwa tunduma, yaani utasema hela ni zake
Mkapa ametuchuuza sanaKuna mijitu haikufaa kupewa nchi hii kwakweli
Yaani katamka bayana kuwa ATASHINDA UCHAGUZI.Saalam!
Ninashindwa kuelewa kampeni za jiwe, maana haombi kura bali analazimisha
Nimeona maeneo anayopita ni ukali na kulazimisha tu.
Mfano alipokuwa tunduma, yaani utasema hela ni zake
Ndio wameshapewaKuna mijitu haikufaa kupewa nchi hii kwakweli
Kwani hatoshindaYaani katamka bayana kuwa ATASHINDA UCHAGUZI.
amepanic ujueSaalam!
Ninashindwa kuelewa kampeni za jiwe, maana haombi kura bali analazimisha
Nimeona maeneo anayopita ni ukali na kulazimisha tu.
Mfano alipokuwa tunduma, yaani utasema hela ni zake
Saalam!
Ninashindwa kuelewa kampeni za jiwe, maana haombi kura bali analazimisha
Nimeona maeneo anayopita ni ukali na kulazimisha tu.
Mfano alipokuwa tunduma, yaani utasema hela ni zake
Umeongea sahihi Dr Magufuli kakosea hapoKUNA WATU WA KUWATISHA KUWANYIMA MAENDELEO SIO KILA MKOA WANATISHIKA ....WENGINE WATAKUAMBIA KAMA TUMESUBIRI MAJI MIAKA YOTE HIYO HATUTAWEZA KUSHINDWA KUSUBIRI MIAKA MITANO....NA PIA WANAWEZA KUGOMA KULIPA KODI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaomba Kulazimisha.
yeye mwenyewe harudi
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea ccm inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya usaliti. Ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya chama wajumbe walimpiga chini. Sasa Dr. Magufuli analazimisha wananchi wamchague mtu ambaye siyo chague lake. Inawezekana mzee Magu anampango wa kumpa uwaziri au unaibu kama wote wawili watapita maana bado ni kitendawili.
Sasa kwa tabia ile ya kulazimisha wananchi wamchague Silinde itachochea uvunjifu wa amani maana wananchi hawatamchagua, na kwa kuwa yeye anamtaka, itabidi vyombo vya dola vilazimishe kama kawaida, hapo ndio hofu yangu kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani.
Mh. Magufuli kama unataka nchi yetu ibaki salama uwe makini kwa kauli zako na pia acha kulazimisha ili wananchi wafanye maamuzi yao.
Maendeleo yanachama kwa mtazamo wa DR Magufuli.
======
DKT. MAGUFULI: MKINICHANGANYIA SILETI MRADI WA MAJI
Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema katika muhula ujao ameshaweka mipango ya kupeleka maji Ireje yaweze kufika Tunduma.
Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.
Amesema miaka mitano iliyopita aliwabembeleza na hii ni mara ya mwisho yeye kuwaomba watu wa Tunduma. Amesema hawatishi ila moyo unauma kuona wanamchanganyia.
Amesema ili wapate maji ni lazima wamchague David Silinde, mgombea ubunge wa Tunduma kwa tiketi ya CCM ambaye ni mbunge wa Momba anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CHADEMA.
Kuna kitu watz hatukijui kuwa nchi hii hakuna mu muongo na mnafiki kama huyu mzee. Mara aseme maendeleo hayana chama na leo hii anasema maendeleo yana chama. Ila namsifu kwa jambo moja nimemsikia akisema mara nyingi sana kuwa msema ukweli ni mpenzi wa Mungu lakini amekuwa mwangalifu sana maana hajawahi hta siku moja kusema yeye binafsi anawapenda wasema ukweli
Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea ccm inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya usaliti. Ndio maana kwenye kura za maoni ndani ya chama wajumbe walimpiga chini. Sasa Dr. Magufuli analazimisha wananchi wamchague mtu ambaye siyo chague lake. Inawezekana mzee Magu anampango wa kumpa uwaziri au unaibu kama wote wawili watapita maana bado ni kitendawili.
Sasa kwa tabia ile ya kulazimisha wananchi wamchague Silinde itachochea uvunjifu wa amani maana wananchi hawatamchagua, na kwa kuwa yeye anamtaka, itabidi vyombo vya dola vilazimishe kama kawaida, hapo ndio hofu yangu kuwa kunaweza kutokea uvunjifu wa amani.
Mh. Magufuli kama unataka nchi yetu ibaki salama uwe makini kwa kauli zako na pia acha kulazimisha ili wananchi wafanye maamuzi yao.
Maendeleo yanachama kwa mtazamo wa DR Magufuli.
======
DKT. MAGUFULI: MKINICHANGANYIA SILETI MRADI WA MAJI
Dkt. John Magufuli, mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema katika muhula ujao ameshaweka mipango ya kupeleka maji Ireje yaweze kufika Tunduma.
Amesema wakimchanganyia wabunge, yaani wakimchagua mbunge asiye wa CCM basi hatopeleka miradi ya maji Tunduma.
Amesema miaka mitano iliyopita aliwabembeleza na hii ni mara ya mwisho yeye kuwaomba watu wa Tunduma. Amesema hawatishi ila moyo unauma kuona wanamchanganyia.
Amesema ili wapate maji ni lazima wamchague David Silinde, mgombea ubunge wa Tunduma kwa tiketi ya CCM ambaye ni mbunge wa Momba anayemaliza muda wake kwa tiketi ya CHADEMA.
Wanannchi walio wengi hawana vyama.Kwa nini suala la kuhama chama Chadema wanasumbuka sana wakati CCM ni kawaida tuu? Katika majimbo karibu yote, Mgombea wa Chadema akishinda lazima wana CCM wamepigia kura, sababu CCM ni wengi.
Wakati anadhani anawakomoa cdm ajue kuwa anawakomoa na ccm wenzake pia kwani kuna ambao wanakuwa wamemuunga mkono mbunge wake ambao huo mradi pia wataukosa.