Post yako hii inadhihirisha jinsi ilivyo ngumu kumsahau JPM, umeshindwa kuvumilia kivuli chake hadi umepost humu!Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Tunamtakia adhabu njemaHatuna muda .
Tena mtawala mwenye sifa za MFALME JUHAHakuwa kiongozi bali mtawala
Huyu ndio alikufa kabla ya mkoloniVipi kuhusu Mkapa?
Unatafuta Ajira ya Ukuu wa Wilaya?Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
Huyu ndio alikufa kabla ya mkoloni
Katiba imempa mamlaka Rais sio Chama.Badala ya kuilaumu CCM mnamlaumu
Magufuli.
Mimi nikiwa rais nitamfuta Magufuli kwenye kumbukumbu za nchi,nikiwa mbunge ntapeleka hoja binafsi. futa kabisa ameacha kumbukumbu mbaya.Kuwa president wa nchi hata kaa asahaulike kwenye historia ya nchi hii labda nchi hii ije ifutwe
Unanikumbusha maumivu ati.Kwa utekaji
Kwa kutokutuongezea madaraja
Kwa kauli chafu
Nyerere alikuwa mioyoni,magufuli alikuwa kwenye media
Ubabe ulitawalaSi kweli hasa. Kwa tuliyoyapitia chini ya utawala wake sio rahisi kumsahau mapema! Tulijawa woga uso kifani. Tulikosa uhuru. Ni Rais pekee ndiye alikuwa mtu mwenye busara na akili kuliko watanzania wote. Pathetic!
Huwa nafikiri kuwa pengine urais wa Samia sasa unaonekana "mzuri" kwa kuwa tu urais wa JPM ulikuwa wa hovyo!
Hizi namba mbili sijuagi zilikuwa marais wa nchi gani, Mkapa na Mwinyi😅😅Hajawahi kuwa hata Rais
Kashasahaulika mazimaSi kweli hasa. Kwa tuliyoyapitia chini ya utawala wake sio rahisi kumsahau mapema! Tulijawa woga uso kifani. Tulikosa uhuru. Ni Rais pekee ndiye alikuwa mtu mwenye busara na akili kuliko watanzania wote. Pathetic!
Huwa nafikiri kuwa pengine urais wa Samia sasa unaonekana "mzuri" kwa kuwa tu urais wa JPM ulikuwa wa hovyo!
Kukumbukwa maana yake nini, si ndio kama hivi kutajwa tajwa iwe mazuri au mabaya. Mfano wa mtu ambaye amesahaulika ni kama Maalim seif ambaye hausikii akitajwa tajwa kama ambavyo alivyokuwa hai, ila Magufuli kutwa anatajwa ni ngumu kuacha kutajwa Magufuli hasa katika uongozi wa Mama samia maana hata jana Rais Samia alifikisha hizo siku zake 100 pia Magufuli katajwa sana tu na humu JF ndio hapiti siku bila kutajwa Magufuli.Hakuna mwenye akili timamu akamkumbuka dikteta, aliyebariki utekaji na kupigana risasi,maiti kutupwa kwenye viroba, kauli za ovyo Kama "BAKINI NA MAVI YENU MAJUMBANI"
Matagaaaaa!!!!!Na kilichokuleta kuandika hapa kumbukumbu yake, sisi tuiteje?
kwamba umemsahau. ! au ni ulimbukenu kichwani kwako umekukaa??