Yaaani ni kama vile hakuwahi kuwakoJuzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Labda akheraMTANIKUMBUKA!!
Mbona mda wote mmeacha shughuli zote na sasa mmejiunga kabisa ccm ili kumkomoa?Yaaani ni kama vile hakuwahi kuwako
Hebu ukipata wasaa naomba unisaidie kujijibuMbona mda wote mmeacha shughuli zote na sasa mmejiunga kabisa ccm ili kumkomoa?
Kumbukumbu yake itakuja kurudi kwa speed ww kaa kwa kutulia ni swala la muda tuJuzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Nyapara Wa BarabaraHakuwa kiongozi bali mtawala
Naona sasa hivi mko wote ccm!?Hebu ukipata wasaa naomba unisaidie kujijibu
Mungu Fundi nyie!! [emoji3][emoji3]Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Kamnyofoa mrija wa hewaMungu Fundi nyie!! [emoji3][emoji3]
Alimfyatua Tu Baada Ya Malalamiko TeleMungu Fundi nyie!! [emoji3][emoji3]
MTANIKUMBUKA!!
Ni ngum kumsahau mtu uliyemsoma vitabuni kuanzia darasa la kwanza,hadi nyimbo za mashuleni zilikuwa ni nyerere.Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Aah ok.. But remember one thing.. Mtoto wa nyoka sio kenge.. Ni nyoka na sumu ni ileileNaona sasa hivi mko wote ccm!?
Mnasema mbaya wenu kafa kwahiyo sasa tuko vizuri tumeungana na mama kujenga nchi!
Mambo ni super! Magu alituchelewesha sana, sasa tuko vizuri, ccm imeji update, legacy inajifuta, tuko na mama
Ccm mbele kwa mbele. Mi 10 tena kwa mother,
Ni swala la muda tu apa Tanzania mbaka miti na mawe Yatamkumbuka JPM, Tangu akiwa waziri mbaka akiwa Rais hakuna kiongozi yoyote aliye mkaribia katika Mambo mengi na Nchi ilikua inasonga mbele kwa Kasi Sana.
Watamkumbuka wasukuma wenzie na misukule kina Saguda47 ,wazee wakusifiasifiaMTANIKUMBUKA!!