Magufuli angekuwepo sio tu vitu vingepanda bei, vingeadimika kabisa

Wakati wa Magufuli ilikuwa nchi ya maziwa na asali, au mimi sijui kusoma vizuri nini? Au unadhani hatujui bidhaa nyingi zilianza kupanda bei kutokana na utawala wa ubabe wa kishamba wa Magufuli nini?
 
Kweli elimu yenu inwafanya muwe wajinga kiasi hiki!
Msomi unatetea upumbavu daaa!
 
Wakati wa Magufuli ilikuwa nchi ya maziwa na asali, au mimi sijui kusoma vizuri nini? Au unadhani hatujui bidhaa nyingi zilianza kupanda bei kutokana na utawala wa ubabe wa kishamba wa Magufuli nini?
Kwajiyo saizi bidhaa zimeshuka bei?
 
Hakuna Ushaidi kwamba Mzalendo wa Kweli alikufa kwa Corana sawa Mzalendo JPM alifariki kwa Shida ya Moyo na ndio taarifa iliyotolewa

wewe hizo taarifa za kufariki kwa corana umetoa wapi?? Acha uchochezi
Hizo ni taarifa za kulinda kile alichokuwa anakiamini kuwa hakuna ugonjwa wa corona Tanzania ila shida ya upumuaji na moyo ipo kwa falsafa zake na wajinga mkaamini mwisho wake corona ikamfagia kama upepo.
 
Huu ni ujinga mkubwa, ingekatisha tamaa watu kulima kwa kuwa soko likiwa zuri wanazuiwa

Afadhali serikali ya Samia inanunua mahindi ya akiba na kuyatoa kipindi ambacho kuna uhaba, kitu ambacho Magufuli alisema ni ujinga
My God. Huyo ni kikwete siyo Samia.

Yaani unaacha chakula kiishe afu uje uanze kugawa hehe he heee takataka

Akili za pimbi hizi
 
Wewe badala ya kuongelea Micro (ss vs dd) vs Macro economic factors, unaongelea Samia vs Magufuli. Sasa sijui huo ndiyo uchumi wa wapi huo.
 
Punguani wengi sana nowadays.
 
Wakati wa Magufuli ilikuwa nchi ya maziwa na asali, au mimi sijui kusoma vizuri nini? Au unadhani hatujui bidhaa nyingi zilianza kupanda bei kutokana na utawala wa ubabe wa kishamba wa Magufuli nini?
Eti vilianza. Bei ya mafuta ilikuwaje?

Bei ya Nafaka ilikuwaje?

Sasa hivi kila kitu kiko juuu..hadi aibu.
 
Hapo kwenye mafao kabla ya kustaff ni sahihi kabisa. Uki - staff utakuja kushukuru.
 
Eti vilianza. Bei ya mafuta ilikuwaje?

Bei ya Nafaka ilikuwaje?

Sasa hivi kila kitu kiko juuu..hadi aibu.
Hata yeye angekuwepo bei bado ingekuwa juu. Kwa taarifa yako mafuta ya kula yalianza kupanda wakati wake baada ya yeye kuvuruga soko la mafuta. Usidhani kuwa tumesahau alipojifanya anapiga marufuku mafuta toka nje. Toka wakati huo mpaka leo hayajawahi kushuka. Sukari ilipanda bei akawa anatumia kina Makonda kupitia kwenye godowns za wafanyabishara. Sasa hivi hali ndio ingekuwa mbaya zaidi. Bora Mungu aliingilia kati.
 
Kulisema vibaya jina la Magufuli na kujaza watu UPUMBAVU ni ujuha ulionao usiotutisha
 
Hujaweka sababu ya kueleweka ya kiuchumi ni porojo Tu unaongea sababu ya bidhaa kupanda bei ni mafisadi yanataka kurudisha hasara waliyopata Enzi za Magufuli.Magufuli angekuwepo tusingeona tozo za ovyoovyo na bidhaa za vyakula kupanda ovyoovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…